Screen touch zina hii shida

Screen touch zina hii shida

Mi sipendi inavyo auto complete maneno na hakuna settings za kubadilisha. Mfano neno "kweli" linajigeuza linakua "keel" na mesej ushaituma tayr..da
 
Mi sipendi inavyo auto complete maneno na hakuna settings za kubadilisha. Mfano neno "kweli" linajigeuza linakua "keel" na mesej ushaituma tayr..da

Unaweza toa iyo seting, sema unatumia keyboard gan
 
Unaweza toa iyo seting, sema unatumia keyboard gan

sijakuelewa hapo kwene keyboard..lakn natumia lumia 1320.inakuja na lugha zilizopo ni Kama English,french, arabic na nyngnezo
 

Attachments

  • wp_ss_20140321_0001.png
    wp_ss_20140321_0001.png
    25.4 KB · Views: 61
"touchscreen" sio "screen touch" alafu hiyo simu yako ndo inashida sio touchscreen phones ati hua zinashida hiyo
 
Back
Top Bottom