Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Ningekabidhiwa rungu la hukumu ningehakikisha Skopion haukumiwi hadi pale atakapojutia makosa yake.

2. kesi yake ingeendeshwa kwa takribani miaka tisa hadi kumi, katika kipindi chote hichi "skopioni" angekua anakuja mahakamani na kurudishwa mahabusu hadi kesi itakapotajwa tena.

3. Dhumuni la kufanya hivi ni kumpa muda wa kujutia aliyoyafanya, katika kipindi hiki "skopioni" angekua kwenye dilemma asijue atahukumiwa nini na lini. Ningemjengea shauku ya kutamani siku ya hukumu ifike (lakini siku hiyo haiji), "Skopioni" angesubiri na kusubiri lakini wapi.

4. Ningekusanya orodha ya watu wote ambao waliwahi kuibiwa na "skopioni" au watu waliosababishiwa ulemavu kutokana na matukio ya uhalifu, watu hawa ningewakutanisha na na "skopioni" apate kuzungumza nao atambue mateso wanayopitia, atambue ni kwa kiasi gani ameharibu maisha na ndoto za watu. Hii ingemshusha "skopioni" na kujutia aliyoyafanya (kwa sasa haonekani kujutia chochote).

5 . Baada ya kuridhika "skopioni" is no longer "skopioni", Skopioni ningemuhukumu kifungo cha maisha jela.

6. ningehakikisha skopioni anapata ujuzi akiwa huko jela wa kuzalisha mali yoyote ambayo ingeuzwa na fedha zote zingeenda kwa muhathirika wa tukio lile.

7. "Skopioni" angegharamia kwa namna yoyote ile gharama za maisha ya ndugu yetu kwa kipindi chote atakachokua huko jela. Ningehakikisha "skopioni" anakua mtumwa wa ndugu yetu katika kipindi chote kilichobaki cha uhai wake.

# NingekabidhiwaRungu
 
Kyalow umenena sawasawa! Huyu hafai kurudi ktk jamii yetu ni muangamizaji wa kizazi hiki. Tena mtu km huyu apewe maiti zilizo kufa kwa kushambuliwa na kuumizwa akae nazo kwa siku tano mpk zimuozee halafu unampa siku za kutafakari. Jitu zima linatumia miguvu yake kijinga kabisa huyu apewe kazi ngumu na akae hukohuko hatimtaki uraiani lucifer huyo
 
Nimegundua binadam tuna tofautiana sana aiseeee......
Ingekua mimi ndie nimepewa mamlaka, huyo skopion angekua tayari amesha kua marehem...
Yaani huyo alipaswa akatwe sehem za makalio, kisha anapewa ugali na maharage kilasiku ale na ashibe. Baada ya hapo angekua kila akienda kujisaidia lazima atachuchumaa na hapo nyama ya makalioni itajivuta na kutonesha vidonda kila siku. Kwa adhabu hiyo angekua anavuja dam nyingi na kupata maumivu makali hadi pale kifo kingemkuta
 
He should not come back to the out society, for his safety and the society as well
 
Nimegundua binadam tuna tofautiana sana aiseeee......
Ingekua mimi ndie nimepewa mamlaka, huyo skopion angekua tayari amesha kua marehem...
Yaani huyo alipaswa akatwe sehem za makalio, kisha anapewa ugali na maharage kilasiku ale na ashibe. Baada ya hapo angekua kila akienda kujisaidia lazima atachuchumaa na hapo nyama ya makalioni itajivuta na kutonesha vidonda kila siku. Kwa adhabu hiyo angekua anavuja dam nyingi na kupata maumivu makali hadi pale kifo kingemkuta
Wale haki za binadamu wange kusumbua Kaka
 
Kyalow umenena sawasawa! Huyu hafai kurudi ktk jamii yetu ni muangamizaji wa kizazi hiki. Tena mtu km huyu apewe maiti zilizo kufa kwa kushambuliwa na kuumizwa akae nazo kwa siku tano mpk zimuozee halafu unampa siku za kutafakari. Jitu zima linatumia miguvu yake kijinga kabisa huyu apewe kazi ngumu na akae hukohuko hatimtaki uraiani lucifer huyo
Ndio Maana huwa siwa hamini Hawa Wanyanyua vyuma, Maboxer na wacheza kareti wa mitaani ambao ni jobless.
 
Na huyu jamaa akipelekwa jela ataenda ku-shine kinoma. Kutakuwa hakuna wa kumgusa au kumfanyia bullying zilizozoeleka magerezani. Na lazima atapewa cheo cha unyapara. Huyu jamaa asingepewa chance ya kudakwa na polisi. Jungle justice should have prevailed!
 
Sure
 
Back
Top Bottom