Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Kuna video ya jamaa kaumizwa vibaya wanasema ndo yeye
 
Wa kulaumiwa ni wakaazi husika wa eneo hilo inaonekana wananufaika nae mtaani kwetu hakunaga ujinga huo ye nani kwani ingekuwa ashakuwa historia.Da yaan angenifanyia au amfanyie ndugu yangu du yaan kisasi lazima.
 
Kitendo alichofanyiwa yule Bw Said kinauma sana na kwa kweli inasikitisha mpaka sasa ameongea kua amekata tamaa ya kuishi.

Pendekezo langu kwa serikali iache siasa kwa hili, Mtuhumiwa anatakiwa apate adhabu Kali zaidi ya maumivu Aliomsababishia Said, hivyo kabla ya hukumu atakayopewa ni vema kwanza na yeye macho yake yote yanyofolewe halafu ndio Hukumu ifuate, maana mtuhumiwa yasemekana huko nyuma alishawahi kumvunja mkono na kiunotena alikua mwanamke.

Sasa huyu ni mtu hatari ktk jamii na ana roho ya ukatili, Mimi namfananisha kabisa na wale wanaovamia vituo vya police na kuua askari wetu yaani ndio wale wale kweli napendekeza wapatikanapo watu kama huyu scorpion ni kuwamaliza kabisa tena kusifuate sijui demokrasia au haki za binadamu.

Hafai katika jamii ataangamiza wengi akiachwa katika jamii.
jaman me nnatamani sana niione picha yake
 
Acha mhemko bad things happen.Mtaani kuna makubwa zaidi ya kutobolewa macho.The thing is sheria ichukue mkondo wake na kuhusu mhanga huyo well ni mbaya kapoteza uwezo wa kuona na inasikitisha sana lakini despite all maisha lazima yaendelee....
We jamaa nakufananisha na ki....
 
Kama video inayozunguka ndio scopion dah, jamaa wamemfanya kitu mbaya sana asee, nilipomsikia jamaa alietobolewa macho nilitamani NIMMALIZE SKOPIONI DK 1, ila leo NAMUHURUMIA TENA
 
Pitapita yangu mitandaoni nimekutana na hii video, hivi kweli huyu ndio Scorpion? Kweli, hujafa hujaumbika!
 
Kama video inayozunguka ndio scopion dah, jamaa wamemfanya kitu mbaya sana asee, nilipomsikia jamaa alietobolewa macho nilitamani NIMMALIZE SKOPIONI DK 1, ila leo NAMUHURUMIA TENA
Akitibiwa miguu ikaunga utatamani tena ummalize DK 1
 
Pitapita yangu mitandaoni nimekutana na hii video, hivi kweli huyu ndio Scorpion? Kweli, hujafa hujaumbika!

1475679074828.jpg

Inasemekana iyo video si yeye. Picha hii akati anaingia mahakamani.
Duuh unaweza ukamuona ukaona ni kijana wa kawaida tu kumbe ni lijini lililopo duniani!
 
Acha mhemko bad things happen.Mtaani kuna makubwa zaidi ya kutobolewa macho.The thing is sheria ichukue mkondo wake na kuhusu mhanga huyo well ni mbaya kapoteza uwezo wa kuona na inasikitisha sana lakini despite all maisha lazima yaendelee....
Huyu anatoa hukumu halafu anataka tena aende mahakamani!
Kumtoa mtu jicho (jicho kwa jicho) ni hukumu tayari.
Kibaya Zaidi anaitaka serikali ndiyo imuhukumu, anasahau huo ni wajibu wa mahakama.
angeomba serikali izidishe ulinzi (hapo unalizungumzia jeshi la polisi, serikali ya mtaa, halmashauri na jiji)
Then ungeliomba bunge, liangalie sheria zake zinazohusu masuala haya ya uhalifu wa aina au ukubwa huu, kama unaona zina mapungufu lakini... maana ile mahakama haiwezi kuhukumu nje ya kile kinacho ainishwa na sharia/kifungu au kanuni au taratibu husika.
Jifunze kuwa mahakani ni sehemu ya kusimamia haki na sio kuadhibu kwa hisia.
inawezekana hata huyo aliyepelekwa mahakamani kama scorpion akawa kasingiziwa, kumbe watu kwa kumuogopa scorpion au kwa kuwa ana immunity ukaletewa mtu mwingine kumponya yule muharifu, so mahakama inatoa nafasi pia kwa umma (walioathiriwa) na kwa huyo mshtakiwa kuthibitisha kuwa kweli parties zote zimewakilishwa kisheria, then kujua kweli kosa tajwa limetendeka, na nini kimepelekea kosa hilo kutendekea. mwisho hakimu anaringanisha matukio, ushahidi na utetezi ili afikie suluhisho sahihi kwa faida ya wote, mshtaki (aliyepatwa madhara), mshtakiwa na umma.
kuna wakati unaweza kukuta kumbe scorpion ni mwendawazimu, sasa unamnyonga badala ya kumtibu, au na yeye alikuwa analipiza kisasi kwa bwana saidi (haimpi msamaha, lkn ktk mambo ya hisia kumbe halijichukulia sharia mikononi kama wewe) au ni mualifu ambaye motives zake ni za kihalifu tu, na hivyo anahitaji hukumu kama ilivyo andikika.
anyway mi si mwana sharia lakini nadhani tuache mahakama ihukumu kwa kufuata kanuni na taratibu na sio kuridhisha umma, haitowezekana. (mfano mwepesi angalia kesi ya babu seya na jinsi umma ulivyo na different opinions, hiyo ndio hatari ya kufuata hisia)
 
Acha mhemko bad things happen.Mtaani kuna makubwa zaidi ya kutobolewa macho.The thing is sheria ichukue mkondo wake na kuhusu mhanga huyo well ni mbaya kapoteza uwezo wa kuona na inasikitisha sana lakini despite all maisha lazima yaendelee....
Tatizo letu ndio hill na ndio kisa hadi Leo maalbino wanauawa hii ni kutokana kauli hizo eti"tuachie sheria ichukue mkondo wake" nakueleze kua tukio hili lingetokea China au arabuni ndio hapo ungesikia habari yake,na ndio kiss arabuni nchi nyingi Kyle hakuna wezi ama walinzi....nenda kaibe uone
 
Katika hili la Scorpion, mimi nalia na Polisi tu kwa uoga wao au maslahi binafsi na huyu Scorpion.

Vv
 
Back
Top Bottom