Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
Moja kati ya matukio yaliyo nisikitisha hili ukimsikia anavyo elezea Mungu amsaidie sana Daah huyu sio akae ndani wampige sindano ya sumu matako ya shangazi yake shamba
Wanaume wa buguruni naona waoga yaan,namtamani angekuwa Arusha angetolewa macho pia kwa Pipe na raia wema hatutakagi ujinga kbs...nikuone unamchoma tu mtu visu nikuache ***** AK47 lazma ihusike
We jua utakavyojua ngumi zako lakini watu kumi wakiwa na marungu visu mushale bunduki au hat a vitofa ni habari nyingine !kweli huko buguruni hakuna wanaume
Mi nawashangaa wakazi wa buguruni aisee,zama hizi za kurushiana ngumi tu?yule alitakiwa apigane ngumi na vitofa tu,hata uwe mbabe vp wananchi mkiamua lazima akae.....Bondia hawezi kupambana na watu wengi.
Hata mimi nashindwa ielewa yupu ni yupiKuna video nimeiona facebook ya huyo scorpion wananchi wakiwa wamemkata miguu pamoja na mkono sasa sijui ni huyu aliekamatwa na polisi au mwingine