Scotland: 'No vote' haina maana 'No change'

Scotland: 'No vote' haina maana 'No change'

The key statement is highlited above.
There are people whot think that there shouldn't be Syria or Iraq. Millions of them actually, trying to bring back some medieval caliphate. They are nothing but a bunch of loonies who need to be left alone. The problem is with the government that failed to unite us (Both governments), by failing to adhere to principles of Unity and pan- africanism.
Our brotherhood- unlike with other countries- is more than what some people would like it to be.
So what i'm trying to do here is counter-attack their deep-sitted prejudices by bringing facts and relying on commonly accepted philosophies of sane people and not mere fanatics trying to grab as much power as they can regardless of the means.
They are even trying to mobilize people to demonstrate in the streets, and are embarrassed by the mass day after day while blaming their failure on a police state (so-called).

now, back to this topic, ..... United Kingdom has shown no interest of becoming a federal government. You guys should know this.

Economic realities of the UK are not same as ours. But the question here is not whether UK goes Federal or remains unitary, the question is fair allocation of resources, and letting four peoples of the UK decided their internal affairs. Whether that can be achieved through federalism, Unitarianism or devolution, well and good.

If Tanzania goes federal with same arrangements as we have now, the root cause of current grievances will still be there. Kwa hiyo mamalalamiko yataeldelea kuwepo. Serikali mbili "zilizoboreshwa" under same arrangements will still be square one.

The only viable solution here is for Mainland to have equal status of statehood with that of Zanzibar and manage her own affairs and monies, without footing the bill of keeping the expensive union alive. And Zanzibar should also enjoy more autonomy so as she can be useful member of the union.
 
Nguruvi3

1)Mkuu you were all over with your last post habari za kodi yako kwenda Msumbiji kuna husiana vipi wakati wao wana full autonomy kama nchi, ZnZ wamepoteza part of that kwa sababu ya muungano ndio maana wanachangiwa na serikari kuu kujiendesha na kufanya shughuli za kiserekari on the other hand hawana mamlaka ya kutafuta hela za maendeleo independently ilihali na wao ni taifa.

2)Hakuna mtalii anaekuja Tanzania ni viongozi tu wa serikari ya muungano na wanakuja kufanya kazi zao za uwakilishi ama ni wafanyakazi wa serikari kuu ya Jamhuri ya watu wa Tanzania. Ndio maana ya kuungana ata huko washington awapokei watalii bali ni viongozi ambao wanalipwa na serikari kwa kazi za uwakilishi in short popote kwenye muungano kutakuwa na mji ambao bunge kuu lipo na washiriki ukutania hapo kujadili maswala ya taifa.

3)Alichokileta EMT sio kipya kabisa saa zingine habari zinaandikwa kwa sababu ya kutoa elimu tu, kwa sababu za kisiasa na agenda etc; lakini uhalisia wa mambo hupo kwenye katiba. Serikari ya Scotland ina devolution ya mambo zaidi ya 40 na wanapokea 'block grant' ambayo wanaweza amua jinsi ya kuitumia na kuendesha maisha yao katika devolved matter, kwa hivyo kama wana train za bure ni kutokana na maamuzi yao jinsi watavyo weza imudu, kama wanatumia zaidi kwenye huduma za afya ni kwa sababu ya maamuzi yao na kama wamekataa tuition fees ni kwa sababu hizo hizo kiuchumi ambazo wao ndio waamuzi kwa mujibu wa devolution. Kwa hivyo mambo ambayo yameshakuwa devolved kuyafanyia comparison ujue msukumo ni siasa tu lakini ukweli huko wazi.

4)Swali ambalo sijapata jibu walau umerudi na comment je ZnZ inauwezo wa kufanya maamuzi mengi ya kiuchumi kwa sasa either kutokana na grant inazopewa ama through devolved matters mpaka muwalaumu hivyo kama wapenda dezo? Ukiweza kutuelezea jinsi gani walivyo wazembe na hawana kamba yeyote waliofungwa labda unaweza kutu convince ki manitki vinginevyo kama nilivyosema ni watu wakujifurahisha tu na comment zenu lakini si uhalisia wa mambo.
Hoja namba 1: Kama ni taifa na wana autonomy wapi taifa la Tanganyika? Wao wamepoteza nguvu za kiuchumi kwa mujibu wako, sisi tumepoteza taifa kabisa.


Pili, hakuna serikali kuu, hilo ni jina, serikali kuu maana yake rasilimali za Tanganyika.
Huwezi kuwa na znz katika JMT halafu ikapata kutoka JMT ambayo hakuna mshirika mwingine.
Wakinodoka znz kuja kudowea ni JMT, wakishapata cheque ni wazanzibar hawana habari na Utanzania. wameshatukataa tufanyeje.


Tatu, hivi unaposema hawana nafasi ya kukopa na misaada, si hapa mnaungana nasisi katika kuwapa mamlaka kupitia S3? Tanganyika haina sababu za kuwazuaia znz kwenda W na IFM, Oman na Malaysia au China.

Tena wakienda huko inatupa unafuu sana. Kwasasa wanakopa michele Kenya tunalipa deni Tanganyika. Msome Mchambuzi kuhusu deni la ndani na nje na nani anawalipia.

Kumbuka, hawana gharama za ulinzi na usalama ambazo kwao tu ni mzigo hata kama watakuwa na misaada na mikopo. Hwana bajeti ya mambo ya ndani, wala ya nje.
Hawana gharama za elimu, na almost kila taasisi. Kila wanapokuja ni kudowea.
Mfano, hebu tueleze 21% ya ajira za muungano imepatikanaje wakati wao pia ni sehemu ya JMT ya 79%

Yaani muungano unaajiri wznz wengi kuliko SMZ, unasomesha wznz wengi kuliko SMZ bado mnataka wapewe tu.


Hoja 2: Tunawaita watalii kwasababu wamekosa adabu na heshima na katiba ya 1977.
Znz ilipokiuka katiba hiyo watalii walikaa kimya kana kwamba ni haki. Hoja kubwa waliokuwa nayo ''kwanini hakuna IGP mzanzibar, CDF mznz au mabalozi wachache''


Ni watalii kwasababu ZNZ imeondoa mambo yalikuwa yanawalete Dodoma. Hivi wanajadili bandari za Tanganyika zinawahusu nini. Wanakuwa katika kamati za serikali za mitaa inawahusu nini.
Wanajadili wziara ya afya inawahusu nini. Wanajadili shirika la viwango, takwimu n.k. yanawahusu nini.


Wanajadili gesi ya Mtwara inawahusu nini ikiwa walikimbiza kuondoa katika muungano baada ya kuambiwa kuna madebe 47 baharini. Hawana shuguhuli Dodoma ndio maana hoja zao ni hizi za IGP mzanzibar. Tunawalipa 126Bilioni bila kufikiri. Kama wangelipiwa na SMZ wala nisingejadili, wanalipiwa na kodi za Watanganyika kuja kutetea IGP mzanzibar! pathetic

Lakini pia wana serikali yao, mfuko wa jimbo ambao ni kodi za Tanganyika kwanini uende znz? Na hata ukienda, uwiano unatia kinyaa. Mtalii mmoja anawakilisha watu 1,500 anapewa bilioni 30 sawa na Mbunge wa Ilala mwenye watu zaidi ya nchi ya znz. Rationale iko wapi? Fungu hilo ni kodi za Mtanganyika.
Hoja 3; Umekubaliana nasi kuwa uchumi ni kichoche cha kura ya maoni. Mjadala umekiwsha kwa suala hili.

Hoja 4; Yes, znz inakopa na deni analipa Mtanganyika. Wanakwenda kukopa hawamhusishi Mtanganyi
Zanzibar ina mamlaka za kodi, huduma na kiuchumi zisizoingiliana na muungano.
Mfano ni Bandari, shirika la meli n.k. Majuzi Rais Shein alikuwa Holland kujadiliana na Shell kuhusu oil exploration.


Kuhusu uzembe, kwanza hawkausanyi kodi katika viwango. Pili, wanatoa misamaha ya kodi kuliko Tangayika. Nne, nchi unayoweza kuizunguka kwa baiskeli, haitihitaji utitiri wa viongozi. Yote hayo mwisho wa siku wanamtupia Mtanganyika gharama.

Kwasasa wanataka bidhaa zinaiingia znz bure ziingie Tanganyika bure kwa jina la muungano. Hii maana yake uzembe wao wanataka tufuiidie sisi.

Badala ya kulipia watoto wao elimu ya juu, lwanapitisha gharama kwa Mtanganyika baba zao wakigawana vyeo vya umakamu n.k. ambavyo piaWatanganyika wanailipia.

Hawajibiki kukusanya madeni ya ndani. Zesc inakusanya pesa kisha deni linalipwa Tanesco kwa kutumia JMT.

Tunachosema kila mmoja awajibike. Znz hawana uchungu na muungano kwavile kila jambo lipo katika silver plate, hapana ! sasa wakati umefika wawajibike hata kama ni kidogo.

Wapunguze gharama kwa kujihudumia ikiwa ni pamoja na kwenda IMF, WB kukopa na kulipa wenyewe si kupitisha deni Tanganyika. Wajihudumie, tumeemelemewa tumechoka.

Huu ni wizi wa kutumia jina la JMT sasa basi, tunataka Tanganyka tupange yetu kama wao


 
Really??
Hebu zungumzia Senate ....... What do you guys get out of this?
Kama ufahamu si mkubwa sana, tafiti kabla ya kuandika.
Really? You do know very well what am talking about. Eti nifanye utafiti kabla ya kuandika! Je ni kitu gani nimedanganya? From you this is more than low, it is disingenuous but then what should I expect from a CCM sycophant!
 
Kobello,
#60 .

Mimi nimejadili contribution ya mikoa husika in terms of Gross Domestic Product, na source ni kwenye moja ya Nyaraka za Tanzania bureau of statistics. Mimi nimetumia pato la taifa, wewe unatumia Mapato ya kodi. Je unajua kuna utofauti? Kuhusu Mapato ya kodi, hakuna mjadala Kwamba dar Es salaam alone collects almost 2/3 ya kodi karibia zote, na nilionyesha Hilo. Hii ni kwa sababu, resources au production inaweza kuwa mwanza lakini kodi zinakuwa recorded Dar-Es-salaam. Hii inatokana na centralization of our tax system, chini ya mfumo wow serikali Mbili, na Ndio maana hata mamlaka za serikali za Mitaa zinakusanya only 10% ya matumizi yake, the rest gets to them as transfers. Ndio maana kutumia kigezo cha GDP contribution kinatupatia the other side of the story kujua what is really happening in mtwara na kwingineko.

Mimi pia naendelea na analysis ya kodi Katika muktadha wa gharama za muungano kisha nitarudi na mrejesho.

Ila kaa ukijua pia Kwamba kila ninapojadili bajeti za muungano na za Zanzibar, maana yake ni Mapato ya kodi TRA, ZRA...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kobello,
#160 ,
Kwanini ni jadi yako kushambulia mtoa hoja badala ya kuweka focus kwenye hoja iliyopo Mbele yako? At the conclusion of #160 , you attack me on a trivial issue Kama spelling ya singida Wakati kwenye bandiko langu nilisema Kabisa mniwie radhi kwa spelling errors.

Tukifanya analysis of data kwa kuangalia sources mbalimbali, mnasema "cookedof data", mkileta data za copy and paste from TRA, hizo Ndio genuine data. How low! Nadhani unao weledi we kutosha wa kutotafuniwa data na badala yake kutazama data mbalimbali through research, kuzifanyia cross sectional analysis, kisha kujiwasilisha. Je unajua tofauti ya data za aina hii na hizo za copy and paste za TRA au kwingineko?

Nitaweka sources zangu zote za cross sectional analysis, lakini sources ni pamoja na takwimu za idara ya takwimu, na aid review documents conducted na donor community za FY 2011-2012.
 
Last edited by a moderator:
Happy Feet,

#159 unajadili hivi:

"Mkuu you were all over with your last post habari za kodi yako kwenda Msumbiji kuna husiana vipi wakati wao wana full autonomy kama nchi, ZnZ wamepoteza part of that kwa sababu ya muungano ndio maana wanachangiwa na serikari kuu kujiendesha na kufanya shughuli za kiserekari on the other hand hawana mamlaka ya kutafuta hela za maendeleo independently ilihali na wao ni taifa."

Kama ilivyo kwa msumbiji kuwa nchi Jirani na Tanganyika, Vivyo hivyo ni nchi ya Zanzibar. Kwanini unataka tupoteze mjadala kwenye Ukweli huu? Mnadhania kila mtu humu ni mjinga?

Hivi ni kwanini Zanzibar hadithi Zenu ni zile zile za mikopo na misaada Kama vile hii Ndio hujenga uchumi na kutokomeza umaskini? Ni taifa gani ambalo lilitatua umaskini na kujiletea maendeleo kupitia misaada?

Zanzibar is not creative Kabisa internally Katika suala Zima la mobilization of domestic revenues. Mtakuja na vizingizio tu visivyo na msingi Kwamba wamekabwa na bara, Wakati Ukweli ni Kwamba Zanzibar Ina fiscal autonomy lakini bado inasamehe kodi kuliko bara, twice as much Kama nilivyojadili awali, na hii ni kwa Mujibu wa vyanzo vingi, ikiwa ni pamoja na "twaweza" ambao wameonyesha Hilo kupitia utafiti wao:

"Policy Brief TZ.12/2010.E: Tanzania tax exemptions: are they too high making us too dependent on aid?"

Utafiti huu unaonyesha Kwamba Zanzibar inasamehe kodi sawa naalmost 50% ya Mapato yake, huku "Tanganyika" yenyewe ikisamehe 23%. Anaye samehe (Zanzibar) anafidiwa shortage na anayekusanya(Tanganyika). Bado mnaona hoja zetu ni za kujichekesha, hoja zenu za maana!

• Je hii misamaha ya kodi within their fiscal autonomy wanalazimishwa kufanya hivyo na Tanganyika?

Mkuu, pamoja na Barubaru, nadhani Mnajua Kwamba
Over 98% of development budget in Zanzibar is AID. Barubaru, ni jadi yako kujadili utegemezi wa bajeti ya muungano on aid Wakati Zanzibar utegemezi ni mkubwa zaidi, lakini muhimu zaidi ni Kwamba hata Zanzibar ikiamua kujitoa kwenye muungano kesho, itaondoka ikiwa pengine nchi pekee ya dunia ya Tatu ambayo ime epuka the aid curse. Hii laana tumebeba watanganyika kwa utaifa wa Tanzania!

Mjadala wowote juu ya aid dependence ya Tanzania Kwamba ni kubwa, inatakiwa kuweka into account Kwamba Katika hiyo dependence, nchi ya Zanzibar ambayo Ipo ndani ya nchi ya Tanzania, dependence Yao on aid kwa ajili ya development budget is almost 100%. Je bajeti kwa ajili ya matumizi ya kawaida, mchango wa Zanzibar kutoka vyanzo vyake ni kiasi gani? Sidhani mama unataka twende Huko kwani ni uchungu sana kuona mtanganyika anavyoenyeshwa kubeba nchi Jirani.

Mkuu, pamoja na Barubaru, mkae mkijua Kwamba as aid dependence ya Zanzibar stays constant, na pengine kuzidi kupanda mkipata uwanja wa kujidai kivyenu na mikopo Kama vile ni sifa na uzalendo, kwa upande wa bara, dependence inashuka mwaka hadi mwaka, na sio kweli Kwamba Ipo at 40%. Hivi tunavyozungumza haifiki hata 30%. Kwa maana nyingine, Tanganyika is set to become aid independent huku Zanzibar Ndio kwanza inatafuta kuwa dependent.

Mnadanganyika tu, Tyrants love aid, they are not interested in mobilizing revenues from domestic sources kwasababu that will force them to become more accountable to the electorate. For tyrants, it's always a Better idea kuwa more accountable kwa donors kuliko wananchi walipa kodi kwani watahoji legitimacy ya tyrants ambao wanakuja kodi. Tyrants na donors, madebe ya Mafuta itakuwa pasu kwa pasu.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Facts:

1. Almost 90% ya fedha kutoka nje kwenda Zanzibar kwa ajili ya kusaidia bajeti zake zinadhaminiwa na Tanganyika, Tena bure Kabisa, nothing in return. Kwani hata huo utanzania ambao mtanganyika ameamua kushiriki ikijenga na kuachana na utanganyika tangia 1964, mzanzibari Wala Hana habari nao isipokuwa pale anapo hitaji faida za kiuchumi, ulinzi na usalama. Mzanzibari anaweka Mbele utaifa wa Zanzibar kwanza Kabla ya utaifa wa TANZANIA huku mtanganyika akiambiwa Kwamba kufanya hivyo kwake ni uhaini.

2. Zanzibar hajawahi kumpa faida Zozote mtanganyika kiuchumi kwa miaka 50. Mara baada ya muungano, iligundulika Kwamba Zanzibar Hana uwezo wa kuchangia gharama za muungano kwani Mapato yake yalikuwa ni excise duty za karafuu tu. Uamuzi ukawa - 75% ya Mapato ya Tanganyika yageuzwe kuwa ni ya muungano ili Zanzibar apate faida za kiuchumi, ulinzi na usalama. Kodi hizi ni zile kwa makampuni na Watu binafsi, ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa. Je unaweZa kutuambia mwaka 1964 Zanzibar alikuwa na vyanzo gani vya kodi?

Kwenye mijadala mingine tumejadili kwa kina:

1. Vyanzo vya Mapato ya muungano kwa Mujibu wa katiba ya JMT 1977. Hatukuona mzanzibari Anachangia vipi na kwa Mapato yepi kwa miaka 30 sasa.

2. Tulijadili jinsi gani Zanzibar iliacha kuchangia mwaka 1984.

3. Tumeainisha Mapato na matumizi ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na hakuna sehemu tunaona Zanzibar wakichangia muungano au kulipa the 88% ya fedha za watanganyika kwa ajili ya kuendesha Mambo Yao yasiyo husu watanganyika.

4. Tumeainisha Mapato na matumizi ya Tanganyika ambayo yalitakiwa yawe nje ya muungano na yawe kwa ajili ya maslahi ya watanganyika tu Kama ilivyo kwa Zanzibar na Mapato yake nje ya muungano, lakini Kama tulivyojadili, Mapato ya mtanganyika ni ya mtanzania (mzanzibari akiwepo ndani) huku Mapato ya wazanzibari yakiwa ni kwa ajili ya wazanzibari tu, chini ya ZRB.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa mkuu wangu fedha za kutoka nje ulitaka zidhaminiwe na nani? na Je ikiwa serikali 3 fedha hizi zitadhaminiwa na nani? sii ndio maana ya muungano ama kuna maana nyingneyo ambayo ulitaka wewe mikopo ya fedha za mendeleo kutoka nje zidhaminiwe na serikali ndogo!. Hiyo development budget ya bara ni kiasi gani cha fedha zake ni AID mbona hukuzungumzia hili? na bajeti yetu ni mara ngapi ya ile ya Zanzibar kwa ukubwa? Zanzibar imeacha kuchangia kutokana na kutokuwepo mfuko wa Muungano, mfuko ambao sio sehemu ya mapato juu ya maswala ya maendeleo umedhihirisha. Ni swala la Kimfumo lilopangwa na huwezi kusema zanzibar ndio mkosa wakati Tanganyika yenyewe haichangii mfuko huo maana haupo. Na hata kama ukiwekwa kesho na tukaunda serikali 3 Tanganyika itagharamia zaidi kuliko ilivyo sasa. Kiswahili gani tuzungumze...

Hata Marekani leo wana madeni ya matrillioni na haisemi nchi ngani ilosababisha madeni hayo bali chama gani na sera gani zimewafikisha hapo kisha ni serikali kuu inadhamini madeni hayo iweje utumie mfano huu wakati hata kwenye S3 ingelikuwa hivyo hivyo. Mkuu hata sikuelewi kabisa, yaani mnachoandika ni vichekesho vitupu. Mlisema toka zamani kwamba Zanzibar ina fiscal auotonomy wakati Tanganyika haina, sawa - nikawauliza je Zanzibar ina fiscal auotonomy katika mambo gani? yaorodhesheni ili tuone kama Tanganyika ndani ya serikali ya Muungano haina mamlaka hayo, mkaingia mitini kimyaaa...maana kipimo halisi sio maneno matupu bali ni mamlaka yenyewe yapo ama hayapo sio hadith za Alinacha.
 
Sasa muu wangu fedha za kutoka nje ulitaka zidhaminiwe na nani? na Je ikiwa serikali 3 fedha nhhizi zitadhaminiwa na nani? sii ndio maana ya muungano ama kuna maana nyingneyo ambayo ulitaka wewe mikopo ya fedha za amendeleo kutoka nje zidhaminiwe na serikali ndogo. Hiyo development budget ya bara ni kiasi gani cha fedha zake ni AID mbona hukuzungumzia hili? na bajeti yetu ni mara ngapi ya ile ya Zanzibar kwa ukubwa? Zanzibar imeacha kuchangia kutokana na kutokuwepo mfuko wa Muungano, mfuko ambao sio sehemu ya mapato juu ya maswala ya maendeleo imedhihirika. Ni swala la Kimfumo lilopangwa na huwezi kusema zanzibar ndio mkosa wakati Tanganyika yenyewe haichangii mfuko huo maana haupo. Na hata kama ukiwekwa kesho na tukaunda serikali 3 Tanganyika itagharamia zaidi kuliko ilivyo sasa. Kiswahili gani tuzungumze...

Hata Marekani leo wana madeni ya matrillioni na haisemi nchi ngani ilosababisha madeni hayo bali chama gani na sera gani zimewafikisha hapo kisha ni serikali kuu inadhamini madeni hayo iweje utumie mfano huu wakati hata kwenye S3 ingelikuwa hivyo hivyo. Mkuu hata sikuelewi kabisa, yaani mnachoandika ni vichekesho vitupu. Mlisema toka zamani kwamba Zanzibar ina fiscal auotonomy wakati Tanganyika haina, sawa - nikawauliza je Zanzibar ina fiscal auotonomy katika mambo gani? yaorodhesheni ili tuone kama Tanganyika ndani ya serikali ya Muungano haina mamlaka hayo, mkaingia mitini kimyaaa...maana kipimo halisi sio maneno matupu bali ni mamlaka yenyewe yapo ama hayapo sio hadith za Alinacha.
Mkuu hoja yako ya kukosekana mfuko ni dhaifu sana, iache. Tumeshakueleza mara nyingi sana kuhusu mfuko huo. Mfano, kama znz hawataki kulipa bili ya umeme, mfuko wa mabilioni wangelipaje?

Pili, lazima uulize pia, bajeti ya ulinzi na usalama, mambo ya ndani na nje ipo wapi katika bajeti ya znz.
Tatu, jiulize, kama Tanganyika haichangii, watalii wanpata wapi bilioni 126 za kuja kustarehe na wake zao Dodoma?
Wale wanafunzi 1,700 wanalipiwa na kitu gani ikiwa hakuna mfuko.
Znz inapata 4.5 kutoka eneo gani.

Kumbuka, 4.5% ni ya pato la Tanganyika. Hivyo znz wanaweza kulala kutwa nzima wakiomba jambo moja tu litokee, TRA Tanganyika ikusanye zaidi.

Mkandara, huo mfuko wangechangia nini ikiwa hawakuweza kulipa bilioni 11 za umeme wa Tanga pemba hadi walipkuja hazima kwa mjomba kuomba?

Ni hivi mkuu znz ni haina umuhimu katika uchumi wa Tanganyika, hatuna sababu hata za kusema tumeungana.
Tumewabeba na kuwapakata sasa tumechoka.

Don't fool yourself, znz haiwezi kuungana na Tanganyika na wala si sehemu muhimu katika uchumi wa Tanganyika.
Usiwakweze wakahisi ni muhimu sana kiuchumi, not! not at all. May be DANGOTE ni muhimu kwetu kuliko

Njia nyeupee wakitaka
 
Mkuu hoja yako ya kukosekana mfuko ni dhaifu sana, iache. Tumeshakueleza mara nyingi sana kuhusu mfuko huo. Mfano, kama znz hawataki kulipa bili ya umeme, mfuko wa mabilioni wangelipaje?

Pili, lazima uulize pia, bajeti ya ulinzi na usalama, mambo ya ndani na nje ipo wapi katika bajeti ya znz.
Tatu, jiulize, kama Tanganyika haichangii, watalii wanpata wapi bilioni 126 za kuja kustarehe na wake zao Dodoma?
Wale wanafunzi 1,700 wanalipiwa na kitu gani ikiwa hakuna mfuko.
Znz inapata 4.5 kutoka eneo gani.

Kumbuka, 4.5% ni ya pato la Tanganyika. Hivyo znz wanaweza kulala kutwa nzima wakiomba jambo moja tu litokee, TRA Tanganyika ikusanye zaidi.

Mkandara, huo mfuko wangechangia nini ikiwa hawakuweza kulipa bilioni 11 za umeme wa Tanga pemba hadi walipkuja hazima kwa mjomba kuomba?

Ni hivi mkuu znz ni haina umuhimu katika uchumi wa Tanganyika, hatuna sababu hata za kusema tumeungana. Tumewabeba na kuwapakata sasa tumechoka.
Mkuu ebu nifahamishe Zanzibar wakilipa bill ya Umeme wanamlipa nani? Ebu nipe darasa kuhusu account hiyo ni mfuko wa pamoja! wewe unaelewa vipi kuhusu neno hili maana huko nyuma kwenye mada ya Zitto nimewaeleza wazi jinsi gani inakuwa mkaingia mitini hamkurudi tena, sasa mnakuja na hizi habari za kulipia Umeme utalipia umeme shirika la Tanganyika ili iweje? huo ndio mfuko wa pamoja?.

4.5 ni fedha za mikopo huwezi kuita mkopo kuwa ni pato la Tanganyika wakati zimekopwa kwa jina la Tanzania. Weee vipi mkuu wangu mbona unachemsha!
 
Economic realities of the UK are not same as ours. But the question here is not whether UK goes Federal or remains unitary, the question is fair allocation of resources, and letting four peoples of the UK decided their internal affairs. Whether that can be achieved through federalism, Unitarianism or devolution, well and good.

If Tanzania goes federal with same arrangements as we have now, the root cause of current grievances will still be there. Kwa hiyo mamalalamiko yataeldelea kuwepo. Serikali mbili "zilizoboreshwa" under same arrangements will still be square one.

The only viable solution here is for Mainland to have equal status of statehood with that of Zanzibar and manage her own affairs and monies, without footing the bill of keeping the expensive union alive. And Zanzibar should also enjoy more autonomy so as she can be useful member of the union.
Umemalizia utamu sana. Thank you Sir
 
Mkuu hata Bongolander mwenyewe hailewi mahesabu inahitajika mhasibu hata kuwapa darasa zuri zaidi kwa sababu nyie Mnachukulia 10 -1= 9 yaani 10 za Muungano ukitoa 1 za Zanzibar zinazobakia ni za Tanganyika! lakini inavyoonyesha hizi ni za Muungano hamikubalini nalo.. Huu ndio mtazamo wenu lakini ukweli ni kwamba 10 - 1, hiyo moja ni kwa matumizi ya maswala ambayo Zanzibar ina mamlaka nayo, ambayo ni kidogo sana hivyo mambo mengi makubwa bado yapo kwenye Muungano na yanashughulikiwa na serikali hiyo. Hivyo nasi huku ktk hiyo 9 tutatoa yetu sawa na 1 ya Zanzibar kwa matumizi yetu kisha zile zilizobakia ndio kwa ajili ya kuendesha serikali ya Muungano.

Ukilitazama swala hili ki juu juu hutaelewa kamwe, hivyo ni muhimu sana kwa mwenye kuonyesha matumizi lazima atuonyeshe kwanza hesabu ya bara ktk mambo ambayo tuna mamlaka nayo tumetumia ngapi na zilizobakia zimegawanywa vipi kwa kuonyesha mfuko huo. Kwa hiyo 4.5 kutoka 100 sio swala la kusema tumeubeba mzigo, wakati uwekezaji wa fedha asilimia 95.5 ni ktk matumbo ya watu.
 
TAZAMA HII VIDEO KUANZIA DAKIKA YA 36

 
Last edited by a moderator:
Zanzibar wana Mapato Yao as a "state" (ZRB), na bado wana Mapato Yao kutoka Tanganyika iliyovaa koti la muungano as if Zanzibar Ndio federal government! Zanzibar wana matumizi, lakini kwenye uchangiaji, hawamo; sasa hoja za kujifurahisha ni zetu au za kwako?

Nimalizie na mfano mwingine wa Huko Huko kwako USA kuonyesha jinsi gani Zanzibar wananyonya watanganyika. Muungano wao wa shirikisho una sales tax ambazo federal government haichukui hata senti moja. Sehemu kubwa ya sales tax huwa ni pamoja na VAT. Sales tax kwa marekani hubakia kwa states husika. Kwetu Tanzanka Hali ipoje?

Sales tax (VAT) Hapa kwetu (kwa bidhaa za ndani na nje) kwa mwaka huu wa fedha zilikuwa karibia shillingi trilioni Tatu. Hizi ni fedha nyingi sana kwa maana ya Kwamba ni kiasi ambacho kinaweza kugharamia serikali ya muungano wa shirikisho na chenji ikabakia.

Na hata sasa kwa Mfumo ovyo wa serikali Mbili, ufujaji ukidhibitiwa, zinatosha kuendesha muungano. Muhimu zaidi ni

Kwamba serikali imekuja na Sheria mpya ya vat ambayo inalenga kufuta misamaha ya kodi hizi ili kuongeza kipato, Which means in ni time, vat itakuwa largest contributor wa kodi za nchi. Kwa sasa ni corporate and personal income taxes.

Kwa wenzetu USA tumeona Kwamba federal government haigusi kodi hii, inaachia subnational governments za states husika.

Kwetu, over 90% ya VAT inakusanywa Tanzania bara, lakini kodi hii inawekwa kwenye kikapu cha muungano kwa sababu Tanganyika haina serikali yake, haina mamlaka yake ya kukusanya kodi Kama ZRA kwa Zanzibar

je hii ni Haki kwa watanganyika? Kwanini mwanangu akinunua lambalamba VAT yangu iende Zanzibar?
This is outrageous kwani kwenye katiba ya sasa, VAT ni Mapato ya Tanzanka bara, sio ya muungano.

Mapato yote ya Zanzibar ambayo sio ya kimuungano yanabakia Zanzibar. Vyanzo vya muungano ambavyo vinatakiwa vichangiwe na pande zote Mbili za muungano, Tanganyika aliamua kufanya 75% ya Mapato yake ya kodi yawe ni kwa ajili ya ujenzi wa utanzania na kufuta utanganyika, akitegemea Zanzibar nae atafuta uzanzibari.

Leo, Zanzibar hachangii muungano kwa miaka 30 sasa, na Ana utaifa wake wa Zanzibar ambao ni muhimu kuliko utaifa wa Tanzania unless ni kwa ajili ya faida za kiuchumi, ulinzi na usalama.

Mtanganyika akihoji kwanini amekuwa betrayed? Anaitwa mhaini. Mzanzibari akitetea utaifa wake ndani ya utaifa wa Tanzania na kufikia hatua ya kuwatusi watanganyika, na hata kumdharau rais wa JMT kwa kuvunja katiba aliyoapa kuilinda, mzanzibari anaonekana Kwamba anachopigania ni Haki yake. Ndio maana nauliza - Kati yetu na wewe, Nani anajenga hoja za kujifurahisha?
Naam, Mtanganyika akihoji anaambiwa ana chuki. Kwamba upendo ni pale Mtanganyika atakapokaa kimya akigumia maumivu. Akisema tu, hilo ni chuki.

Hivi chuki ni ipi, huyu anayetoa 75% ya mapato yake au yule anayetumia 75% ya mapato ya mchangiaji bila kuchangia.

Na hapa tunasisitiza, znz haiwezi kuchangia sawa na Tanganyika. Swali ni kuwa hicho kidogo wanachochangia kipo wapi?
 
Pamoja na ujinga huu katika kuendesha taifa, bado rasimu ya Katiba ya CCM inayosimamiwa na mafisadi Sitta na pacha wake Chenge, wanataka Zanzibar wawe na maraisi wanne, kila Wazanzibari chini ya laki nne (400,000) watoe Raisi! Kulingana na mapendekezo yao hii idadi inajumuisha Raisi wa Zanzibar, Makamo wa Raisi wa Jamhuri kutoka Zanzibar, Makamo wa kwanza wa Raisi Zanzibar, Makamo wa pili wa Raisi Zanzibar! Huu uenda wazimu wote ni katika kuhakikisha kwamba hakuna mtu wa kuwajibika/kuwajibishwa ndani ya Tanganyika kwa mwamvuli wa Muungano, why? Eti nia ni kuulinda Muungano huu feki. Imefikia hatua hata nafasi za kazi ndani ya Muungano Wazanzibari (asilimia 5% ya Watanzania) wapewe haki ya kuhodhi nafasi za ajira kwa asilimia 21%! Bila kuchangia hata senti kwenye bajeti ya Muungano? If this is not madness, then the word madness does not exist.
Mkuu , samahani kama nitakutia machungu zaidi.

Hiyo 21% hadi leo hakuna mtu aliyeweza kujitokeza kueleza inapatikana kwa formula gani.
Tunachojua, alikuja makamu wa Rais Idd Seif wa znz, waziri wa fedha wa SMZ, waziri muungano Samia Suluhu, Makamu wa Rais JMT gharibu na waziri mkuu wa JMT Pinda. Hawa wznz ndio waliamua bila formula kutoa 21%

21% ajira za muungano inahusisha ajira ambazo wznz wanalalamika si za muungano kama za wizara za ujenzi, halmashauri, wizara ya kilimo, afya n.k. Leo wanapata ajaira halali kutoka chanzo haramu. Hawasemi, tena wanajipangia tu asilimia 21 ndani ya Tanganyika.

Tulkifanya wafanyakazi wa muungano(just for discussion) ni 100,000, hii ina maana 21,000 ni wznz.
SMZ inaajiri 10,000 tu. Kwamba Tanganyika inatoa twice as much as SMZ na bado wanalalamika kwamba wanakosa misaada na mikopo, wanaonewa. Hivi hapa nani anaonewa.

Lakini pia kumbuka katika 79% iliyobaki ni ya JMT ambayo mzanzibar ana haki kabisa ya kupata bila kubaguliwa.
Kwa maana nyingine, wanapata 21 halafu wanapata sehemu ya 79% ya Watanganyika kwasababu Tanganyika haupo kilichopo ni Tanzania na wao wanatumia Tanzania kama sehemu ya mafao.

Hawa 21% ni wale waliosoma bila mikopo(BURE) bado wametengewa pepo yao wenyewe, halafu wanaingia katika ushindani na wenzao waliosoma kwa mikopo katika kundi la 79%. Wazanzibar wanalalamika wanaonewa, hivi hapa anayeonewa ni nani?

Katika 21% na sehemu ya 79% ambayo ni wznz gharama za mishahara na mfao yao siku za baadaye ni mzigo wa Mtanganyika kwa jina la JMT. Leo tunalipa malipo ya wafanyakazi wastaafu wa SMZ ambao hawakuwahi kutoa huduma Tanganyika hata siku moja.

Pamoja na kuwapa 21 na 79% bado tunawalipa PAYE YA BILIONI 15 sawa na takribani bilioni 1 kwa mwezi.
Kwamba, tunawapa ajira kwa gharama za Watanganyika, wakiwa wamesoma bure kwa gharama za wWatanganyika halafu tunawapongeza na PAYE kwa kukubali kupokea asilimia 21 ya ajira zao maalumu kama sehemu bora ya Tanzania, wakiwa katika asilimia 79 ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. This is insane the least to say.


Hakuna njia ya mkato isipokuwa Tanganyika kurudi, tuweke kunde sehemu moja, makapi sehemu ya pili na kisha tujadiliane mashudu tunayapeleka wapi. Vinginevyo hawa wznz wataendelea kutumia jina Tanzania kuiba na kupora haki na rasilimali za Watanganyika huku wakipiga makelele ya 'nataka, na mimi , nipe kila siku'' Hapana sasa mwisho.

Tunataka wapewe mamlaka ya serikali yao kwenda IMF, WB, watengeneze ajira zao, na Tanganyika nayo ijue inashughulikia vipi watu wake.

Na mwisho, tuulize hivi mkoa gani umepangiwa asilimia za ajira? Kama hakuna znz ina umuhimu gani kiasi cha kuweza kuja Tanganyika na kuamua wanataka nini. Hapana hili lifike mwisho, watu laki 400 hawawezi kuendelea kutufanya mazezeta kiasi hiki.
 
Sasa mkuu wangu fedha za kutoka nje ulitaka zidhaminiwe na nani? na Je ikiwa serikali 3 fedha hizi zitadhaminiwa na nani? sii ndio maana ya muungano ama kuna maana nyingneyo ambayo ulitaka wewe mikopo ya fedha za mendeleo kutoka nje zidhaminiwe na serikali ndogo!.

Ebu Rudia swali lako Katika muktadha wa nchi Mbili, serikali Mbili kisha urudi tuendelee na mjadala husika. Pia USiache kujadili gharama za muungano kwa sura ya:
1. Mapato.
2. Matumizi.
2. Uchangiaji.

Hiyo development budget ya bara ni kiasi gani cha fedha zake ni AID mbona hukuzungumzia hili?
.
Mbona Nimesema hapo juu Kwamba haivuki 30%. Lakini Kama unataka thamani kwa shiliingi, vyanzo vya fedha za bajeti 2013-14 kwa mfano ilikuwa ni jumla la shillingi trilioni 18.2 Kama ifuatavyo:

1. Misaada na mikopo nafuu ya kibajeti. 7%.
2. Misaada na mikopo nafuu ya miradi ya maendeleo 15%.
3. Mikopo ya nje ya kibiashara 7%.

Vyanzo vya nje ilikuwa ni 28% ya bajeti yote tofauti na upotoshaji wa Barubaru Kwamba hadi Leo tunategemea fedha za nje asilimia 40, sijui 60...;

Kwa mwaka huu wa fedha (2014-15), mikopo mipya ya nje ni shillingi 2.7 trillion, sawa na 14%.

na bajeti yetu ni mara ngapi ya ile ya Zanzibar kwa ukubwa?
Bajeti ya Zanzibar (shillingi trilioni 700 na ushee) ni 35% ya bajeti ya muungano which stands at 19.8 trillion shillings. Bajeti ya Zanzibar Ipo Katika muktadha wa fiscal autonomy, Ina Mapato ambayo hayamhusu mtanganyika. Badala ya kuwa wabunifu Kama Tanganyika kupunguza aid dependence, ubunifu wao ambao na wewe unawatetea ni more aid dependence kwa Zanzibar. Nimeuliza, nchi gani duniani imefanikiwa kupitia foreign aid?

Tukija kwenye bajeti ya muungano, hii ni ya watanzania (Tanganyika + Zanzibar), ambayo inagharamiwa na mtanganyika aliyebeba koti la muungano. Do I need to say more?

Zanzibar imeacha kuchangia kutokana na kutokuwepo mfuko wa Muungano, mfuko ambao sio sehemu ya mapato juu ya maswala ya maendeleo umedhihirisha. Ni swala la Kimfumo lilopangwa na huwezi kusema zanzibar ndio mkosa wakati Tanganyika yenyewe haichangii mfuko huo maana haupo.
Hakuna anayesema Zanzibar Ina Makosa, ebu tuonyeshe wapi Mimi Najenga hoja hiyo. Naomba niseme pia hili:
Mijadala yako juu ya kutokuwepo na mfuko wa pamoja huwa inapwaya sana kwani licha ya Ukweli wa kutokuwepo kwa mfuko huo, unashindwa kusema Kwamba JFC imekwama kwa sababu ni Vigumu kutenganisha Mapato ya muungano na Mapato ya Tanganyika. Jina Tanganyika unaliogopa mno. Vinginevyo sababu ya kitaalam, kiuchumi, world all over juu ya kukwama kwa JFC ni kutokuwepo kwa serikali ya Tanganyika. Haya ni marudio tu kwani I have explained this over and over again.

Na hata kama ukiwekwa kesho na tukaunda serikali 3 Tanganyika itagharamia zaidi kuliko ilivyo sasa. Kiswahili gani tuzungumze...

Wewe Ndio hauelewi Kiswahili Chetu. Let me repeat again Mara Mia moja - hatusemi Zanzibar wachangie kwa usawa na Tanganyika, basi Zanzibar wachangie kwa kiwango ambacho kitajadilika, Katika masuala machache yanayotakiwa kuwa ni ya muungano, na mengine nje ya muungano, kila upande ugharamie kwa urefu wa Kamba yake. Kwanini kwa miaka miwili sasa hauelewi lugha Rahisi namna hii?

Hata Marekani leo wana madeni ya matrillioni na haisemi nchi ngani ilosababisha madeni hayo bali chama gani na sera gani zimewafikisha hapo kisha ni serikali kuu inadhamini madeni hayo iweje utumie mfano huu wakati hata kwenye S3 ingelikuwa hivyo hivyo.
Naona unachagua hoja zangu zipo ujadili, Zipi ukwepe. Nimejadili awali Kwamba regardless of udogo wa states marekani, kila Raia nchini marekani Anachangia kwenye muungano in one way or another kupitia Mfumo wa kodi uliopo USA. Nilitaka hata aina ya kodi husika.

Mkuu hata sikuelewi kabisa, yaani mnachoandika ni vichekesho vitupu.
Hoja yoyote ya muungano kiuchumi lazima iwachekeshe wenye hoja za muungano kisiasa. Hii ni kwa sababu mtazamo wenu ni Kwamba uchumi unatakiwa kutumikia siasa.

Mlisema toka zamani kwamba Zanzibar ina fiscal auotonomy wakati Tanganyika haina, sawa - nikawauliza je Zanzibar ina fiscal auotonomy katika mambo gani? yaorodhesheni ili tuone kama Tanganyika ndani ya serikali ya Muungano haina mamlaka hayo, mkaingia mitini
kimyaaa...maana kipimo halisi sio maneno matupu bali ni mamlaka yenyewe yapo ama hayapo sio hadith za Alinacha.

Hili ni swali hopeless Kabisa, halina mantiki ndio maana huwa nalipuuza, huku wewe ukitafsiri kufanya hivyo ni kuingia mitini. Ngoja nikujibu basi Kidogo:

Ndio Zanzibar is fiscal autonomy to deal with her national development strategies and policies. Kwa mfano rejea mjadala wangu wa awali juu ya MKUZA, Vision 2020, zote kwa upande wa Zanzibar Wakati Katika suala la MKUKUTA na vision 2025, Zanzibar wapo pia Kama watanzania.

Your analysis becomes even more hopeless pale Unaposema Kwamba - unakubali Zanzibar Ina fiscal autonomy halafu hapo hapo unauliza hiyo autonomy ni Katika masuala gani, vipi mkuu, Mbona Unajichanganya hivyo? Mbaya zaidi ni Kwamba unasema Zanzibar Ina fiscal autonomy Kama ilivyo Tanganyika ndani ya serikali ya muungano, hivi hauoni Kama kukaa Kwangu Kimya kwa hoja mbovu Kama hizi ni kukutunzia heshima na sio kuingia mitini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata Bongolander mwenyewe hailewi mahesabu inahitajika mhasibu hata kuwapa darasa zuri zaidi kwa sababu nyie Mnachukulia 10 -1= 9 yaani 10 za Muungano ukitoa 1 za Zanzibar zinazobakia ni za Tanganyika! lakini inavyoonyesha hizi ni za Muungano.. Huu ndio mtazamo wenu lakini ukweli ni kwamba 10 - 1, hiyo moja ni kwa matumizi ya maswala mabyo Zanzibar ina mamalaka nayo ambayo ni kidogo sana hivyo mambo mengi makubwa bado yapo kwenye Muungano na yanashughulikiwa na serikali hiyo. Hivyo nasi huku ktk hiyo 9 tutatoa yetu sawa na 1 ya Zanzibar kwa matumizi yetu kisha zile zilizobakia ndio kwa ajili ya kuendesha serikali ya Muungano.

Ukilitazama swala hili ki juu juu hutaelewa kamwe, hivyo ni muhimu sana kwa mwenye kuonyesha matumizi lazima atuonyeshe kwanza hesabu ya bara ktk mambo ambayo tuna mamlaka nayo tumetumia ngapi na zilizobakia zimegawanywa vipi. Kwa hiyo 4.5 kutoka 100 sio swala la kusema tumeubeba mzigo, wakati uwekezaji wa fedha asilimia 95.5 ni ktk matumbo ya watu.

Mkuu Mkandara nakubaliana na wewe kuwa tunatakiwa tuwe na takwimu halisi za uchumi, ziwe wazi ili uelewe.

Lakini kabla ya kupata takiwmu kuna kitu kunaitwa equity na equality. Mchango wa wa Zanzibar kwenye muungano unafuata msingi wa Equity, yaani kubeba mzigo kutokana na uwezo wake. Bahati mbaya hata hilo haifanyi.

Lakini kwemnye kunufaika wanakuwa wa kwanza kusema wanataka equality, yaani nusu nusu. Wanataka idadi ya mabalozi wa Tanzania katika nchi za nje iwe sawa kwa wabara na wavisiwani, bila hata kujali proportion ya idadi ya watu au hata bila kujali mchango wao kwenye MoFA.....huwa nacheka sana nikisikia wanasema, nafasi za udhamini elimu ya juu (nusu kwa nusu) mabalozi wetu nje nusu kwa nusu(equality), lakini kwenye kuchangia gharama za kuendesha wizara hizo hata siku moja hawasemi nusu kwa nusu (wanataka equity).

Mkuu Mkandara litakuwa ni jambo la maana kama tukipata takwimu na kuziweka hapa uangalie wazi ndio utajua kuwa, ni vizuri ikiwepo Zanzibar na ikiwepo Tanganyika. Otherwise Zanizbar ife kama ilivyokufa Tanganyika.
 
Really? You do know very well what am talking about. Eti nifanye utafiti kabla ya kuandika! Je ni kitu gani nimedanganya? From you this is more than low, it is disingenuous but then what should I expect from a CCM sycophant!
Maine na California zinawakilishwa na Senators wawili kwa kila state.
State power is balanced by the Senate, kwa hiyo population itself is not a determinant of representation. Thats what you failed to explain, unless you purposely ommitted that fact, which is not only low, but a bit trashy.
 
Kobello,
#60 .

Mimi nimejadili contribution ya mikoa husika in terms of Gross Domestic Product, na source ni kwenye moja ya Nyaraka za Tanzania bureau of statistics. Mimi nimetumia pato la taifa, wewe unatumia Mapato ya kodi. Je unajua kuna utofauti? Kuhusu Mapato ya kodi, hakuna mjadala Kwamba dar Es salaam alone collects almost 2/3 ya kodi karibia zote, na nilionyesha Hilo. Hii ni kwa sababu, resources au production inaweza kuwa mwanza lakini kodi zinakuwa recorded Dar-Es-salaam. Hii inatokana na centralization of our tax system, chini ya mfumo wow serikali Mbili, na Ndio maana hata mamlaka za serikali za Mitaa zinakusanya only 10% ya matumizi yake, the rest gets to them as transfers. Ndio maana kutumia kigezo cha GDP contribution kinatupatia the other side of the story kujua what is really happening in mtwara na kwingineko.

Mimi pia naendelea na analysis ya kodi Katika muktadha wa gharama za muungano kisha nitarudi na mrejesho.

Ila kaa ukijua pia Kwamba kila ninapojadili bajeti za muungano na za Zanzibar, maana yake ni Mapato ya kodi TRA, ZRA...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Copy and paste au weka link.... ili tujue source ni ipi na tuwe na easy accessibilty.
Copying and pasting is better than printing your own data....
because you know damn well the total revenue of "Sindiga" annually is not close to a trillion Shillings. C'mon brah!!
 
Mkuu Mkandara nakubaliana na wewe kuwa tunatakiwa tuwe na takwimu halisi za uchumi, ziwe wazi ili uelewe.

Lakini kabla ya kupata takiwmu kuna kitu kunaitwa equity na equality. Mchango wa wa Zanzibar kwenye muungano unafuata msingi wa Equity, yaani kubeba mzigo kutokana na uwezo wake. Bahati mbaya hata hilo haifanyi.

Lakini kwemnye kunufaika wanakuwa wa kwanza kusema wanataka equality, yaani nusu nusu. Wanataka idadi ya mabalozi wa Tanzania katika nchi za nje iwe sawa kwa wabara na wavisiwani, bila hata kujali proportion ya idadi ya watu au hata bila kujali mchango wao kwenye MoFA.....huwa nacheka sana nikisikia wanasema, nafasi za udhamini elimu ya juu (nusu kwa nusu) mabalozi wetu nje nusu kwa nusu(equality), lakini kwenye kuchangia gharama za kuendesha wizara hizo hata siku moja hawasemi nusu kwa nusu (wanataka equity).

Mkuu Mkandara litakuwa ni jambo la maana kama tukipata takwimu na kuziweka hapa uangalie wazi ndio utajua kuwa, ni vizuri ikiwepo Zanzibar na ikiwepo Tanganyika. Otherwise Zanizbar ife kama ilivyokufa Tanganyika.


Mkuu Bongolander,

Asante kwa kutusaidia kwa Dhana za equity vis a vis equality Katika kuangalia Zanzibar na Tanganyika wanapata au wanastahili Kupata nini. Dhana hizi zinajenga sana.

Pia kuhusiana na hoja yako hapo juu Kwamba - Tanganyika irudi Kama ilivyorudi Zanzibar 1979 au Zanzibar ifutwe Kama ilivyofutwa Tanganyika, umesema kwa uchache lakini straight to the point. Swali linalofuata ni je:

Iwapo hadi mwaka 1979, Tanganyika ilijulikana Kama Tanzania Bara na Zanzibar Kama Tanzania Visiwani, kwanini nMshirika mmoja wa muungano - Zanzibar hakurudishiwa jina lake halisi sambamba na Tanganyika? Mkandara, ebu tusaidie Katika hili. Kwa maana nyingine mkuu mkandara, kwanini katika kipindi chote cha miaka 50 ya muungano, Zanzibar kapitia majina ya Tanzania Zanzibar na Tanzanka visiwani, Kabla ya kurejeshwa Kama Zanzibar lakini Haki hiyo Tanganyika haikuipata?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom