Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Ni safar ya miaka laki mbili utafika?Tusubir kuhamia tu uko!
Ni safar ya miaka laki mbili utafika?Tusubir kuhamia tu uko!
Mkuu kuna utambuzi na ugunduzi. Utambuzi ni hali ya ufahamu zaidi , ugunduzi unaendana na utafiti unaopelekea kuzaa kitu kipya, mathalani ugunduzi wa simu za mkononi, computer n.k.tambua unaweza kuona kitu na usijue unachokiona ni kitu gani, hapo ndo linakuja suala la ugunduzi kwamba kumbe hiki ninachokiona ni ngedere sio nyau
Basi atakuwa yupo mungu hukoNasikia Kuna Sayari moja Kati ya mpya zilizogunduliwa Viumbe hai wataishi Milele, sasa wanahangaika Na mchakato WA kupeleka Binadamu huko!
Ina maana zipo mbali zaidi ya Pluto? Mbona kuna kifaa kilishafika pluto kwa miaka minne na speed inayoizidi speed ya light.
Au wanadhani tumesahau?
Hata wao hawakatai ndiyo maana wanasema sayari zinazofanana na duniaSawa ila yatupasa tujue kwamba katika swala la sayari, Sayari ya Dunia ni moja tu na ndipo tunaposhi pia.
yani kwa comment yako umedhihirisha kuwa umeclaim vitu ila hakuna unachojuaacheni ujinga kama hamjui vitu ni bora mkawa wasikilizaji mimi ni msomi wa hayo mambo ya saikolojia na ubaharia wa anga za juu na kati nimepambana vita nyingi katikati ya miaka ya hvi karbuni kama hamuamini kamuulizeni john makitini ...kwa sababu chombo cha anga za juu kisayansi kinakimbia zaidi ya kl.120 kwa saa sasa hii ni speed kubwa mno zaid hata ya gari na ukumbuke huko juu kuna hydrographic gas oil ambayo gratuiter yake ni 9.8 amabyo inaunganishwa na pande mbili za ncha ya dunia mashariki nna kusini hvyo kwa hesabu za kisaikolojia chombo kitafika baada ya wiki 14
Kasahau hata hiyo simu au kompyuta atumiyo kuandika huo ubishi ina mkono wa wana sayansi...sijakurazimisha and in fact n maoni yangu asante.
Na mimi ndo maana nimekwambia kuwa kama umekaririshwa kuimba mapambio usikatishe tamaa wanasayansi acha wafanye kazi ya ugunduzi. Maana bila ugunduzi dunia hii mpaka sasa tungekuwa na mawazo mgando kama ya zamani. Kwahiyo wewe endelea na mapambio yako na miujiza feki acha wanasayansi waendelee na kazi plz
Hahahaaaaaa!!wenzako wanasema kwa utafiti uliogharimu pesa nyingi, muda mwingi na maarifa mengi, wewe umekaa hapo na uji wako wa ulezi ndo unakuja maneno haya!!
Hushangai ule uwiano kuwa Mwaka mmoja ni sawa na siku moja halikadhalika siku moja ni sawa na mwaka mmoja.Ni safar ya miaka laki mbili utafika?
Ndio maana wanasema kwa teknolojia ya sasa, nani ajuaye vizazi vijavyo vinaweza vikawa na hii teknolojia ya kufika huko, kumbuka wenzetu hawalali kila siku ni utafiti mpaka kieleweke.Ni safar ya miaka laki mbili utafika?
kwani hayo madude yanathibitisha vipi uwepo wa Mungu. na ww una uhakika gani kama hakitatokea chombo cha kufika huko?Halafu wengine wanasema hakuna Mungu, hayo madude yawepo na asiwepo muwekaji inawezekanaje?
Na huko sasa hakufikiki hata iweje, nani ataishi miaka bilioni 4? Hicho chombo kinaweza kwenda hadi kikaoza njiani hakijafika hata robo ya safari.
Hadi waje wagundue hiyo tech watakuta zipo sayari zinapatikana kwa safari ya 100billion years, kwa hasira watacheka tu na kunywa juice za baharesa (zinakuwa zinapatikana dunia nzima zama hizo)Ndio maana wanasema kwa teknolojia ya sasa, nani ajuaye vizazi vijavyo vinaweza vikawa na hii teknolojia ya kufika huko, kumbuka wenzetu hawalali kila siku ni utafiti mpaka kieleweke.
Mzee hujalazimishwa kuamini kuwa Mungu yupo, wala hatujasema kuwa hawatafika huko, watafika na siku wakifika watagundua zipo nyingine ni over 1000billion years kwenda huko. Kazi kwao.kwani hayo madude yanathibitisha vipi uwepo wa Mungu. na ww una uhakika gani kama hakitatokea chombo cha kufika huko?
acheni ujinga kama hamjui vitu ni bora mkawa wasikilizaji mimi ni msomi wa hayo mambo ya saikolojia na ubaharia wa anga za juu na kati nimepambana vita nyingi katikati ya miaka ya hvi karbuni kama hamuamini kamuulizeni john makitini ...kwa sababu chombo cha anga za juu kisayansi kinakimbia zaidi ya kl.120 kwa saa sasa hii ni speed kubwa mno zaid hata ya gari na ukumbuke huko juu kuna hydrographic gas oil ambayo gratuiter yake ni 9.8 amabyo inaunganishwa na pande mbili za ncha ya dunia mashariki nna kusini hvyo kwa hesabu za kisaikolojia chombo kitafika baada ya wiki 14
Mkuu hii kitu ipo 39 light years away...Mkuu Pluto mbona karibu sana, hiyo ni 35 or 33 light years away, kwa technologia tuliyonayo sasa ni zaidi ya miaka 700000!!