Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Sasa mtu mwenyewe yuko nyavu tangu 12.09.2016 halafu watu wanachonga eti anafanya uhalifu mbele ya polisi
 
Kuna vitu vingine Wakazi wa dar hususani wanaume mnaleta aibu hivi kweli mtu mmoja awe tishio mtaani watu mshindwe furahia maisha na familia zenu kisa mtu mmoja karne hii ya leo

Hayo mambo ya ubabe yalikiwaga miaka ya 70 uko kipindi Tanzania yetu asilimia kubwa bado mapori miji haijakuwa vituo vya polisi ni central tu kipindi hicho ndio kulikuwa na ubabe huo kwani mtu akifanya tukio mpaka polisi waje ilichukua mda pamoja na yote hata mda huu walikuwepo askari wa jadi sungu sungu wali jitahidi kuwamudu hawa wababe ingawa waritamba kwani walipofanya uharifu ilikuwa ni ngumu kwa sungu sungu kukamata mda huo kutokana na mazingira

Siyo leo hii askari kila kona mawasiliano kila kona ebu acheni woga wa ajabu
 
Mijitu kama hii due process inawekwa pembeni anafanyiwa summary execution.
 
Mtu kama huyo anatakiw afungwe angalau miaka 20 akitok amezeeka vinginevyo akitok ataanz n geah
Miaka 20 kwa madhila ya makusudi aliofanyia watu?? naona haitoshi kwa kweli, natamani usalama wammalize kimya kimya iwe fundisho na raia waishi kwa amani nchini
 
Wamtoe macho tu huyo scorpion. Halafu wamrudishe mtaani aone uchungu wake
Kwa kweli kamtoa macho mti asie na hatia na yeye afeel the same pain,inasikitisha sana jmn..mtu kama huyu hapaswi kurudi uraiani,afe au Wamtoe macho
 
Kuhusiana na tukio la Hekaheka ya jana kuhusu Mwanaume mmoja mkazi wa Ubungo Makuburi Saidi almaarufu baba D kujeruhiwa vibaya na kutolewa macho na Mbabe mmoja wa Buguruni anayejiita Scorpion tena mbele za watu na hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumsaidia kwa madai ya kamba huyo Scorpion anaogopeka na watu wote maeneo hayo ya buguruni.

Idara ya Hekaheka ikishirikiana na website yako pendwa geahhabibu.co.tz imefika eneo la Buguruni kwa mnyamani ambapo ndipo tukio hilo lilifanyika nakuweza kuongea na baadhi ya wananchi wa waeneo hilo kutaka kujua zaidi kuhusiana na huyo jamaa anayejiita scorpion imekuaje mpaka mtu anapigwa hadi kutolewa macho mbele yao bila wao kutetea chochote.

Wengi wao hawakuwa tayari kumuongelea kutokana na hofu waliokuwa nayo juu ya mtu huyo na hata hao waliokubali walijikuta wakielezea kwa kujificha bila kutaka kujulikana.

Wakazi hao wa Buguruni walidai kuwa jamaa ni mtaalamu wa mambo ya ngumi na huwa haogopi mtu yoyote hata mkienda wengi yeye ndio anafurahi.Vilevile walieleza kuwa hilo ni tukio lake la tatu la kumjeruhi mtu na kumtoa macho alishawahi kumvunja kiuno na mkono mwanamke mmoja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala Salum Hamdani amethibitisha kukamatwa kwa jamaa huyo ambapo anasema kwa sasa yupo ndani Magereza na kesi yake itasomwa tena tarehe 5 mwezi wa 10 2016.

Ni kweli hilo tukio limetokea na polisi tayari walishachukua hatua kwa maana ya huyo mtuhumiwa Scorpion jina lake halisi anaitwa Salum Mpepe alikamatwa siku ya tarehe 12 mwezi wa 9 akawa pale kituo cha polisi Buguruni wakati upelelezi ukiendelea tarehe 23 mwezi wa 9 alifikishwa mahakami na kusomewa jinai namba 276 unyanganyi kwa kutumia silaha, yupo magereza kesi yake itatajwa tena tarehe 5 mwezi wa 10 2016.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.Paul Makonda zimemfika taarifa hizi ambapo yeye pamoja na Idara ya Hekaheka kupitia Leoetena ya Cloudsfm tutaungana kwa pamoja siku ya jumapili saa tisa jioni kwenda kuongea na wakazi wa Buguruni ili kuweka sawa mambo haya ya uhalifu yanayoendelea mtaani
nimeona kamanda sirro na paul makonda wamesimamia kidete hii issue, hongereni sana wakuu
 
Yaani huyu alifaa kunyongwa kabisa... Yaani tushilingi na tucheni analinganisha na uhai wa mtu? Kweli dunia imeharibika
 
Wananchi tunahitaji majibu na sio habari ya kukamatwa...tunataka adhabu kali ichukuliwe dhidi ya baradhuli huyo na iwe fundisho kwa viscorpion vyote vinavyodhsan i hakuna vyombo vya dola. Kuwanyanyasa wananchi ni kuitukana serikali tunataka huyu muuaji na wengine wanaodhani wako juu ya sheria mkono wa sheria uwape stahili yao tena km ya wanaojihusisha na ugaidi maana huyo ni gaidi.
NB; Wanaume wa dar muamke sio kuona mtu anadhilumiwa haki yake na nyie mnaangalia tuu.
 
Kuhusiana na tukio la Hekaheka ya jana kuhusu Mwanaume mmoja mkazi wa Ubungo Makuburi Saidi almaarufu baba D kujeruhiwa vibaya na kutolewa macho na Mbabe mmoja wa Buguruni anayejiita Scorpion tena mbele za watu na hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumsaidia kwa madai ya kamba huyo Scorpion anaogopeka na watu wote maeneo hayo ya buguruni.

Idara ya Hekaheka ikishirikiana na website yako pendwa geahhabibu.co.tz imefika eneo la Buguruni kwa mnyamani ambapo ndipo tukio hilo lilifanyika nakuweza kuongea na baadhi ya wananchi wa waeneo hilo kutaka kujua zaidi kuhusiana na huyo jamaa anayejiita scorpion imekuaje mpaka mtu anapigwa hadi kutolewa macho mbele yao bila wao kutetea chochote.

Wengi wao hawakuwa tayari kumuongelea kutokana na hofu waliokuwa nayo juu ya mtu huyo na hata hao waliokubali walijikuta wakielezea kwa kujificha bila kutaka kujulikana.

Wakazi hao wa Buguruni walidai kuwa jamaa ni mtaalamu wa mambo ya ngumi na huwa haogopi mtu yoyote hata mkienda wengi yeye ndio anafurahi.Vilevile walieleza kuwa hilo ni tukio lake la tatu la kumjeruhi mtu na kumtoa macho alishawahi kumvunja kiuno na mkono mwanamke mmoja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala Salum Hamdani amethibitisha kukamatwa kwa jamaa huyo ambapo anasema kwa sasa yupo ndani Magereza na kesi yake itasomwa tena tarehe 5 mwezi wa 10 2016.

Ni kweli hilo tukio limetokea na polisi tayari walishachukua hatua kwa maana ya huyo mtuhumiwa Scorpion jina lake halisi anaitwa Salum Mpepe alikamatwa siku ya tarehe 12 mwezi wa 9 akawa pale kituo cha polisi Buguruni wakati upelelezi ukiendelea tarehe 23 mwezi wa 9 alifikishwa mahakami na kusomewa jinai namba 276 unyanganyi kwa kutumia silaha, yupo magereza kesi yake itatajwa tena tarehe 5 mwezi wa 10 2016.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.Paul Makonda zimemfika taarifa hizi ambapo yeye pamoja na Idara ya Hekaheka kupitia Leoetena ya Cloudsfm tutaungana kwa pamoja siku ya jumapili saa tisa jioni kwenda kuongea na wakazi wa Buguruni ili kuweka sawa mambo haya ya uhalifu yanayoendelea mtaani

Hata hao wakazi wailo eneo ni kukamata wote,, pumbavu sana kwann wanashuhudia ubarifu alafu wanaogopa kutoa taarifa kwetu sisi watu wa usalama, ngoja tutawaonyesha
 
Alivyo
Mm nilisema jana, hakuna mtu anayeweza kushindana na polisi daima, watu wanalalamika eti cjui nn, eti polisi waoga wakat kmbe hzo taarifa za uharifu hatutaki kuzitoa.
Mfano mzuri n MANGEKINAMBI yule dada anaporomosha matuc sna tena sna!! Je kuna ambaye amemreport polisi?
Acha kua biased alipokua anamtukana lowasa ulikuwa unafurahia Leo imekuaje acha kuhamisha magoli,, ccm ndo mmemlea wenyewe
 
Inasikitisha sana.

Mpaka kufikia kumsababishia mwenzio upofu!
 
Sehemu zingine watu hujichukulia sheria mkononi kuwa poteza duniani wajinga kama huyo maana kumpeleka magereza ni sawa na kuendelea kumfuga!
Huyo anawachezea wanaume wa Dar tu aiseeee.......
Huku kwetu kanda ya kiume, mjinga mmoja hawezi fanya unyama wa aina hiyo huku akitazamwa tu aiseeee......
 
na hao raia wa buguruni walioshuhudia tukio kudadadeki zao wajinga kweli kichwani hakuna kitu yani wote kama wanawake tu, eti mtu anaogopwa hata kumvamia na mawe wanashindwa. . . huu ni ujinga na hamna faida ya kuishi kaka wameshindwa kumuokoa mtu anachomwa visu wao wanaangalia tu.
ningekuwa na mamlaka nisingewaacha bila kuwaadhibu kwa huo uoga uliopitiliza.
pole sana kwa muhanga wa tukio na wote walioguswa na hili tukio kwa namna moja ua nyingine
 
Mtobolewaji naye hata uchawi wa kununua kashindwa.
 
Dar hakuna wanaume,
Hahaha,aisee
Yaani mtu mmoja?
Hapa nachoka kabisa aisee

Polisi wanakazi kweli kwa jiji hili,na ndio maana Madada wa Dar wamekaza kweli kuliko Wanaume wa Dar.Waoga ile mbayaaa,aliekamatwa mwenyewe duhh

Kuna haja ya Jeshi la polisi kuchukua Silaha za Wanaume wote wa Dar wanazomiliki,maana inaonekana Silaha hizo wanatumia kuuzia Sura kwa Madem kwa kujifanya wao ni Usalama wa Taifa,na wengine inawezekana kabisa ikawa kwenye Ujambazi.
Maana matukio mengi na yote ikiwemo Ujambazo,uhalifu wa live kwa kutumia kisu kama huyo na wengine wengi,ni kwamba katika kundi linaloshuhudia lazima mmoja wao anakuwa na Silaha ya moto,ambapo kama amekuwa trained vizuri kama anavyofanyiwa wakati wa kukabidhiwa,basi anauwezo wa 80% kuokoa hali na kuirejesha kuwa shwari.

Lakini utakuta mtu yupo mbioooooo,eti anaogopa
Acheni kulalama Kizembe nyie Wanaume wa DAR,watakuja Mtelezo watachukua mpaka wake zenu kwa uoga wenu.Hovyo kabisa,mtalalamikia polisi mpaka dunia inatanduka.Namkumbuka Nyerere hapa kwa kupeleka vijana JKT kwa lazima,maana miaka hiyo kulikuwa na Wanaume haswa,kama CUBA vile humjui askari nani raia nani.Na ilikuwa ukifanya uhalifu lazima ujifikirie mara mia mia.

Eti mtu anafanya watu mnamuangalia tuuuuuuuuu,Aibu saaaana
 
Back
Top Bottom