Duh, afadhali huyo fedhuli kakamatwa, watu kama hao haina haja ya ushaidi ni kuwapiga mvua tu iwe fundisho kwa wengine
Ukumbuke mafuta ya kukaangia kuku yalikuwepo walishindwa kumwagia?sisimami tena kununua kuku buguruni sio sehemu salaamaSipati picha hao wanaume wa buguruni walivyo yaan mtu anatolewa macho wao wanaangalia tu yaan hakukua Na mpini wa jembe, nondo, mawe, koleo nk hapo karibu na tukio.

Ushauri mzuri huyu kumpeleka magereza ataendeleza ubabe tu huko na kula bure dawa ni kumtiboa macho na kumvunja miguu alafu kumuacha huru ili aje awe mbabe uraiani.nalishauri jeshi la polisi wafanye kitu kimoja,wamkabidhi huyo bwege anayejiita skopioni kwa JWTZ,wakamfiche ktk pori moja la mateso.wamtese sana tena sana,ila wasimue.baada ya mateso ya kijeshi ya wiki au mwezi mmoja,wamrudishe uraiani aje awasimulie wahuni wenzie.
huko kuna wababe Zaidi yake na kule silaha atakuwa hana labda hiyo mikono.Je hapo gerezani cjui usalama wa watu wengine utakuwaje ? Maana jamaa tishio
Inasemekana polisi wa buguruni walikuwa wanamwendekeza. Siku ya tukio alikuwepo walipokwenda lakini hawakumkamata. Polisi wa Sitakishari ndiyo waliomkamata. Source Mtanzania ya leo.Mbona polisi wamechelewa kumtia nguvuni,unataka mpaka awatoboe macho watu wengi zaidi?
Huko ndani ataipata fresh. Kuna wababe zaidi yake waliokubuhu maisha ya jela. Yeye si anawafanyia wananchi wasio na hatia na wapole wasiokuwa na nguvu kama yeye!!! Kwanza kesi yake haina dhamana na atakaa mahabusu mpaka akome. Baada ya miaka kadhaa kuwa mahabusu atahukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 30.Ushauri mzuri huyu kumpeleka magereza ataendeleza ubabe tu huko na kula bure dawa ni kumtiboa macho na kumvunja miguu alafu kumuacha huru ili aje awe mbabe uraiani.
Hata mimi nimemshangaa eti kipumbavu kimoja kisumbue buguruni nzima na hakina hata bastolakweli huko buguruni hakuna wanaume
mvua au bastola?Duh, afadhali huyo fedhuli kakamatwa, watu kama hao haina haja ya ushaidi ni kuwapiga mvua tu iwe fundisho kwa wengine
Hapo poahuko kuna wababe Zaidi yake na kule silaha atakuwa hana labda hiyo mikono.
Wanaume wa buguruni naona waoga yaan,namtamani angekuwa Arusha angetolewa macho pia kwa Pipe na raia wema hatutakagi ujinga kbs...nikuone unamchoma tu mtu visu nikuache ***** AK47 lazma ihusikeMimi binafsi nilitegemea hivi mkuu. Ana bahati sana huyo nyang'au. Maana kikosi kazi kilikuwa kazini. Eti mtaalamu wa ngumi anapendelea watu wakija wengi!!!! WTF!!??
Haina haja ya kupoteza hela ya walipa kodi....huyu jamaa ilibidi atumbukizwe kwenye cyanide kule mgodini.
Hapo bugurini inatakiwa pasafishwe. Maana inaonekana bado kuna hao wapolimpo wenzake.