Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,946
- 1,804
Apigwe maisha aendelee kula bure? AuaweKosa La Unyang'anyi Wakati Alipania Kuua?
Hawa Waendesha Mashtaka Waache Ujinga. Hilo Ni Jaribio La Kuua Apigwe Maisha Kabisa.

Kosa La Unyang'anyi Wakati Alipania Kuua?
Hawa Waendesha Mashtaka Waache Ujinga. Hilo Ni Jaribio La Kuua Apigwe Maisha Kabisa.
Mimi binafsi nilitegemea hivi mkuu. Ana bahati sana huyo nyang'au. Maana kikosi kazi kilikuwa kazini. Eti mtaalamu wa ngumi anapendelea watu wakija wengi!!!! WTF!!??
Haina haja ya kupoteza hela ya walipa kodi....huyu jamaa ilibidi atumbukizwe kwenye cyanide kule mgodini.
Hapo bugurini inatakiwa pasafishwe. Maana inaonekana bado kuna hao wapolimpo wenzake.

Wew mtoa mada jina lako na scorpion mbna zinaendana au unatafuta kick![]()
niacheni huko...Nikweli![]()
![]()
itabidi nibadili jina...sipendi ujinga
Hahaha safi sana mkuuNikajua feedback kuwa jamaa ni marehemu kumbe bado mzima.
Kuhusiana na tukio la Hekaheka ya jana kuhusu Mwanaume mmoja mkazi wa Ubungo Makuburi Saidi almaarufu baba D kujeruhiwa vibaya na kutolewa macho na Mbabe mmoja wa Buguruni anayejiita Scorpion tena mbele za watu na hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumsaidia kwa madai ya kamba huyo Scorpion anaogopeka na watu wote maeneo hayo ya buguruni.
Idara ya Hekaheka ikishirikiana na website yako pendwa geahhabibu.co.tz imefika eneo la Buguruni kwa mnyamani ambapo ndipo tukio hilo lilifanyika nakuweza kuongea na baadhi ya wananchi wa waeneo hilo kutaka kujua zaidi kuhusiana na huyo jamaa anayejiita scorpion imekuaje mpaka mtu anapigwa hadi kutolewa macho mbele yao bila wao kutetea chochote.
Wengi wao hawakuwa tayari kumuongelea kutokana na hofu waliokuwa nayo juu ya mtu huyo na hata hao waliokubali walijikuta wakielezea kwa kujificha bila kutaka kujulikana.
Wakazi hao wa Buguruni walidai kuwa jamaa ni mtaalamu wa mambo ya ngumi na huwa haogopi mtu yoyote hata mkienda wengi yeye ndio anafurahi.Vilevile walieleza kuwa hilo ni tukio lake la tatu la kumjeruhi mtu na kumtoa macho alishawahi kumvunja kiuno na mkono mwanamke mmoja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala Salum Hamdani amethibitisha kukamatwa kwa jamaa huyo ambapo anasema kwa sasa yupo ndani Magereza na kesi yake itasomwa tena tarehe 5 mwezi wa 10 2016.
Ni kweli hilo tukio limetokea na polisi tayari walishachukua hatua kwa maana ya huyo mtuhumiwa Scorpion jina lake halisi anaitwa Salum Mpepe alikamatwa siku ya tarehe 12 mwezi wa 9 akawa pale kituo cha polisi Buguruni wakati upelelezi ukiendelea tarehe 23 mwezi wa 9 alifikishwa mahakami na kusomewa jinai namba 276 unyanganyi kwa kutumia silaha, yupo magereza kesi yake itatajwa tena tarehe 5 mwezi wa 10 2016.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.Paul Makonda zimemfika taarifa hizi ambapo yeye pamoja na Idara ya Hekaheka kupitia Leoetena ya Cloudsfm tutaungana kwa pamoja siku ya jumapili saa tisa jioni kwenda kuongea na wakazi wa Buguruni ili kuweka sawa mambo haya ya uhalifu yanayoendelea mtaani

Usiombe uende Jela ukutane nae. Utampa chakula kila siku.Duh, afadhali huyo fedhuli kakamatwa, watu kama hao haina haja ya ushaidi ni kuwapiga mvua tu iwe fundisho kwa wengine
Usiombe uende Jela ukutane nae. Utampa chakula kila siku.

Amesahau mkuu! Alisema wanyang'anywe silaha harakaharaka.Magufuli alimwagiza kamanda wa mkoa awanyaganye silaha sijui huyu hajachukuliwa silaha yake
Utata wake ni nini hasa....!!! Punguzeni woga pigeni kiberiti huyo mshenzi.jamaa mtata sana