Scientific fact na knowledge Thread

Scientific fact na knowledge Thread

Ukiweka enlightenment kama msingi wa maongezi yetu toka mwanzo , huo utambulisho wa energy unakufa pia
Mhh that is even more better kuliko kusema experience?
Mi bora nikasema kuwa that which I don't know is nothing, or singular from an energetic pov kuliko unambie eti kinacho baki ni experience.

Huyo experiencer pamoja na experience yenyewe zimeisha dissolve
 
Hii ni label nyingine ya akili tu. Ukisema,
nothing.
singular.
energetic point.

Bado unatumia dhana (concepts) kuelezea kile unachosema kimevuka dhana. Hapo tayari kimeingia kwenye mfumo wa kufikiri.
 
Hivi mfano ni najua fika kuwa mimi nina mwili wenyewe mkusanyiko wa energy..

Alafu nikasema mimi ni energy. Hapo ita negate the fact ya kuwa mwili wangu una exist?

Sawa ni wazo lakini physical existence yake ipo..
 
Ni kweli mwili unaweza kuelezewa kisayansi kama energy, lakini hiyo ni description tu, si mimi.

Energy haiwezi kujijua yenyewe. swali si mwili umetengenezwa na nini, bali nani anajua mwili na energy hizo zote zipo?

Kuna guru mmoja wa huko oregon 🇺🇸 aliwahi kusema, "wewe si mwili wala energy ,hayo yote ni vitu vinavyoonekana ndani ya consciousness.

Wewe ni ushuhudiaji (awareness) wenyewe, si kitu kinachoweza kupunguzwa kuwa physics au dhana yoyote.
 
Je Ukifa hiyo awareness si hautaijua?
Au mfano ubongo umepata hitilafu, na ukashindwa kudetect awareness wewe haupo?
 
Twende kisayansi maana, utambuzi ni psychology na itakuwa na mapungufu
Sayansi pia inamapungufu na haijakamilika na bado inafanya tafiti, ishh za meditation pia sayansi walikaa chini nakuzichunguza ndipo wakathibisha ufanyaji kazi wake ila kabla hata ya sayansi na dini watu walifanya meditation je walijulia wap ? Huo ndio utambuzi wa hali ya juu, sayansi yenyewe inategemea utambuzi
 
OK go on.. With meditation aspect
 
So basically tunajishauwa tu kutafuta mwisho wa ulimwengu

Yaani mpaka nahisi ukubwa wa ulimwengu hauelezeki.

Lakini hata udogo pia ukomo wake haujulikani. Mwanzoni Dalton alisema matter is made up of small indivisible particles called atom, baadae ikajulikana kuna proton na netrons kwenye nuclear na electrons zikizurura nje ya nuclear na sasa hivi inajulikana kuna particles ndogo zaidi ya hizo so ukomo haujulikani.
 
Also kuna quantum particles that behave differently when observed
 
Yaani mpaka nahisi ukubwa wa ulimwengu hauelezeki.

Lakini hata udogo pia ukomo wake haujulikani. Mwanzoni Dalton alisema matter is made up of small indivisible particles called atom, baadae ikajulikana kuna proton na netrons kwenye nuclear na electrons zikizurura nje ya nuclear na sasa hivi inajulikana kuna particles ndogo zaidi ya hizo so ukomo haujulikani.
Alafu pia hii ni dimension yenye kanuni zake, ukienda outer space unakuta kanuni mpya
 
Back
Top Bottom