Scotland: 'No vote' haina maana 'No change'

mkuu hapo nilipobold naomba ufafanuzi imeandikwa wapi kwenye makubaliano ya muungano wetu!!!!
Haikuandikwa korosho na bibo, ila kama Revenue, currency, defence,international trade na foreign affairs ni mambo ya muungano.
Basi bailout si rahisi kuiepuka, hata ukiwa na serikali tatu. Germany ana-protect Euro anapo-bailout Greece. Siyo kwamba anawapenda anawapa msaada wa ila inabidi.
 
Tatizo watu hawaelewi maana wala tofauti baina ya mambo ya Muungano na yasokuwa ya Muungano zaidi ya kwamba kila mtu ana chake.

Wanashindwa kuelewa kosa kubwa la kimfumo lilosababisha haya kuwa ni kukosekana kwa mfuko wa pamja maana mambo ya muungano haya 22 ni amoja na (9) Mikopo na Biashara ya Nchi za Nje na (10) Kodi na Mapato inayolipwa na watu binafsi na mashirika,ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Tanzania unaosimamiwa na Idara ya Forodha.

haya ni mambo ambayo yanakuwa chini ya serikali ya JMT ambayo nashangaa kuona watu wakibishana juu ya haya kwa vigezo vya ajabu kabisa kuhusishana uwepo wa serikali 3. Hata tukiwa nazo haya mambo yataepukwa vipi maanake sijaona nchi yoyote yenye muungano na hata kama haina maswala haya yakawa chini ya mamlaka ya serikali ndogo. Na wala sijui wanapata wapi hesabu za mahusiano yake na mfuko wa pamoja..
 
I guarantee you,
They don't have numbers... utasubiri miaka nenda miaka rudi ila numbers haziwasupport panga pangua.
 
Nguruvi3

I will skip the mainland namesake argument and continue with other points in your argument.

Unaniuliza maswali ambayo binafsi siwezi yatolea majibu as to how they were concluded kwa sababu given the same riddle different people might arrive to a different conclusion.

Therefore how did they derive those quotas za ajira na mapato siwezi yatolea majibu kwa sababu hivyo vitu vina ambatana na argument za uchumi presented with facts, estimated costs za kuendesha serikari, ajira za serikari as to fair participation (swala ambalo binafsi sidhani kama ni la tija kwa sababu naamini administration za serikari kazi yake ni kufanya execution ya chama cha siasa and employees should be given priority purely based on skills possessed).

Lakini nachoweza kukifafanua ni kwamba hili serikari isichangiwe hela au kuwa tegemezi inatakiwa iwe na enough budget ya kuweza fanya hivyo na kipato ambacho kinaingia kila mwaka kuweza endesha serikari na mipango yake. Na serikari inapojikuta hela zinazoingia ni kiasi kidogo hivyo kuweka asilimia kubwa kwenye administration kuta deprive maendeleo au wajibu wao kwa wananchi ujikuta wanapunguza ukubwa wake kwa kufuta idara, kupunguza wafanyakazi na mengineo bila ya kuathiri njia za kufikia raia na kuwatumikia.

Sasa basi who knows kwa mfumo wa sasa pengine kwakuwa ZnZ inapewa kiasi ambacho kinamudu ukubwa wao ndio maana awaoni sababu ya kupunguza ukubwa wa serikari kwa sababu hela inatoka kwenye budget ya Dodoma, labda kwa sababu ya kujua wana haki kama watanzania wengine ndio maana wanaona wana haki ya kutengewa quotas za ajira kwenye serikari ya muungano as partners and etcetera kwa kudhania to do with the situation ya muungano na jinsi mambo yanavyofanyika kwa sasa na kwakuwa sipo kwenye negotiation table siwezi wasemea wengine.

Kwa hiyo unapotoa economic devolution unaweza na wewe ku-argue ajira ni kwa sababu ya watanzania na aijalishi mtu katoka wapi provided unaweka misingi ya kupata ajira isiyo na ubaguzi wala upendeleo na zitaenda kwa wakazi wanaoishi hapo bila ya kujali asili ya mtu.

Unaweza pia usitoe machango wa uendeshwaji wa serikari yao au ukatoa kwa mkopo na wao kwakuwa wanamajukumu na uchumi wao wanaweza ingia siasa za maendeleo na kuacha kuilaumu bara kwenye siasa zao kwa kulivaa koti muungano kwa sababu wana tools za kuboresha uchumi wao kwa mbinu zao. Hayo yatatatua hoja za gharama ya serikari na hoja za maendeleo kama ilivyo bara kwa sasa na kupunguza mengi tu ambayo kwa sasa ni malalamiko yasiyo ya lazima. In the long tukabaki tukitafakari yale ya muungano na tunasogea vipi kama hayo yanaweza fanyika bila ya kuwa na serikari tatu wala kuathiri social contract ya sasa.

Na hizo ni possibilities kabisa za kiuchumi kwa mfano Scotland ina deni benki kuu ya UK na wakati wa mshike mshike wa campaign walikumbushwa kabisa hilo wasili sahau. Vile vile mara baada ya kura ya wamedai waweze pewa more autonomous ya kiuchumi that includes kuweza kupata hela outside taxes revenue independently na tunajua facilitator atabaki Benki kuu ya UK isitoshe serikari yenyewe kabla ya hata kushinda kura ya maoni tayari ilikuwa inatafakari namna ya kuzipa fursa hizo hizo zilizpo kwenye muungano.

Kwa hivyo creativity inahitajika ata kama kuna same foreign policies inawezekana kabisa kuwekeana mipaka fulani atu-deal naye zaidi ya mipaka ifuatayo wote kwa pamoja kama nikuogopa unwanted influence kuingia kwenye muungano.
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya idadi za serikali na ku-bail out.
Kama nilivyosema, achilia mbali federations, hata confederations kuna bail-out (As you'd like it to be called).
Kwa hiyo, hapo tena umekosea (kosa lako ni dhana, siyo hisia kama wengine) kwa sababu miungano na bailouts ni sawa na korosho na bibo.

Nadhani ni bora tukubaliane kuwa hatuwezi kukubaliana kabisa. Dhana yako kwako haileti maana kwangu hata kidogo. Naiona kuwa msingi wake ni itikadi ya kisiasa but it gravely lack economic sense.

For people with working brains, unions whether in form of federalism, confederation-ism, unitary-sim is a matter of both opportunity and necessity, not political prestige kama CCM inavyofanya sasa.

Ukumbuke pia kuwa kushindwa kwa kura ya Scotland sababu ni kuwa main driving force behind yes campaign was prestige, not economics. Na ukumbuke kuwa kwa sasa hapa Tanzania, Zanzibar wanaangalia zaidi prestige, CCM wanata kuonesha watu kuwa walikuwa sahihi na wako sahihi, bara issue kubwa ni uchumi.
 
Mimi huwa siandiki mambo kwa papara.
Kwa sababu nakuheshimu na sikuoni wewe kama mjinga au mpumbavu, basi fuatilia hii nchi ndogo inaitwa Mauritius
Utuambie GDP,source yake ya income, % below poverty line, kodi inayokusanywa etc ...
Hii nchi ni kisiwa kama unguja na kina watu 1.3 million. Siyo suala la kukamuliwa bali ni suala la sheria na haki.

Kobello.

Nafikiri hukufahamu kuwa suala langu lina mantiki kubwa sana. Kumbuka kuwa wewe umesema TRA, na kumbuka kuwa TRA ni chombo cha muungano kwa maana kinafanyakazi Tgk na Znz.

Sasa kama TRA kikiimarisha utendaji wake katika kukusanya kodi basi uimarishaji huo utakuwa kwa pande zote sio znz pekee. Kwa msingi huo hata siku moja Znz haitaweza kukusanya 10% ya revenue ya TGK hilo haliwezekani.

Labda sharia hizo za ukusanyaji zikazwe kwa upande wa Znz tu jambo ambalo haliwezekani. Labda ikasimu ukusanyaji wa kodi hiyo ya muungano kwa ZRB (Znz revenue board) ambayo inafanyakazi Znz tu.

Kuwa makini mkuu.
Pole sana.

Nadhani ni bora tukubaliane kuwa hatuwezi kukubaliana kabisa. Dhana yako kwako haileti maana kwangu hata kidogo. Naiona kuwa msingi wake ni itikadi ya kisiasa but it gravely lack economic sense.

For people with working brains, unions whether in form of federalism, confederation-ism, unitary-sim is a matter of both opportunity and necessity, not political prestige kama CCM inavyofanya sasa.

Ukumbuke pia kuwa kushindwa kwa kura ya Scotland sababu ni kuwa main driving force behind yes campaign was prestige, not economics. Na ukumbuke kuwa kwa sasa hapa Tanzania, Zanzibar wanaangalia zaidi prestige, CCM wanata kuonesha watu kuwa walikuwa sahihi na wako sahihi, bara issue kubwa ni uchumi.
India,China and Japan would be more powerful economically than EU. But Sino-Japan and Sino-Indian relatioships (political) trumps every economic reason.

My observations are based on facts, not mere opinions. That's the only reason that history will never be on your side.
 
Kobello.

Nafikiri hukufahamu kuwa suala langu lina mantiki kubwa sana. Kumbuka kuwa wewe umesema TRA, na kumbuka kuwa TRA ni chombo cha muungano kwa maana kinafanyakazi Tgk na Znz.

Sasa kama TRA kikiimarisha utendaji wake katika kukusanya kodi basi uimarishaji huo utakuwa kwa pande zote sio znz pekee. Kwa msingi huo hata siku moja Znz haitaweza kukusanya 10% ya revenue ya TGK hilo haliwezekani.

Labda sharia hizo za ukusanyaji zikazwe kwa upande wa Znz tu jambo ambalo haliwezekani. Labda ikasimu ukusanyaji wa kodi hiyo ya muungano kwa ZRB (Znz revenue board) ambayo inafanyakazi Znz tu.

Kuwa makini mkuu.
Pole sana.

Hehehe...
Main point hapa ni uchumi wa Zanzibar kukua ili uchumi huo uingize kodi kubwa. Siyo kukamuliwa, kwa sababu Zanzibar nayo lazima ilishe jeshi na mambo mengine.
Utaelewa tu.
 
Nguruvi3

I will skip the mainland namesake argument and continue with other points in your argument.

Unaniuliza maswali ambayo binafsi siwezi yatolea majibu as to how they were concluded kwa sababu given the same riddle different people might arrive to a different conclusion.

Therefore how did they derive those quotas za ajira na mapato siwezi yatolea majibu kwa sababu hivyo vitu vina ambatana na argument za uchumi presented with facts, estimated costs za kuendesha serikari, ajira za serikari as to fair participation (swala ambalo binafsi sidhani kama ni la tija kwa sababu naamini administration za serikari kazi yake ni kufanya execution ya chama cha siasa and employees should be given priority purely based on skills possessed).

Lakini nachoweza kukifafanua ni kwamba hili serikari isichangiwe hela au kuwa tegemezi inatakiwa iwe na enough budget ya kuweza fanya hivyo na kipato ambacho kinaingia kila mwaka kuweza endesha serikari na mipango yake. Na serikari inapojikuta hela zinazoingia ni kiasi kidogo hivyo kuweka asilimia kubwa kwenye administration kuta deprive maendeleo au wajibu wao kwa wananchi ujikuta wanapunguza ukubwa wake kwa kufuta idara, kupunguza wafanyakazi na mengineo bila ya kuathiri njia za kufikia raia na kuwatumikia.

Sasa basi who knows kwa mfumo wa sasa pengine kwakuwa ZnZ inapewa kiasi ambacho kinamudu ukubwa wao ndio maana awaoni sababu ya kupunguza ukubwa wa serikari kwa sababu hela inatoka kwenye budget ya Dodoma, labda kwa sababu ya kujua wana haki kama watanzania wengine ndio maana wanaona wana haki ya kutengewa quotas za ajira kwenye serikari ya muungano as partners and etcetera kwa kudhania to do with the situation ya muungano na jinsi mambo yanavyofanyika kwa sasa na kwakuwa sipo kwenye negotiation table siwezi wasemea wengine.

Kwa hiyo unapotoa economic devolution unaweza na wewe ku-argue ajira ni kwa sababu ya watanzania na aijalishi mtu katoka wapi provided unaweka misingi ya kupata ajira isiyo na ubaguzi wala upendeleo na zitaenda kwa wakazi wanaoishi hapo bila ya kujali asili ya mtu.

Unaweza pia usitoe machango wa uendeshwaji wa serikari yao au ukatoa kwa mkopo na wao kwakuwa wanamajukumu na uchumi wao wanaweza ingia siasa za maendeleo na kuacha kuilaumu bara kwenye siasa zao kwa kulivaa koti muungano kwa sababu wana tools za kuboresha uchumi wao kwa mbinu zao. Hayo yatatatua hoja za gharama ya serikari na hoja za maendeleo kama ilivyo bara kwa sasa na kupunguza mengi tu ambayo kwa sasa ni malalamiko yasiyo ya lazima. In the long tukabaki tukitafakari yale ya muungano na tunasogea vipi kama hayo yanaweza fanyika bila ya kuwa na serikari tatu wala kuathiri social contract ya sasa.

Na hizo ni possibilities kabisa za kiuchumi kwa mfano Scotland ina deni benki kuu ya UK na wakati wa mshike mshike wa campaign walikumbushwa kabisa hilo wasili sahau. Vile vile mara baada ya kura ya wamedai waweze pewa more autonomous ya kiuchumi that includes kuweza kupata hela outside taxes revenue independently na tunajua facilitator atabaki Benki kuu ya UK isitoshe serikari yenyewe kabla ya hata kushinda kura ya maoni tayari ilikuwa inatafakari namna ya kuzipa fursa hizo hizo zilizpo kwenye muungano.

Kwa hivyo creativity inahitajika ata kama kuna same foreign policies inawezekana kabisa kuwekeana mipaka fulani atu-deal naye zaidi ya mipaka ifuatayo wote kwa pamoja kama nikuogopa unwanted influence kuingia kwenye muungano.
Kwavile umekubali kuwa hujui 21% ya ajira walizotengewa wazanzibar zinapataikana kwa formula gani, na kwavile hujui 4.5% ya mapato ya Tanganyika, huna basis ya namna yoyote kusema znz inapewa fungu dogo.

Huwezi ukafanya arguement ukiwa huna facts.
Uliposema ninaandika kwa hisia nadahani unaona jinsi nilivyo na logic na jinsi ulivyo na hisia.

Ni stupid idea kudai znz inaonewa. Wewe kama wazanzibar mpo level moja ya kudai bila ushahidi.
Wznz miaka mingi wamekuwa katika denial state kuwa wamebebwa.

Leo wamefunga midomo yao hakuna anayeweza kutetea kuonewa kama ulivyoshindwa wewe.

Hapa niseme kama huna facts unapata wapi ushujaa wa kuzungumza? Hisia kitu kibaya sana, nadhani unaona jinsi tunavyoangalia mambo kwa mtazamo mpana

Utakapoweza kueleza kwanini 21 na 4.5 tutajadiliana zaidi, kwasasa sina sababu za kujadiliana kwa kitu usichojiua, zaidi ya znz inaonewa. Huna facts za ku back up madai yako bali hisia kama zile kwanini hatuna IGP mmanga! pathetic
 
Kwavile umekubali kuwa hujui 21% ya ajira walizotengewa wazanzibar zinapataikana kwa formula gani, na kwavile hujui 4.5% ya mapato ya Tanganyika, huna basis ya namna yoyote kusema znz inapewa fungu dogo.
If only ungenipata kwanini inakuwa vigumu kuongelea vitu kama hivyo bila ya kujua facts presented not just politically but even economically kuviongelea inakuwa ni kutokwa na mapovu tu, especially the 4.5% of budget na vipaumbele vya taifa kama kuna room to manouver. Huwezi kupanga hata budget ya biashara ya kibanda cha machungwa bila ya kujua ni minimum kiasi gani kinaitajika sasa wewe unajua vipaumbele vya maendeleo ya ZnZ mpaka useme 4.5% percent is more than enough no to give restrictions.

Huwezi ukafanya arguement ukiwa huna facts.
Sometimes its just the field rationale that forms the basis of commonsense ndio maana kabla ya kutolea vitu vingine kauli pata kwanza background information; alikadhalika vitu vingine you might not need that information its just logic as in 4.5% in relation to propel growth thats just restrictions.

Uliposema ninaandika kwa hisia nadahani unaona jinsi nilivyo na logic na jinsi ulivyo na hisia.
Na mimi niliposema mnapenda kujifurahisha je umeitimishaje?

Wewe kama wazanzibar mpo level moja ya kudai bila ushahidi. Wznz miaka mingi wamekuwa katika denial state kuwa wamebebwa.
Sina hata mjomba na ukubwa wa familia yetu akuna direct relations yeyote na Mzanzibari ata wakuamia bara ni majuzi tu niece wangu ndio kaolewa huko tena nje ya nchi alikadhalika nina mabinamu wamanga pande zote mbili na wengine wanapiga kiluga kushinda mimi.

Leo wamefunga midomo yao hakuna anayeweza kutetea kuonewa kama ulivyoshindwa wewe.
Ndio maana wewe na Barubaru see eye to eye.

Utakapoweza kueleza kwanini 21 na 4.5 tutajadiliana zaidi, kwasasa sina sababu za kujadiliana kwa kitu usichojiua, zaidi ya znz inaonewa. Huna facts za ku back up madai yako bali hisia kama zile kwanini hatuna IGP mmanga! pathetic
The feeling is mutual utakapoweza kufafanua 4.5% inakidhi vipi vipaumbele vya ZnZ we might have a starting point na ajira zinatengenezeka vipi kwenye taifa. Hayo ya IGP mmanga sijui nimeyaweka saa ngapi now that you have brought hivi kwanini tena atuna, kuna ata kwanza aliewahi kujiandikisha kwenye jeshi la polisi mbona zamani walikuwepo wanajeshi wenye vyeo vya juu wamanga (tena wanaongea viluga kabisa vya mahala walipotoka; usikae kwenye dunia ndogo ukadhani wananga awajui viluga asili or they are more or less than the local huko walipo) na walipigana Kagera au unadhani IGP anateuliwa tu bila ya mafunzo au kuwa polisi in the first place. Wewe kwa kujianzia na kujifurahisha ndio mwenyewe; me out.
 
India,China and Japan would be more powerful economically than EU. But Sino-Japan and Sino-Indian relatioships (political) trumps every economic reason.

My observations are based on facts, not mere opinions. That's the only reason that history will never be on your side.

I wonder what has China, India or Japan has to do with this in the context of our discussion. But just in case, despite all political bickering that you hear between them, those countries are very serious when it comes to economy, they put all politics aside and concentrate on the big thing, economy. But we defy economics and pay attention kwenye itikadi za kisiasa. Pure and simple ni uj!nga.

We are The united republic, Zanzibar and Tanganyika are not to independent entities, like China, Japan and India. The matter under discussion kwenye uzi huu, is unfair and poor management of the the union.

Mkuu naona ni bora tukubaliane kuwa hatuwezi kukubaliana.
 
kwanza, Singida hupata on average 1billion Shs kwa mwezi kutoka tresury, kwa mwaka almost 12 billion Shsda ni mzigo zaidi kwa taifa.

Hizo fedha zinapelekwa huko Singida zote au ni figures za kwenye makaratasi tuu?

Maana kuna baadhi ya Halmashauri zinalalamika kuwa hakuna fedha; kisa eti ni BMK, etc.
 
I wonder what has China, India or Japan has to do with this in the context of our discussion. But just in case, despite all political bickering that you hear between them, those countries are very serious when it comes to economy, they put all politics aside and concentrate on the big thing, economy. But we defy economics and pay attention kwenye itikadi za kisiasa. Pure and simple ni uj!nga.

We are The united republic, Zanzibar and Tanganyika are not to independent entities, like China, Japan and India. The matter under discussion kwenye uzi huu, is unfair and poor management of the the union.

Mkuu naona ni bora tukubaliane kuwa hatuwezi kukubaliana.
Tunaweza kukubaliana iwapo una "wealy held strong views", yaani ukubali kuelewa.
Mfano wa China ni kuhusu muungano kuwa wa kiuchumi. Miungano yote duniani ni ya kisiasa, utabisha kwa sababu hutaki kueleweshwa na mluguru.
 
Watu wanaweza kutuambia mikoa inaplelekelewa kiasi gani cha fedha. Watu hao hao hawawezi kutueleza haya;
1. Formula gani imetumika znz kupata asilimia 21 za ajira za Tanganyika
2. Formula gani imetumika znz kupewa 4.5% ya pato la Tanganyika.

Kwa wale mnaodhani 4.5% bi kidogo, ukweli ni kuwa kiasi hicho ni kikubwa kuliko mapato ya znz kwa mwaka.
Swali, ni formula gani imetumika znz kupata uhalali wa kupewa rasilimali za Tanganyika tena kwa % na si kama msaada.
 
If only ungenipata kwanini inakuwa vigumu kuongelea vitu kama hivyo bila ya kujua facts presented not just politically but even economically kuviongelea inakuwa ni kutokwa na mapovu tu, especially the 4.5% of budget na vipaumbele vya taifa kama kuna room to manouver. Huwezi kupanga hata budget ya biashara ya kibanda cha machungwa bila ya kujua ni minimum kiasi gani kinaitajika sasa wewe unajua vipaumbele vya maendeleo ya ZnZ mpaka useme 4.5% percent is more than enough no to give restrictions.

Sometimes its just the field rationale that forms the basis of commonsense ndio maana kabla ya kutolea vitu vingine kauli pata kwanza background information; alikadhalika vitu vingine you might not need that information its just logic as in 4.5% in relation to propel growth thats just restrictions.

Na mimi niliposema mnapenda kujifurahisha je umeitimishaje?

Sina hata mjomba na ukubwa wa familia yetu akuna direct relations yeyote na Mzanzibari ata wakuamia bara ni majuzi tu niece wangu ndio kaolewa huko tena nje ya nchi alikadhalika nina mabinamu wamanga pande zote mbili na wengine wanapiga kiluga kushinda mimi.

Ndio maana wewe na Barubaru see eye to eye.

The feeling is mutual utakapoweza kufafanua 4.5% inakidhi vipi vipaumbele vya ZnZ we might have a starting point na ajira zinatengenezeka vipi kwenye taifa. Hayo ya IGP mmanga sijui nimeyaweka saa ngapi now that you have brought hivi kwanini tena atuna, kuna ata kwanza aliewahi kujiandikisha kwenye jeshi la polisi mbona zamani walikuwepo wanajeshi wenye vyeo vya juu wamanga (tena wanaongea viluga kabisa vya mahala walipotoka; usikae kwenye dunia ndogo ukadhani wananga awajui viluga asili or they are more or less than the local huko walipo) na walipigana Kagera au unadhani IGP anateuliwa tu bila ya mafunzo au kuwa polisi in the first place. Wewe kwa kujianzia na kujifurahisha ndio mwenyewe; me out.

Happy Feet,

Umemuuliza suala la maana sana kuhusu hiyo 4.5% imepatikanaje na kitu gani au mambo gani yaliyotazamwa kwa kina na kukokotolewa mpaka kufikia hapo. Lakin kubwa ni nani hao waliokokotoa mpaka kukubaliana hivyo?
Lakin kubwa mara zote nauliza KWANINI ILE SHARIA YA JMTZ YA KUANZISHA JOINT FINANCE COMMISSION iliyopitishwa na bunge la JmTz na rais wa JMTz zaidi ya miaka kumi sasa haijaanza kutekelezwa? Je JMTz inakhofia nini kuitekeleza?

Lakin mwisho Happy Feet, kumbuka kuwa kuna tofauti kubwa ya kulalamika na kunung'unika. Kulalamika ni ile mtu kusema hadhwarani tena mchana kweupeee kuwa kuna jambo amedhulumiwa au kuonewa na watu wote wanasikia.

Kunung'unika ni ile hali ya mtu anaumizwa na kunyanyasika lakin hawezi kulizungumzia mbele ya watu madhira hayo bali anakaa pekee yake na kujisemeza mwenyewe mwenyewe namna anavyopata madhwila ya kunyanyaswa au kudhulumiwa.

Sasa mwenzetu huyo ana tarbia ya kunung'unika tu na ndio maana wengine tunaojua basi tukinafasika huwa tunampa darsa ili kumtuliza.

Ahsantum kwa darsa lako.

Hehehe...
Main point hapa ni uchumi wa Zanzibar kukua ili uchumi huo uingize kodi kubwa. Siyo kukamuliwa, kwa sababu Zanzibar nayo lazima ilishe jeshi na mambo mengine.
Utaelewa tu.

Kobello,

Nafikiri nitakupa dondoo zitakazo kusaidia sana katika kujua uchumi wa nchi hizo mbili.

1. Znz ina eneo la 2000 sq meter na ina idadi ya watu wasiozidi 1.5 milion na Tanganyika ina eneo 885,800 sqm na ina idadi ya watu wasiopungua 45 million.

2. makadirio ya bajeti kwa Znz 2014/15 ni 700 Billion na makusanyo yake kwa mwaka inakadiriwa kufikia 420 Blilion na kwa upande wa Tanganyika makadirio ya bajeti yake 2014/15 ni 19.2 Trillion na makusanyo yake yanakadiriwa kufikia 12.6 Trillion. kufikia 30th April 2014 Tgk ilikuwa inadaiwa zaidi ya Tsh 38.4 Trillion deni la nje wakti Znz mpaka taarih hiyo ilikuwa haidaiwi hata senti tano deni la nje.

3.Mpaka sasa hakuna chombo cha muungano kinachoratibu pesa zinazotolewa na TGK na Znz ikiwemo misaada na mikopo katika kuchangia muungano. Kila mtu anatoa tu pale anapoona anacho JAPO SHARIA YA KUANZISHWA CHOMBO HICHO YAANI JOINT FINANCE COMMISSION ilishapitishwa na chombo hicho kuanzishwa kwa zaidi ya miaka kumi iliyopita lakin hakijapewa mamlaka ya kutenda kazi na wajibu wake.

4. Mkusanya kodi zote za Muungano ni TRA pekee na huyu ndio alioweka taratibu na kaanun za ukusanyaji huo kwa maeneo yote ta Tgk na Znz kwa kiwango na utaratibu ulio sawia kwa kila eneo.

5. mwanye mamlaka ya kukopa nje au kuomba misaada nje na TGK tu Znz hawezi na haruhusiwi kabisa kukopa nje au kupata misaada bila kupata ihsani kutoka TGK.

Sasa nadhani hayo mambo matano niliyokupa yatakupa mwanga mkubwa sana Znz haiwezi kukua kiuchumi bila kupata ihsani kutoka Tanganyika. na ndio hilo ambalo waZnz wameliona na kulishitukia mpaka sasa wanataka uhuru wa kiuchumi.

nafikiri ukionganisha hizo point utaona wapi kuna mushkira.

Ahsantum

Watu wanaweza kutuambia mikoa inaplelekelewa kiasi gani cha fedha. Watu hao hao hawawezi kutueleza haya;
1. Formula gani imetumika znz kupata asilimia 21 za ajira za Tanganyika
2. Formula gani imetumika znz kupewa 4.5% ya pato la Tanganyika.

Kwa wale mnaodhani 4.5% bi kidogo, ukweli ni kuwa kiasi hicho ni kikubwa kuliko mapato ya znz kwa mwaka.
Swali, ni formula gani imetumika znz kupata uhalali wa kupewa rasilimali za Tanganyika tena kwa % na si kama msaada.

Nguruvi3,

Waliotoa farmula hiyo ni TUME YA PAMOJA YA FEDHWA YA NCHI HIZO MBILI YAANI TANGANYIKA NA ZNZ. Ni kundi la wataalamu wa uchumi na fedhwa kutoka kila upande yaani Tanganyika na kutoka Znz walikaa chini na kufanya study ikiwemo kupitia taarifa mbalimbali za fedhwa na uchumi kutoka BOT na TRA na sehemu nyingine nyingine lakin kubwa waliangalia mchango wa kila nchi wakt wa muungano wenu kiuchumi na kutazama ajira kwa kila idara za muungano na kulinganisha na mchango wake kiuchumi ndio jopo hilo (Joint Finance Commission ) wakaja na formula hiyo.

Usifikiri walikaa wanasiasa na kufanya maamuzi haya bali hao wataalamu waliobobea katika uchumi kutoka pande hizo mbili za muungano.

Na ukitaka kujua namna walivyopata hiyo formula PITIA RIPOTI YA TUME HIYO (JFC) kwenda kwa Rais wa JMTz na wa Znz wamebainisha bila kificho kila kitu.

Kwa kukusaidia zaidi afisi za JFC zipo Sukari house maeneo ya posta huko Dar es salaam au hata visit website yao utajifunza mengi japo kwa uchache

Pole sana

Hujajibu swali, tunataka kama raia tuambiwe ni kigezo gani kimetumika. Nchi kama Uingereza tunajua wana formula, sasa hapa kwetu wanatumia nini.

Pili, sijui upo dunia gani. Juzi, gavana wa bank kuu kaitwa akiwa pamoja na katibu mkuu wa wizara ya fedha znz, katibu mkuu wizara ya fedha Tanzania. Ndulu kasema znz haina mchango katika muungano.

Hilo ndilo limepelekea Mh Ali Keissy kunusurika kutwangwa makonde na wznz. Tulidhani wangejibu kwa hoja, hawakufanya hivyo. Hadi leo hakuna mznz aliyesimama na kusema Ndulu kasema uongo.

Tatu, katika bajeti ya mwaka huu, waziri Saada kasema serikali inaangalia namna ya kuongeza kiwango cha 4.5. Hili lilikuwa katika kuwavuta wznz zaidi wakubaliane na S2. Sasa unaposema siyo siasa sijui kama una ufahamu wa aina yoyote.

Nne, tunachotaka kujua ni kuwa 4.5 inatoka wapi, katika income ya Tanganyika au katika GDP ya Tanzania.

Tano, tunauliza, katika ajira za muungano kwanini wznz wapewe 21 kama wao, halafu waruhusiwe kuwa katika kundi la 79%. Hivi hapo kuna mantiki gani.

Sitta, katika pato wanalopata znz ambalo ni kubwa zaidi ya mapato yao, ni hesabu gani inayowapa nafasi hiyo.

Saba, hivi kuna uhalali gani Mtanganyika kupitia TRA akusanye '' Trillion 60'' kwa mfano na znz wapewe 4.5 ambayo ni takirbani Trilioni2.4 mara nne ya bajeti yao. Hao wznz wamewekeza nini kiasi cha kulipwa bila mafao.

Nane, kwanini kama hoja ni misaada na mikopo, hiyo 4.5 isipigiwe hesabu kutoka hapo.

Hatutaki kubabaisha tunataka namba, hii habari ya JFC mabayo inampa mznz ajira katika eneo analosema soi muungano hatukubaliani nayo.

Na mwisho, JFC haikutoa 21%. Kiwango hicho kimeweka mwaka huu na JF ilishamaliza kazi miaka 10.
Wala si marejeo ni kitu kipya kabisa.

Tisa, tunataka kujua uhalali wa wznz kuzuia ajira SMZ na wao wapewe ajira katika maeneo yasiyo ya muungano. Ni kigezo gani kimetumika.

Wenzakeo wengi wamesema hawajui, wewe unayejua hebu tupe namba. Ukionyesha uahali wa znz kupata ajira zisizo za muungano, kupata 4.5% ya pato la Tanganyika tukijua wao hawana mchango wa iana yoyote, kwa maneno ya gavana.

Kumi, tuonyeshe katika bajeti ya znz mwaka huu, ni wapi kumuonyesha namna ya kulipia madeni yao ya ndani au ya nje.

Bongolander EMT Mchambuzi Kobello Happy Feet Mkandara JokaKuu Mag3
 
Last edited by a moderator:
Happy Feet,

Umemuuliza suala la maana sana kuhusu hiyo 4.5% imepatikanaje na kitu gani au mambo gani yaliyotazamwa kwa kina na kukokotolewa mpaka kufikia hapo. Lakin kubwa ni nani hao waliokokotoa mpaka kukubaliana hivyo?
Lakin kubwa mara zote nauliza KWANINI ILE SHARIA YA JMTZ YA KUANZISHA JOINT FINANCE COMMISSION iliyopitishwa na bunge la JmTz na rais wa JMTz zaidi ya miaka kumi sasa haijaanza kutekelezwa? Je JMTz inakhofia nini kuitekeleza?

Lakin mwisho Happy Feet, kumbuka kuwa kuna tofauti kubwa ya kulalamika na kunung'unika. Kulalamika ni ile mtu kusema hadhwarani tena mchana kweupeee kuwa kuna jambo amedhulumiwa au kuonewa na watu wote wanasikia.

Kunung'unika ni ile hali ya mtu anaumizwa na kunyanyasika lakin hawezi kulizungumzia mbele ya watu madhira hayo bali anakaa pekee yake na kujisemeza mwenyewe mwenyewe namna anavyopata madhwila ya kunyanyaswa au kudhulumiwa.

Sasa mwenzetu huyo ana tarbia ya kunung'unika tu na ndio maana wengine tunaojua basi tukinafasika huwa tunampa darsa ili kumtuliza.

Ahsantum kwa darsa lako.

Ndugu yangu, nimeuliza swali Happy feet hana jibu na wewe huna jibu.

Hapa hakuna manyng'uniko, ni kuwaeleza Watanganyika nini kinatokea katika muungano.

Mfano, Watanganyika hawafahamu kuwa waliokuja kutengeneza formula ya 21% ni wazanzibar. Makamu wa rais JMT(Mzanzibar), waziri wa fedha wa SMZ(Mzanzibar), Makamu wa pili wa Rais SMZ(Mzanzibar), waziri wa fedha(mzanzibar). waziri muungano(mzanzibar) na waziri wa mkuu wa JMT(si wa Tanganyika).

Wamekaa na kumua 21% ya ajira zote ziwe za wznz. Halafu zile 79% ni za Tanzania, wazanzibar wakiwemo.

Watanganyika, kinachoendelea kwa mfano rahisi ni hiki. Katika ajira 100 za wizara ya Afya, wznz wana nafasi 21.
Katika zile 79 zilizobaki wazanzibar wana haki pia kama Watanzania kuwania. Kwa maneno mengine wao wana zao maalumu, halafu wanakuja kuchukua pia zisizowahusu katika maeneo yasiyowahusu na wanayolalamikia kuwa si ya Muungano.

Lakini pia muelewe kuwa katika asilimia 21 waliotengewa, ni wale mliosoma nao wakiwa hawana deni la mkopo nanyi mna deni. Halafu wanakuja kuwabana katika asilimia 79 wakiwa hawana mkopo ninyi mkiandikiwa barua za kurudisha mikopo.

Na swali lingine la ziada ni kuwa kama wazanzibar wanaruhusiwa kuwa na asilimia 21, ni mkoa gani mwingine tunaoujua una sehemu ya ajira kama znz? Ni mkoa gani umepewa nafasi alau 1% ya ajira za Tanzania.
Kama sote ni wa Tanzania, kwanini wazanzibar waonekane 'watanzania zaidi'' huku wao wenyewe wakiwa hawautaki Utanzania?

Fikiria
 
Nguruvi3,

Waliotoa farmula hiyo ni TUME YA PAMOJA YA FEDHWA YA NCHI HIZO MBILI YAANI TANGANYIKA NA ZNZ. Ni kundi la wataalamu wa uchumi na fedhwa kutoka kila upande yaani Tanganyika na kutoka Znz walikaa chini na kufanya study ikiwemo kupitia taarifa mbalimbali za fedhwa na uchumi kutoka BOT na TRA na sehemu nyingine nyingine lakin kubwa waliangalia mchango wa kila nchi wakt wa muungano wenu kiuchumi na kutazama ajira kwa kila idara za muungano na kulinganisha na mchango wake kiuchumi ndio jopo hilo (Joint Finance Commission ) wakaja na formula hiyo.

Usifikiri walikaa wanasiasa na kufanya maamuzi haya bali hao wataalamu waliobobea katika uchumi kutoka pande hizo mbili za muungano.

Na ukitaka kujua namna walivyopata hiyo formula PITIA RIPOTI YA TUME HIYO (JFC) kwenda kwa Rais wa JMTz na wa Znz wamebainisha bila kificho kila kitu.

Kwa kukusaidia zaidi afisi za JFC zipo Sukari house maeneo ya posta huko Dar es salaam au hata visit website yao utajifunza mengi japo kwa uchache

Pole sana

Sio kweli Kwamba the 4.5% formula is JFC's brainchild.

JFC ilizaliwa 2003, Wakati formula ya 4.5% ilibuniwa na BOT mwaka 1993.

JFC iliundwa miaka kumi baadae (203) kwa nia moja tu:

Kushauri "serikali Mbili" juu ya uchangiaji wa Mapato na matumizi ya muungano, and fiscal relations baina ya pande Mbili kwa ujumla wake. Maswali kwako:

1. Swali la kwanza:
Kwanini JFC ilidandia formula ya BOT?

Tukumbuke Kwamba - Kwa upande wa Mapato, tangia mwaka 1994, dividend za BOT zimekuwa shared 95.5% kwa bara na 4.5% kwa Zanzibar na haya yalikuwa ni makubaliano ya miaka mitano tu. Cha ajabu ni Kwamba formula hii ambayo haina ushawishi wowote wa kiuchumi, Ikaendelea beyond miaka mitano, na miaka kumi baadae kuja kubebwa na JFC in a copy and paste fashion.

2. Swali la pili kwako:
Kazi ya JFC ni kutoa ushauri kwa serikali Mbili za muungano juu ya masuala ya Mapato, matumizi na uchangiaji. Tunauliza Tena na Tena, utaweza vipi kushauri serikali Mbili juu ya gharama za muungano huku serikali moja wapo (Tanganyika) ikiwa imevaa koti la muungano?

Nadhani Unafahamu Kwamba - tangia mwaka 2003, waziri viongozi upande wa Zanzibar na mawaziri wakuu upande wa JMT(Tanganyika) wameshindwa kutekeleza mapendekezo ya JFC kwa sababu ya kupishana kwenye suala moja tu - juu ya serikali ya Tanganyika ambayo ingesimama kivyake kama ambavyo serikali ya Zanzibar inavyosimama kivyake za kwenye masuala yasiyokuwa ya muungano.

Tusisitize Tena Kwamba hii formula ya 4.5% haijaletwa na JFC, Bali ulikuwa ni ubunifu wa BOT mwaka 1993, Tena ubunifu wa kisiasa, Enzi za Mfumo wa chama kimoja, na Enzi za political interference on taasisi nyeti Kama BOT na Ile ya kodi - Kabla ya kuzaliwa kwa TRA 1995/6. Moja ya sababu za kuundwa kwa TRA ilikuwa ni pamoja na kuondoa siasa kwenye suala la kodi na Mapato ya nchi!

Pamoja na formula hii kukosa economic justifications, balance of payments na general budget support yamefuata hii formula, with 4.5% ya budget support kwenda Zanzibar. Budget support loans pia zinafuata the same formula na hata baadhi ya projects support huku projects nyingine zikiwa negotiated na wizara ya fedha ya muungano na Ile ya Zanzibar, on the basis of their respective needs and priorities. Na Hapa tunarudi pale pale na swali letu lingine:

• Kwanini Zanzibar wana "needs and priorities" za Kwao na bado wapo Katika needs and priorities na watanganyika kwa koti la muungano?

Mmekosa majibu ya maswali ya Nguruvi3 juu ya justifications za 4.5% na 21%, na badala yake mnakuwa na political "roundabouts". Kama alivyodokeza nguruvi3, 4.5% ya pato la taifa Kama gawio kwa Zanzibar ni sawa na (63 trillion x .045%) ambayo ni sawa na 2.8 trilion shillings; Lakini Mapato ya Zanzibar kwa mwaka (tax and non tax based revenues) ni 400 billion shillings, na pato la taifa la Zanzibar ni karibia 900 billion shillings, sasa hii transfer of at least 2.8 trillions kwa Zanzibar ni based on what economic grounds?

Kwanini Zanzibar apate mgao Mara Saba ya Mapato yake kwa mwaka (tax and non tax revenues)?

Kwanini Zanzibar apate mgao zaidi ya Mara Tatu ya pato lake la taifa kwa mwaka (GDP)?

Mwisho kuhusu 21% ya Ajira za muungano kwenda Zanzibar. Jumla ya waajiriwa wa serikali ya JMT ni 340,000 (tusisahau Tanganyika imevaa koti la muungano). Katika hawa, 21% ni nafasi za wazanzibari, equivalent to about 92,000 employees.

Zipo wapi economic justifications??
Takwimu muhimu:

• Proportion ya wazanzibari (1.3 million) Katika total population ya JMT (44million) ni
Kama 3%.
•Watumishi wa Zanzibar kwenye serikali ya muungano, yani the 92,000 ni sawa na 7% (92,000/1,300,000) ya jumla ya wazanzibari wote (total population).

• Jumla ya watumishi Katika serikali ya muungano kutoka Zanzibar ni 21%, huku Katika 79% iliyobakia, pia wakiwepo.

Maswali:

• Kwanini proportion ya wazanzibari Katika utumishi wa serikali ya muungano (at least 7%) ni at least twice of the proportion ya idadi ya wakazi wa Zanzibar kwa total population ya Tanzania - yani 3% (1,300,000/44,000,000)?

Maswali yote haya yanalenga kutafuta economic justifications za 4.5% and 21%, pengine utatusaidia na majibu, baadhi yetu tumeshindwa kuelewa nini kinaendelea.

Cc Nguruvi3, Mag3, JokaKuu, Dingswayo, chama MwanaDiwani, Pasco, Bongolander.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom