Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,315
- 33,811
- Thread starter
- #221
Swali ni kuwa tulikuwa na tz bara na tz visiwani. Baada ya muda tz visiwani ikatoweka tena kwa kutumia katiba(rejea Mchambuzi). Vipi TZ imebaki kwa msingi gani.Aaaah mkuu wangu PC yangu ina mashetani huzima nikiandika maelezo taratibu hapa JF, lazima niandike haraka na ku post kisha ndio nipitie taratibu!.
maswali gani ulouliza mkuu wangu kuhusu Jina la Tanganyika na nafasi za kazi 21? mbona nilikujibu huko nyuma ya kwamba ni wajibu wa kila kundi la watu kudai haya. Nani alowarudishia Zanzibar jina hilo? Hoja ya kutoimeza Zanzibar ilikuwepo toka tumeungana sielewi hili la kurudishiwa jina unalipoata wapi?
2. Unaweza kuidai Tanganyika yakoTRA wamejaa wachagga ukisema wewe kutaka makabila mengine yaajiriwe kosa?.
Chukulia kuna makabila mawili tu nchini moja limeajiriwa zaidi kuna kosa kwa kabila jingine kudai nafasi za kazi lazima itazamwe kwanza wingi wao ama ni ajira ni haki ya kila mtu. Hata wanawake wanadai ajira zaidi sii kwa sababu ya wingi wao bali ajira ni ya kila mtu acha mbali muungano wetu uloingia ubaguzi baina ya Watanganyika na Wazanzibar.
Inapofikia mahala watu mkaanza kujitazama na kutoa ajira kwa rangi zetu, Uraia wenu, basi ndio haya hutokea. Labda Wazenj wameona ajira serikali ya muungano imejaa Wabara tu kwa hiyo wanataka fursa hii nao wapewe ili kujihakikishia kuwa nao ni sehemu ya muungano.
Pili, hilo la kuajiriwa watu wa kabila au aina fulani ni eneo ulilo na ufundi nalo, najua unaelekea wapi, huko siendi.
Ninachotaka kukuambia ni kuwa wazanzibar wanakataa muungano hawataki Utanzania, isipokuwa, narudia pale tu watakapokuwa na Invoice au watakapoambiwa cheque imekamilika Dar es Salaam.
Hawataki Utanzania kwa katiba yao.
Kuhusu ajira, ni wznz hawa hawa wanalalamika kuwa wafanyakazi wasio wa muungano wanalipwa na muungano.
Wana hoja kuwa kama mfanyakazi wa halmashauri, wizara ya afya au kilimo kwanini wawe wa Tanzania?
Kinyume chake huko wanakolalamika ndiko walipopewa asilimia 21 na wanafurahi.
Maana yake ni kuwa wanakataa haramu lakini matunda ya haramu ni halali.
Sisi tunasema ni kweli kuhusu malalamiko yao, tunachotaka ajira zitengwe na njia muafaka ni uwepo wa Tanganyika.
Lakini pia wanapokuja kudai fursa ili wawe sehemu ya muungano kwa mujibu wako, unadhihirisha pasi na shaka ile kauli yetu kuwa wanachokitaka ni jina Tanzania ili wanufaike tu,si kuhudumia au kuwajibika.
Kumbuka, kule kwao nchini znz, Mtanganyika hapati ajira kwa ubaguzi wa kutumia kitambulisho cha uzanzibar ukaazi.
Hakuna kitambulisho hicho Kigoma, Tanga au Mbeya. Hili lina maana hawa watu ni wabaguzi wakubwa.
Naweza kusema kwa dhati kabisa kuwa kama kuna watu wanaligawa taifa hili kwa ubaguzi ni wazanzibar.
Hizi favor wanazopewa tena wakiwa hawana mchango wa aina yoyote zinawafanya wajione ni sehemu muhimu na watu special sana. Mbegu hiyo inaweza kusambaa kama hawatadhibitiwa. Wanajenga mbegu ya ubora ambayo hatuitaki hata kidogo. Hawana ubora, ni raia kama wengine tu
Kuwadhibiti ni huku kunakoendelea, kuwaambi ukweli bila haya tena tukiwasota madole ya macho. ZNZ ni tatizo,znz ni mzigo kwetu.
Hatuwahitaji kwa lolote, na hivyo ni wakati sasa, kwanza waambiwe ukweli ambao wanausoma na unawaingia.
Ukweli huo wanauita chuki lakini sisi tutawaambia bila haya. Tumechoka kujadili namna ya kusihi nao, wao wanapaswa na kulazimika kujadili namna ya kusihi nasi.
Kama hawaridhiki, njia nyeupee hakuna anayewashikilia. Wapo Dodoma na kamati za S2 zinaundwa na wznz.