SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.

Hivi wewe kweli ni mzima kichwani na rohoni?? How dare unawaita watu wenye mahitaji ya kiroho/maombi eti ni wateja??? Unadhani prophet TB Joshua alianzisha Scoan ili iwe gulio???
Hebu nyinyi walokole muongozeni sala ya toba huyu mwenzenu, maana anatuletea viroja tu humu ndani
 
Dolari tena jamani? Tena hamsa!! Maana sio hamsini hio sasa, ile sticker ya Let Love Lead ndio dolari hamsini??? Mmmhh lazima mtulipe VAT sasa jamani Kha!! Bibi yangu kavuta ndio tumemzika Jumamosi pamoja na kununua hizo sticker aaaghh please

uliambiwa ukinunua hiyo stiker ndo bibi(r.i.p) hatafariki???

acha upuuzi mkuu
 
Kaunga: Kwa mwaka it depends na taarifa tunazopeleka SCOAN...zikipitishwa, ile idadi ya watu waliopitishwa ndio tunawafanyia utaratibu wa kwenda. Na it depends pia na tatizo la mtu linalompeleka.....

Swala la ndugu yako, nitalifuatilia....lakini sina uhakika kwa muda wote huo mpaka sasa hajaenda. Huenda labda akawa na matatizo migration au hajakamilsha pesa.

Utalifuatilia ilhali hujaniuliza anaitwa nani? Ndio majibu ya kisiasa hayo.
NiPM no yako nikutumie majina yake, malipo keshalipa hiyo usd 1,500 na ya viza sijui laki moja na ngapi.
 
Last edited by a moderator:
Sio Biashara!

Hata usihangaike kujibizana na watu humu, asiyeamini na aendelee kutokuamini na yule aliye msafi na azidi kujitakasa.

Unajua suala la imani si suala la kuhukumiana maana ndivyo mtu alivyochagua kuamini na kwa imani yake anajiona yupo sahihi.
 
Hata usihangaike kujibizana na watu humu, asiyeamini na aendelee kutokuamini na yule aliye msafi na azidi kujitakasa.

Unajua suala la imani si suala la kuhukumiana maana ndivyo mtu alivyochagua kuamini na kwa imani yake anajiona yupo sahihi.
watu8 Mungu akubariki sana, kuna baadhi ya memba wanauliza maswali wakiwa tayari na majibu yao vichwani jibu likitoka nje ya lile lake anakuwa Mbogo!!!

Huyo Martha mwenye office ground floor Benjamin Mkapa naona kama anajitahidi sana kuomba msahamaha, mueleweni na msameheni bure, kulingana na comment natambua kuna baadhi ya watu aliwaumiza haswaa!! Ndugu zangu nawaomba msameheni tu!

Samehe saba mara sabini Math 18:21-22.

Cheeers!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Last edited by a moderator:
batchu: Tusamehe ndugu yetu....hatuna tabia hizo na usituchafulie tafadhali.

Kuna mlichocngiziw ht kimoja kat ya nilivyotaja?!tn ucnipe hasira ntawawek hewan ujute na hii thread yko ya kizushi tn bora ungefungiw kbs cjui wamekuach wanin.unadirik kuita coordinator wenzio tapel eti tusidanganyike!.shame upon your face...tn watakaoendelea kuja kwnu ni wagen snaaa hp town.jamaniiiiii....nenden kwa Blandina hyu keshakuw kibela.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer: Imagine, ukawa na hayo maji na yakakupa au kukuponya ugonjwa wa kutibiwa kwa mamilioni au kutotibiwa kabisa.

Fikiria na hilo pia.

#Imani yako itakuponya

Unawezaje kufikiri kumhusisha Mungu na masuala ya dunia?

Hata kamani hivyo bado haihalalishi huyoi jamaa kuyauza hayo maji wakati yeye huo upako hajaununua hata senti moja

Unadhani kama Mungu nakimuambia aununue huo sijui upako ataweza kuulipia kwa gharama stahiki?

Huu ni nyonyaji!
 
batchu: Tumekuelewa...njoo ofisin kwetu tukupe sticker na antg water bure.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer: Sio unyonyaji- Swala ni uelewa. Na hulazimishiwi kupata huduma.

#Faith comes from the Heart
 
Last edited by a moderator:
Nawaamin watu wanaofundisha neno la mungu,ila sio annointing water,maji ya baraka sijui uponyaji ni wizi na ulaghai.
 
Ucjioshe we kima tna nimekutesr tu kwa PM nione km mmejirekebisha kwl afu unatukana ungejua hp ndo kwnywe ht ucngetukana.mlijificha kwny wokovu wa kinafki kwa muda ss nafac hamna tna afu hyo fisi kasoro mkia ni mamako mzazi na hcho kimartha chakp kinschokuremote utukane cjui mpo wote.adabu wla hekima hamna mkojoe mlale tu nyie.unipe maji ya bure kwa lp km co presha ishakupanda kw mipasho?!kwa taarif yko tu kw Prophet nshaenda tna co mara moja mwache kuwaonea watu.tn mfunge ikiwezekn au mnasubir mpk tone la mwisho?!hta mlale chn hakuna anayewajua atakayekuja.....
 
Eiyer: Sio unyonyaji- Swala ni uelewa. Na hulazimishiwi kupata huduma.

#Faith comes from the Heart

Najua silazimishwi lakini ishu hapa sio kulazimishwa bali ni kwanini mnayauza hayo sijui ni maji au vitu gani wakati huo uwezo ulioko humo kwenye hayo maji[?] hamjaununua?

Tena mnauza Dolar 50!!!!!!!!!!!

Khaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
It means huamini hata uponyaji ulioandikwa kwenye Biblia. Kama huelewi kitu ni vizuri ukaacha kukoment
 
annabrenda: wengine mnamajungu tu. Barikiweni sana

nyinyi ndio mnaleta majungu kwenye kazi ya Mungu. hamna tofauti na wale wanaotake advantage ya matatizo waliyonayo waumini wao kujinufaisha wenyewe. kumbukeni Mungu anaona hizo roho zenu. Ubarikiwe na Bwana Yesu.
 
mi nadhani Huyu dada kaweka vizuri maelezo yake .... kuna gharama za usafirishaji .. ndio maana anatoza dola 50$
 
mi nadhani Huyu dada kaweka vizuri maelezo yake .... kuna gharama za usafirishaji .. ndio maana anatoza dola 50$

Mkuu hilo limekuwa gumu kueleweka, mi nadhan wafuate ushauri uliotolewa na mdau wa kwenda Nigeria.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Nenda Nigeria ukapewe bure..
Hata hapo ulipo Mungu yupo.
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi" (Mwanzo 1:1).
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]"Yeye [Mungu]
alikuwako kabla ya vitu vyote; vyote hudumu mahali pale kwa uwezo wake"
(Wakolosai 1:17).
[/FONT]​

Huna haja ya kwenda Nigeria kwa vile Neno lasema:

2 Mambo ya Nyakati 16:9 inasema hivi: "Kwa habari ya Yehova, macho yake yanaenda huku na huku duniani kote ili aonyeshe nguvu zake kwa ajili ya wale ambao moyo wao ni mkamilifu kumwelekea yeye."
 
Back
Top Bottom