Water is the universal solvent, it can be solid, liquid or steam(gas)Matter is anything that occupies space and has weight 🌚
Mwanike kumbe nsomi ghete ubebeMatter is anything that occupies space and has weight 🌚
Mambo ya metaphysicsThe greatest awakening is to realize that you are not your mind you are the one who is aware of it. DR Mambo Jambo
Hiyo tulisoma primaryMwanike kumbe nsomi ghete ubebe
Primary mpak ihaha amashikolo gaka vapourHiyo tulisoma primary
Mbona umeandika tu bila maelezo?‎Kuna cell kwenye ubongo wa mwanadamu ambayo haipatikani kwenye kiumbe chochote kile, Neuron ya tofauti kabisa ambayo wanasayansi wameipa jina la Rosehip sababu inataka kufanana sana na kama mmea kuliko kama cell, mwaka 2020 wanasayansi kutoka taasisi ya Allen na chuo kikuu cha Szeged walikuwa wakichunguza tissue za kwenye ubongo wa mwanadamu kwa lengo la kulinganisha au kuangalia utofauti uliopo kwenye ubongo wa mwanadamu na wa panya hapo ndipo walipo ona hiyo cell yenye umbo la tofauti na inaonekana kuwepo kwa mwanadamu tu walifanya majaribio yakutosha kuona kama hiyo cell huenda ikawepo kwenye viumbe wengine ila hawakuona, kitu kinachowashangaza wachunguzi ni kuwa neuron hiyo ipo kwenye layer ya juu kabisa kwenye ubongo sehemu ambapo mawazo,hisia na ufahamu unapo anza kujitengeneza na kama vile zimekaa kwenye mlango wa ufahamu kuangalia nini inachoingia, zinalinda kitu, control kitu au kuzui kitu haijuikani mpaka sasa sababu wanasayansi mpaka sasa hawajui hasa hizo cell ni nini na zinafanya nini
‎
Hivyo basiJambo la kushangaza kuhusu macho yako na jinsi unavyoiona dunia.
Kila kitu unachokiona duniani kinapitia macho yako, lakini kuna jambo moja la kushangaza sana, huwezi kujiona moja kwa moja kwa macho yako bila kutumia kioo au kamera.
Kwa nini?
Macho yako hufanya kazi kama kamera
Mwanga unaingia ndani ya jicho
Unagonga retina
Ubongo hutafsiri kile kilichoonekana kuwa picha
Lakini ili ujione wewe mwenyewe moja kwa moja, macho yako yangelazimika kujigeuza na kujitazama yenyewe , jambo ambalo haliwezekani kimaumbile.
Lakini hapa ndipo jambo linapozidi kushangaza zaidi
Ubongo wako hauoni dunia kama ilivyo moja kwa moja.
Kile unachokiona ni tafsiri ya ubongo wako ya mwanga unaoingia machoni.
Hii ina maana:
Rangi unazoziona si rangi halisi, bali tafsiri ya ubongo.
Umbali unaouona ni makadirio ya akili yako.
Hata mwili wako unaouona ni ,picha iliyojengwa ndani ya ubongo.
Hitimisho
Kwa namna ya kushangaza.
Wewe hauoni dunia moja kwa moja… unaona toleo la dunia lililotengenezwa na ubongo wako.
Na ndiyo maana:
Watu wawili wanaweza kuona kitu kimoja lakini wakakielewa tofauti
Au mtu mmoja akaona kitu kipo, mwingine asione kabisa.
Naomba unijibu!Universe na maajabu yake.
Kuna kitu kinaitwa expanding universe yaani universe inaendelea kupanuka kila sekunde inayoendelea.
Lakini jambo la kushangaza zaidi ni hili
Universe si tu kwamba inapanuka… bali upanuzi wake unaendelea kuongeza kasi.
Wanasayansi wamegundua nini?
Galaxies zote zinaonekana zinaondoka kutoka kwa nyingine
Na si kwa mwendo wa kawaida, bali kwa kasi inayoongezeka kila wakati.
Swali linalochanganya akili
Inapanuka kuelekea wapi?
Jibu la kushangaza ni kwamba,
Universe hainapanuki , ndani ya kitu kingine,
Bali space yenyewe ndiyo inajitanua.
Hakuna nje ya universe inayojulikana.
Mfano rahisi wa kuelewa
Fikiria pointi (dots) kwenye balloon,
Ukivuta balloon, dots zote zinaanza kutengana.
Lakini hakuna dot inayokwenda “nje ya balloon🤔
Galaxies zinatengana kwa sababu space yenyewe inapanuka, si kwa sababu zinakimbia kuelekea sehemu fulani.
Jambo la kushangaza zaidi
Kuna kitu kinachoitwa dark energy ambacho, hakionekani hakijulikani ni nini ,
lakini ndicho kinachosababisha universe ipanuke kwa kasi zaidi kila siku.
NB
Universe si kitu kilichotulia… ni kitu kinachokua na kubadilika kila sekunde.
Na jambo la kuvunja akili zaidi🤔
Huenda hata universe haina mwisho unaoweza kufikika kwa macho au akili zetu kwa sasa.
Ndo maana in higher dimensions concepts of time perish..Universe na maajabu yake.

Na mm usinifungie vioo nkima waneNaomba unijibu!
Universe na maajabu yake.

Yeah ni kweli, kama universe inapanuka , inaonyesha, kuna kipindi ilikua ikebana sehemu moja , hivyo Big Bang inaonekana ni dhana ya ukweliSasa hii inatuthibitishia big bang ilitokea.
Jambo zuri hili na la asili kabisa , sema tu ubongo wetu unalitafsiri katiks upande hasi zaidi