Scientific fact na knowledge Thread

Scientific fact na knowledge Thread

Ndio space ilikuwepo na ndio maana big bang ilitokea. Big bang ilitokea baada ya particle ndogo zaidi kulipuka na kusambaa ikitoa gesi tofauti tofauti.
Kwa hiyo mpaka sasa tupo kwenye ile particle iliyolipuka ikatekengeneza space?

au tupo kwenye particle ambayo haina space
rejea maana ya spacei
 
Space ni ule utupu uliopo, uliokuwepo na utakaokuepo. Hivo particle ilikuwepo ndani ya space yenyewe.
 
IDENTITY YA MTU — WEWE NI NANI HASA?

Swali linaonekana rahisi:
“Wewe ni nani?”

Jina lako? Mwili wako? Kumbukumbu zako? Personality yako? Au kuna kitu kingine kinachokufanya uwe wewe?

Twende deep.
Fikiria umeingia hospitali na kuna mtu anayefanana nawe kabisa.
Ana DNA yako, uso wako, fingerprints zako na hata kumbukumbu zako zote.
Ukimuona, utasema huyo ni wewe?
Probably hapana.

Kwa hiyo identity siyo tu physical appearance.

Sasa tuangalie mwili.
Mwili wako wa leo siyo ule wa miaka 10 iliyopita.
Cells nyingi zimebadilika, zimekufa na nyingine mpya zimeundwa.
Ulikuwa na mwili mwingine ukiwa mtoto.
Lakini bado unasema:
“Huyo mtoto nilikuwa mimi.”
Kwa nini?

Basi labda identity iko kwenye brain.
Lakini brain yenyewe pia hubadilika.
Connections kati ya neurons hubadilika.
Memories huongezeka.
Beliefs hubadilika.
Personality inaweza kubadilika.
Kwa hiyo:
Ni kitu gani kinachobaki?

Hapa ndipo tunakutana na swali maarufu la philosophy:
Ship of Theseus

Fikiria kuna meli.
Unaanza kubadilisha kifaa kimoja kimoja.
Baada ya muda, kila kifaa kimebadilishwa.
Hakuna sehemu hata moja ya original iliyobaki.

Swali:
Je, bado ni ile meli ileile?

Sasa hamishia hilo kwa binadamu.
Kama mwili wako unaweza kubadilika…
Kumbukumbu zikabadilika…
Mawazo yakabadilika…
Personality ikabadilika…

ni nini kinachofanya “wewe wa miaka 10 iliyopita” na “wewe wa leo” kuwa mtu mmoja?

Labda ni memory.
Unajiona kuwa wewe kwa sababu unaweza kusema:
“Nilifanya hivi.”
“Nilipitia hivi.”
“Nilikuwa hivi.”

Kumbukumbu zinaunganisha past yako na present yako.
Lakini kuna tatizo.

Memory si perfect.
Unaweza kusahau tukio.
Unaweza kukumbuka kitu vibaya.

Na unaweza kuwa na memory ambayo haikutokea exactly jinsi unavyokumbuka.

Kwa hiyo kama memory yako inaweza kubadilika…
Je, identity yako pia inaweza kubadilika?
Fikiria mtu anayepoteza kumbukumbu zake zote.

Mwili bado upo.
Brain bado ipo.
Lakini history yake binafsi imepotea.
Je, bado ni “yeye” yule?

Sasa twende kwenye sehemu yenye kuchanganya zaidi.
Fikiria technology ambayo inaweza kufanya perfect copy ya brain yako.

Copy hiyo ina:
  • Memories zako
  • Personality yako
  • Knowledge yako
  • Preferences zako
  • Fears zako
  • Dreams zako

Na inasema:
“Mimi ni David.”

Wewe pia unasema:
“Mimi ni David.”

Ni nani original?

Hapa ndipo concept ya identity inapoanza kuvunja intuition yetu.

Kwa sababu kama copy ina memories zako zote, inaweza kuamini kwa dhati kwamba imekuwa ikiishi maisha yako.
Lakini wewe bado uko hapa.
Kwa hiyo kuwa na taarifa zote zinazokufanya uwe wewe…
je, hiyo inatosha kuwa wewe?

Labda identity si kitu kimoja.
Labda “wewe” ni combination ya:

Body + Brain + Memory + Personality + Continuity of experience.

Hakuna sehemu moja inayosema:
“Hiki ndicho kitu kinachoitwa WEWE.”

Na hapo tunafika kwenye swali la ajabu zaidi:

Je, kuna “you” anayeyaexperience maisha?

Tunaposema:
“Ninaangalia dunia.”
Nani hasa anaangalia?

Macho yanapokea light.
Brain inaprocess signals.
Neurons zinafire.

Lakini experience ya kuwa wewe inatoka wapi?

Hili linatupeleka kwenye consciousness.

Kwa sababu unaweza kuelezea neurons.
Unaweza kuelezea brain regions.
Unaweza kuelezea electrical signals.

Lakini bado kuna swali:
Kwa nini processing hiyo inaambatana na experience ya kuwa “mimi”?
Kwa nini kuna something it feels like to be you?

Na kuna experiment nyingine ya kufikirisha:

Fikiria kesho scientists wanaweza kuchukua information yote ya brain yako na kuihamishia kwenye artificial body.

Artificial body inaamka na kusema:

“Nimeamka. Mimi ni mimi.”
Je, wewe umehamishwa?
Au umeunda copy yako?

Kama original yako bado iko hapa…
na copy iko kule…
zote zina memories zako…
zote zinaamini ni wewe…
basi identity haiwezi kuwa simply:

“kuwa na information yangu.”

Kwa sababu sasa kuna watu wawili wanaodai kuwa wewe.

Hii inatufikisha kwenye possibility moja:

Labda identity siyo kitu kinachohitaji kuwa perfectly continuous object.
Labda ni process.
Kama flame ya mshumaa:

Moto wa sekunde hii si molecule zilezile za moto wa sekunde iliyopita.
Lakini tunaona flame moja ikiendelea.

Kwa mtazamo huo:
You are not exactly a fixed thing.
You are an ongoing process.

Body inabadilika.
Brain inabadilika.
Memories zinaongezeka na kupotea.
Ideas zinabadilika.
Lakini kuna continuity inayounganisha stages hizo zote.

Na hii inaleta swali la mwisho:
Kama kila kitu kuhusu wewe kinaweza kubadilika…

mwili,
kumbukumbu,
mawazo,
personality,
beliefs…

Ni nini hasa kinachofanya uwe WEWE?
Au labda swali sahihi si:

“What am I?”
Bali:
“What makes one moment of consciousness connected to another?”

Na kama identity ni process badala ya object…
basi huenda:
Wewe wa jana hakufa.
Na
wewe wa kesho bado hajazaliwa.
Kuna process moja inayoendelea—
na kila moment inajenga inayofuata.

Labda “YOU” siyo kitu unachokimiliki.
Labda YOU ni pattern inayojidumisha kupitia muda.

Na hapo ndipo identity, consciousness, memory na reality zinaanza kukutana.

Swali kwako:
Kama kesho kutatengenezwa copy yako yenye mwili mwingine, memories zako zote, personality yako yote na kila kitu unachojua—

Je, hiyo copy ni WEWE… au ni mtu mwingine anayefanana kabisa na wewe?
 
Hatari hiyo😅
 
Kwenye mwili wa mwanadamu kuna mamilioni ya viumbe wanaoishi ndani yake ambapo ukiwatoa huwezi ku survive sababau mwili wa mwanadamu unategemea sana msaada wa viumbe hao, hata kwenye ngozi ya mwanadamu kuna viumbe kama{microscopic animal, fangasi na bakteria} mbapo hata ukiwaosha kwa maji safi sio wote wanaotoka wengine wapo kama ngao ya kutulinda na maambukizi na wengine hutengeneza harufuya asili ambayo ni ya kipekee kwa kila mtu, kuna waliopo ndani ya tumbo ambao wanafanya kazi nyingi sio tu kusaga na kuchambua chakula tumboni wengine hu infuluence mood zetu hata vitu tunavyopenda na idadi ya ni kubwa zaidi takribani trillioni mia, mwisho wa siku dunia ni sehemu ya kutegemeana na ushirikiano mkubwa baina ya viumbe hii inafanya mwanadamu kujiona bora kuliko viumbe wengine kuwa idea ya uwongo anayojiambia
 
Ahsante
 
Ubongo wa kulia kwa wanawake upo active kuliko wa kushoto. Ubongo huu wa right hemisphere ndo hutawala hisia kwa ujumla. Vilevile kinyume chake ni ubongo wa kushoto kwa mwanaume upo active zaidi ya ule wa kulia. Ubongo huu wa left hemisphere ndo unatawala reasoning kwa mwanaume. Mtanisahihisha
 
Pia ubongo wa kulia hujishughulisha na creativity, intuition na kujifunza vitu vipya.
 
Kwenye mwili wa mwanadamu kuna mamilioni ya viumbe wanaoishi ndani yake ambapo ukiwatoa huwezi ku survive sababau mwili wa mwanadamu unategemea sana msaada wa viumbe hao, hata kwenye ngozi ya mwanadamu kuna viumbe kama{microscopic animal, fangasi na bakteria} mbapo hata ukiwaosha kwa maji safi sio wote wanaotoka wengine wapo kama ngao ya kutulinda na maambukizi na wengine hutengeneza harufuya asili ambayo ni ya kipekee kwa kila mtu, kuna waliopo ndani ya tumbo ambao wanafanya kazi nyingi sio tu kusaga na kuchambua chakula tumboni wengine hu infuluence mood zetu hata vitu tunavyopenda na idadi ya ni kubwa zaidi takribani trillioni mia, mwisho wa siku dunia ni sehemu ya kutegemeana na ushirikiano mkubwa baina ya viumbe hii inafanya mwanadamu kujiona bora kuliko viumbe wengine kuwa idea ya uwongo anayojiambia

Maana yake hao viumbe wanaona miili yetu kama ulimwengu kwao.
Hiyo ya kuinfuence mood ndio nimejua leo.
 
Hatari, kuna wazo nimewaza ni la kijinga lakini😁, vipi kama na sisi ni micro organism ya viumbe wakubwa zaadi, yani ulimwengu wetu vipi kama upo ndani ya viumbe wengine wakubwa zaadi😁
 
Inawezekana pia.
 
Maana yake hao viumbe wanaona miili yetu kama ulimwengu kwao.
Hiyo ya kuinfuence mood ndio nimejua leo.
Huwaga najiuliza, inawezekana sisi binadamu ni parasite ndani ya mwili wa kumbe mkubwa sana na hii dunia ni organ tu kama ulivyo moyo labda. Na hata hzo sayar zingine ni organ pia (labda mapafu😂)

Inakuaje kama natural calamities zinazotokea ni effect za huyu kiumbe kutumia dawa au immunological responses za huyu kiumbe ku fight against us🤔😅

Ninafikiria haya niki-relate na sayansi za parasitology, bacteriology, virology & immunology.😂😂
 
Hatari, kuna wazo nimewaza ni la kijinga lakini😁, vipi kama na sisi ni micro organism ya viumbe wakubwa zaadi, yani ulimwengu wetu vipi kama upo ndani ya viumbe wengine wakubwa zaadi😁
Hiki kitu huwa nakiwazaga pia😂
 
Huwaga najiuliza, inawezekana sisi binadamu ni parasite ndani ya mwili wa kumbe mkubwa sana na hii dunia ni organ tu kama ulivyo moyo labda. Na hata hzo sayar zingine ni organ pia (labda mapafu😂)

Inakuaje kama natural calamities zinazotokea ni effect za huyu kiumbe kutumia dawa au immunological responses za huyu kiumbe ku fight against us🤔😅

Ninafikiria haya niki-relate na sayansi za parasitology, bacteriology, virology & immunology.😂😂

Inawezekana kabisa.
 
Utafiti wa kisayansi unabaisha kwamba

Chaza (oysters) ni mnyama wa majini ambae hua hujibadilisha jinsia wakati wa maisha yake.
Huzaliwa kama dume, kisha baadae hubadilika na kuwa jike.

Cc: Mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom