shushushu_mchokozi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 405
- 265
Dah! Mwenzenu naogopa hata ku comment kitu ktk stori ya huyu binadam asiye na huruma kwa wenzake
Je hapo gerezani cjui usalama wa watu wengine utakuwaje ? Maana jamaa tishioHuyu Mjinga hafai hata kurudi Uraiani wamfunge hata miaka 100 afie jela.
Naona kila mtu anasema huku kwetu!kuna story ya miaka kama 4 hivi nyuma Arusha kuna jamaa alimbaka mwanamke mfanyakazi wa UN mchana na wanaume wanaogopa kumfuata,yule mama nadhani alijiua baadae so acheni bla bla za kujifanya kuna sehemu kuna wanaume kweli kweliYaani ujinga huo aufanyie dar ingekuwa kwetu tungetenganisha kichwa na mwili
None sense...utaalamu wa ngumi angekuwa Myweather basiMtaalamu wa mambo ya ngumi...lazima itakuwa bondia maana watu wa hu haa (karate) wana nidhamu sana.
Hahaaa mkuu umenichekesha, atakuwa alikua anapiga judo km JET LI lolNone sense...utaalamu wa ngumi angekuwa Myweather basi
Wenzake wanatafuta pesa majukwaani yeye anatoa watu machoHahaaa mkuu umenichekesha, atakuwa alikua anapiga judo km JET LI lol
Unyan'ganyi wa kutumia silaha ni miaka thelathini ila jaribio la kutaka kuuwa haifiki hata miaka mitano. Waza kwa sautiKosa La Unyang'anyi Wakati Alipania Kuua?
Hawa Waendesha Mashtaka Waache Ujinga. Hilo Ni Jaribio La Kuua Apigwe Maisha Kabisa.
Mmmmm! Majigambo tu ! Kumara hii au nyingine? Unaibiwa hapo unapiga yoweee atoki mtu ndani wanakuja baada ya tukio kuisha na kukupa pole enhee! Masikini weeeHuyo Angekuja kwetu Kimara Kwa Wanaume tuliojitoshekeza kwa mafunzo tukisapotiwa na manati ya Mzungu, angekiona huyo kollo

Kosa la kutaka kuua angekuwa nje kwa dhamana. Huyu ameshtakiwa kosa la kunyang'anya kwa kutumia silaha yaani robbery. Hii haina dhamana na kifungo chake ni miaka 30 jela. Akitoka atakuwa mzee tayari kama atatoka salama. Nimemsikia Paul Makonda akiongea haya na kijana pamoja na ndugu zake alipomtembelea. Yaani watu wameuza roho zao kwa ibilisi!!!!! Unawezaje kumfanyia hivyo binadamu mwenzio? Msikilize kijana hapaKosa La Unyang'anyi Wakati Alipania Kuua?
Hawa Waendesha Mashtaka Waache Ujinga. Hilo Ni Jaribio La Kuua Apigwe Maisha Kabisa.
Utetezi usio na mashikoWewe from nowhere nenda buguruni halafu kwapua uone kama hujachomwa moto huyo ni mwenyeji wa hapo hvy wanamuogopa na siyo kama waneogopa sheria.
Amepewa robbery sio mbaya,,lazima asote ndani miaka 2,Angepewa na mada kesi kabisa,,,ila wananchi nao Waoga sana,,mtu mmoja anasumbua kitongoji kisa kucheza ngumi,,,sasa panga au shoka aliingii mwilini mwake au,,mwisho wa siku muhalifu kama huyo kama ana nyumba
mnamchoma umoumo ndani afilie mbali,ili mradi muhakikishe hamna watu wengine ndani,,
Mkuu atafungwa 30 mbona hiyo yako midogo!!! kwanza kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha halina dhamana. Atakaa ndani hadi kesi iishe (labda miaka miwili au minne). Baada ya hapo miaka 30 jela. 40 yake imefika. Yaani unamchoma mtu visu, unamvutia barabarani ili akanyagwe, magari yanamkwepa, unamvutia pembeni na kumtoboa macho!!!! Huyu ni shetani kabisa si binadamu!!!!Mtu kama huyo anatakiw afungwe angalau miaka 20 akitok amezeeka vinginevyo akitok ataanz n geah
Utetezi usio na mashiko[/QUOT
Kisheria when attacked or provoked hutakiwi kuretaliate iyo ni kazi ya vyombo vya dola. Nadhan ndio maana watu wabugurun walisita kumchukulia hatua.
Pia kisheria ni polisi pekee yake mwenye uniform ndie anahusika kumtia nguvun mtuhumiwa.