Sayari nyingine saba sawa na Dunia zagunduliwa

SAHIHISHO:
Ziko umbali wa 40 million LIGHT YEARS.
Mbali. mbali sana sana.
Sijui kwa kiswahili tutatafsrije
acheni ujinga kama hamjui vitu ni bora mkawa wasikilizaji mimi ni msomi wa hayo mambo ya saikolojia na ubaharia wa anga za juu na kati nimepambana vita nyingi katikati ya miaka ya hvi karbuni kama hamuamini kamuulizeni john makitini ...kwa sababu chombo cha anga za juu kisayansi kinakimbia zaidi ya kl.120 kwa saa sasa hii ni speed kubwa mno zaid hata ya gari na ukumbuke huko juu kuna hydrographic gas oil ambayo gratuiter yake ni 9.8 amabyo inaunganishwa na pande mbili za ncha ya dunia mashariki nna kusini hvyo kwa hesabu za kisaikolojia chombo kitafika baada ya wiki 14
 
Ina maana zipo mbali zaidi ya Pluto? Mbona kuna kifaa kilishafika pluto kwa miaka minne na speed inayoizidi speed ya light.
Au wanadhani tumesahau?
akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, nilishasema kwamba "sayansi haitoshi kabisa hata kwa chembe ya haradali kuzichunguza kazi za Mungu"
ova
 
acheni ujinga kama hamjui vitu ni bora mkawa wasikilizaji mimi ni msomi wa hayo mambo ya saikolojia na ubaharia wa anga za juu na kati nimepambana vita nyingi katikati ya miaka ya hvi karbuni kama hamuamini kamuulizeni john makitini ...kwa sababu chombo cha anga za juu kisayansi kinakimbia zaidi ya kl.120 kwa saa sasa hii ni speed kubwa mno zaid hata ya gari na ukumbuke huko juu kuna hydrographic gas oil ambayo gratuiter yake ni 9.8 amabyo inaunganishwa na pande mbili za ncha ya dunia mashariki nna kusini hvyo kwa hesabu za kisaikolojia chombo kitafika baada ya wiki 14
 
acheni ujinga kama hamjui vitu ni bora mkawa wasikilizaji mimi ni msomi wa hayo mambo ya saikolojia na ubaharia wa anga za juu na kati nimepambana vita nyingi katikati ya miaka ya hvi karbuni kama hamuamini kamuulizeni john makitini ...kwa sababu chombo cha anga za juu kisayansi kinakimbia zaidi ya kl.120 kwa saa sasa hii ni speed kubwa mno zaid hata ya gari na ukumbuke huko juu kuna hydrographic gas oil ambayo gratuiter yake ni 9.8 amabyo inaunganishwa na pande mbili za ncha ya dunia mashariki nna kusini hvyo kwa hesabu za kisaikolojia chombo kitafika baada ya wiki 14
Neno UJINGA"" limeingilia wapi tena katika otherwise healthy discussion?
I doubt kama UMESOMA!

Mtu akisoma. He ACTS, REASONS like an INTELLECTUAL person and uses INTELLECTUAL language and not VULGAR language as you do!
You have failed the test sir!!
 
wenzako wanasema kwa utafiti uliogharimu pesa nyingi, muda mwingi na maarifa mengi, wewe umekaa hapo na uji wako wa ulezi ndo unakuja maneno haya!!

Hahahahahahaah! Nimeupenda sana mchango wako
 
wenzako wanasema kwa utafiti uliogharimu pesa nyingi, muda mwingi na maarifa mengi, wewe umekaa hapo na uji wako wa ulezi ndo unakuja maneno haya!!
Ukweli ni kwamba sayari ya Dunia ni moja tu, nyingine zote zitakazogunduliwa zitakuwa na majina mengine lkn sio jina Dunia.
 
akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, nilishasema kwamba "sayansi haitoshi kabisa hata kwa chembe ya haradali kuzichunguza kazi za Mungu" ova.

Wewe umekaririshwa hicho kaa kimya wanasayansi wafanye kazi. Usiingilie kazi za wanasayansi endelea kuimba mapambio na kushangilia miujiza ya yesu huku ukila ugali wakati wenzako wanafanya kazi za sayansi na kugundua mambo. Usitufanye wote tuwe wa aina yako kwa lazima
 
sijakurazimisha and in fact n maoni yangu asante
 
Ina maana zipo mbali zaidi ya Pluto? Mbona kuna kifaa kilishafika pluto kwa miaka minne na speed inayoizidi speed ya light.
Au wanadhani tumesahau?
Pluto imo ndani ya mfumo wa nyota yetu hii jua, solar system. Mbali kabisa na nyota zingine huko.
 
Uu ugunduz mbona niliusikia muda sana kama five years nyuma, ila kiukwel hata mm naamini kuna second earth kwenye uulimwengu,
Mi naamini kuna billions ya sayari zingine zenye uhai, sawa na idadi ya nyota ulivyo tu.
 
Mnazikumbuka hadithi za alifu lela ulela???? Basi jamaa akatembea mpaka kiatu cha chuma kikaisha usiku na mchana kwa miaka 7..............,Sayari ipo umbali ambao mwanga unasafiri miaka 40??????? sisi acha tudeal na nanihino kwanza hayo hayatuhusu kwa sasa.
Mwenyewe nimejifikiria huo uwezo wa kibinadamu tu taweza kuunda kifaa kitakachokuwa na spidi mara 1000 zaidi ya spidi ya jua? Labda tushirikiane na vile viumbe vingine.
 
wenzako wanasema kwa utafiti uliogharimu pesa nyingi, muda mwingi na maarifa mengi, wewe umekaa hapo na uji wako wa ulezi ndo unakuja maneno haya!!
Mbavu zangu jameni nimecheka sana
 
sijakurazimisha and in fact n maoni yangu asante.

Na mimi ndo maana nimekwambia kuwa kama umekaririshwa kuimba mapambio usikatishe tamaa wanasayansi acha wafanye kazi ya ugunduzi. Maana bila ugunduzi dunia hii mpaka sasa tungekuwa na mawazo mgando kama ya zamani. Kwahiyo wewe endelea na mapambio yako na miujiza feki acha wanasayansi waendelee na kazi plz
 
Huwa nikisoma/nikiskia mambo kama haya bas huwa nashindwa kumtafakar Mungu.Kiukwel sina maneno yakuelezea
 
wenzako wanasema kwa utafiti uliogharimu pesa nyingi, muda mwingi na maarifa mengi, wewe umekaa hapo na uji wako wa ulezi ndo unakuja maneno haya!!
Aaaaha mkuu yaan kuzifikia ni mwendo wa miaka laki mbili sasa tutafika kweli?
Changanya na zakwako aiseee
 
Back
Top Bottom