Sayari nyingine saba sawa na Dunia zagunduliwa

Sayari nyingine saba sawa na Dunia zagunduliwa

hao waigizaji washindwe kudangan'ya umma kwa niite umbea wao
 
acheni ujinga kama hamjui vitu ni bora mkawa wasikilizaji mimi ni msomi wa hayo mambo ya saikolojia na ubaharia wa anga za juu na kati nimepambana vita nyingi katikati ya miaka ya hvi karbuni kama hamuamini kamuulizeni john makitini ...kwa sababu chombo cha anga za juu kisayansi kinakimbia zaidi ya kl.120 kwa saa sasa hii ni speed kubwa mno zaid hata ya gari na ukumbuke huko juu kuna hydrographic gas oil ambayo gratuiter yake ni 9.8 amabyo inaunganishwa na pande mbili za ncha ya dunia mashariki nna kusini hvyo kwa hesabu za kisaikolojia chombo kitafika baada ya wiki 14
40 light years away kwa wiki 14 haiwezekani Hata ukijenga chombo kinachosafiri kwa speed ya mwanga bado itachukua miaka 40 kufika. Na hatuna uwezo wa kufikia hata asilimia 5 ya speed ya mwanga kwa teknolojia ya sasa
 
Itakuwa ipo mbali zaidi ya pluto kwa maana pluto ipo ndani ya solar system yetu...
Ila hii ipo kwenye system ya nyota nyengine na tunaambiwa nyota tuliyokaribu nayo zaidi ya "alpha centauri" ipo umbali wa miaka minne na nusu ya mwanga.
Pluto ipo katika galaxy yetu.. Or let say, kwenye soler system yetu. But kwa hizo mpya.. It seems zipo kwenye galaxy nyingine..yenye solar system yake..ndo mana wanasema zenyewe pia zinaizunguka nyota kama vile sisi tunavoizunguka jua.. Ni mbali sana kufika.. Kama ni nje ya galaxy yetu.
Uu ugunduz mbona niliusikia muda sana kama five years nyuma, ila kiukwel hata mm naamini kuna second earth kwenye uulimwengu,
 
Ina maana kila kitu kiitwacho nyota ni sawa na jua na lazima kizungukwe na sayari?
 
Naomba kuchokoza;Hivi hizo sayari ambazo zinaonekana nazo zilitokea kwa bahati mbaya kama dunia yetu
 
Kwa wanaofahamu naomba wanijuze NASA wametumia muda gani hadi kugundua hiyo Trappist one na mfumo wake. Najiuliza naswali mengi sana
1. Kama kwa kifaa ambacho kingesafiri kwa mwendokasi wa jua kingetumia miaka takribani 40 je hicho walichotumia wao mwendokasi wake ni>/< kuliko wa jua?
2. Kama safari ya kwenda itagharimu miaka 40 itafaa nini kusafiri angani miaka yote angani( Mimi naona practically is not applicable) yaani miaka 40 nipo safari nakula nini, nitakua najishughulisha na nini?
 
Back
Top Bottom