Happy Feet,
#159 unajadili hivi:
"Mkuu you were all over with your last post habari za kodi yako kwenda Msumbiji kuna husiana vipi wakati wao wana full autonomy kama nchi, ZnZ wamepoteza part of that kwa sababu ya muungano ndio maana wanachangiwa na serikari kuu kujiendesha na kufanya shughuli za kiserekari on the other hand hawana mamlaka ya kutafuta hela za maendeleo independently ilihali na wao ni taifa."
Kama ilivyo kwa msumbiji kuwa nchi Jirani na Tanganyika, Vivyo hivyo ni nchi ya Zanzibar. Kwanini unataka tupoteze mjadala kwenye Ukweli huu? Mnadhania kila mtu humu ni mjinga?
Hivi ni kwanini Zanzibar hadithi Zenu ni zile zile za mikopo na misaada Kama vile hii Ndio hujenga uchumi na kutokomeza umaskini? Ni taifa gani ambalo lilitatua umaskini na kujiletea maendeleo kupitia misaada?
Zanzibar is not creative Kabisa internally Katika suala Zima la mobilization of domestic revenues. Mtakuja na vizingizio tu visivyo na msingi Kwamba wamekabwa na bara, Wakati Ukweli ni Kwamba Zanzibar Ina fiscal autonomy lakini bado inasamehe kodi kuliko bara, twice as much Kama nilivyojadili awali, na hii ni kwa Mujibu wa vyanzo vingi, ikiwa ni pamoja na "twaweza" ambao wameonyesha Hilo kupitia utafiti wao:
"Policy Brief TZ.12/2010.E: Tanzania tax exemptions: are they too high making us too dependent on aid?"
Utafiti huu unaonyesha Kwamba Zanzibar inasamehe kodi sawa naalmost 50% ya Mapato yake, huku "Tanganyika" yenyewe ikisamehe 23%. Anaye samehe (Zanzibar) anafidiwa shortage na anayekusanya(Tanganyika). Bado mnaona hoja zetu ni za kujichekesha, hoja zenu za maana!
Je hii misamaha ya kodi within their fiscal autonomy wanalazimishwa kufanya hivyo na Tanganyika?
Mkuu, pamoja na Barubaru, nadhani Mnajua Kwamba
Over 98% of development budget in Zanzibar is AID. Barubaru, ni jadi yako kujadili utegemezi wa bajeti ya muungano on aid Wakati Zanzibar utegemezi ni mkubwa zaidi, lakini muhimu zaidi ni Kwamba hata Zanzibar ikiamua kujitoa kwenye muungano kesho, itaondoka ikiwa pengine nchi pekee ya dunia ya Tatu ambayo ime epuka the aid curse. Hii laana tumebeba watanganyika kwa utaifa wa Tanzania!
Mjadala wowote juu ya aid dependence ya Tanzania Kwamba ni kubwa, inatakiwa kuweka into account Kwamba Katika hiyo dependence, nchi ya Zanzibar ambayo Ipo ndani ya nchi ya Tanzania, dependence Yao on aid kwa ajili ya development budget is almost 100%. Je bajeti kwa ajili ya matumizi ya kawaida, mchango wa Zanzibar kutoka vyanzo vyake ni kiasi gani? Sidhani mama unataka twende Huko kwani ni uchungu sana kuona mtanganyika anavyoenyeshwa kubeba nchi Jirani.
Mkuu, pamoja na Barubaru, mkae mkijua Kwamba as aid dependence ya Zanzibar stays constant, na pengine kuzidi kupanda mkipata uwanja wa kujidai kivyenu na mikopo Kama vile ni sifa na uzalendo, kwa upande wa bara, dependence inashuka mwaka hadi mwaka, na sio kweli Kwamba Ipo at 40%. Hivi tunavyozungumza haifiki hata 30%. Kwa maana nyingine, Tanganyika is set to become aid independent huku Zanzibar Ndio kwanza inatafuta kuwa dependent.
Mnadanganyika tu, Tyrants love aid, they are not interested in mobilizing revenues from domestic sources kwasababu that will force them to become more accountable to the electorate. For tyrants, it's always a Better idea kuwa more accountable kwa donors kuliko wananchi walipa kodi kwani watahoji legitimacy ya tyrants ambao wanakuja kodi. Tyrants na donors, madebe ya Mafuta itakuwa pasu kwa pasu.
Sent from my iPhone using JamiiForums