Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

ntarejea hapa ukijibu swali langu la chini ...

ushahidi wa hili utatokana na jinsi utakavyojibu swali langu hili..

MATETEMEKO NA VIMBUNGA VINASABABISHWA / VINASABABISHWA NA NANI..?!

Mkuu, unaanza kurka maswali yako ya awali? Lazima tumalize swali halafu tunaenda na/au ingia swali lingine. Sasa, mimi nimesha kupa jibu la swali lako. Na nikakuuliza swali.

Hivi huoni ni jambo la busara tukaenda kwa huo mfano!!?
 
Yale yale ya assumptions.

Hivi weye unaishi na assumptions tuuuu. I told you that I don't give a sh... na vi assumtions vyako ambayo sio watertight, havina exhibit ambazo ni verifiable. Pumba tupu.

Sasa jibu swali langu. KWANINI UNATUMIA NGUVU NA KUTOKWA POVU KUZUNGUMZIA MUNGU AMBAYE HAYUPO? JIBU SWALI BANA.

The biggest assumption is that there is an all loving, all powerful, all knowledeable god.

Nimekujibu swali lako, kwa mifano na kina.

Nimejibu kwamba mtu anayesema kwamba kuna dawa ya UKIMWI, wakati dawa hii haipo, wenye akili watakemea hili. Wasomaji wa JF wataona jibu lako umepata ila kwa sababu zako hutaki hata kuni engage katika jibu nililotoa.

Nikaenda tena na kusema, kama mtu anakwambia "kaa hapa katika kiti" na wewe unaona anapoonyesha kwamba kuna kiti hakuna kiti, unatakiwa kumkemea kwa upuuzi huu, ama sivyo unaweza kukaa na kuvunjika msamba kwa kuwa umekaa kama kuna kiti wakati hakipo.

Kwa hiyo, the fact kwamba kitu hakipo haina maana kwamba imani juu ya hicho kitu haifai kukemewa.

Leo hii hatuna dawa ya UKIMWI, nikikwambia uende kulala na mtu mwenye UKIMWI bila mpira, utasema "this is no big deal, dawa ya UKIMWI haipo" ? This will be even more of a reason for you to say "I will vehemently condemn this unethical deception"
 
Mkuu, unaanza kurka maswali yako ya awali? Lazima tumalize swali halafu tunaenda na/au ingia swali lingine. Sasa, mimi nimesha kupa jibu la swali lako. Na nikakuuliza swali.

Hivi huoni ni jambo la busara tukaenda kwa huo mfano!!?

mkuu wewe si unataka ushahidi... ushahidi nilionao ni wa kutoka kwa watu kama nyinyi mnaoamini kuna mungu! .... bahati mbaya ushahidi wenye ni swali .. jibu swali hili ndio ushahidi wangu tosha kwamba ninyi mnaamini matetemeko yanaletwa na mungu!

je matetemeko ya ardhi nani anayesababisha/ yanaletwa na nini..??!
 
The biggest assumption is that there is an all loving, all powerful, all knowledeable god.

Nimekujibu swali lako, kwa mifano na kina.

Nimejibu kwamba mtu anayesema kwamba kuna dawa ya UKIMWI, wakati dawa hii haipo, wenye akili watakemea hili. Wasomaji wa JF wataona jibu lako umepata ila kwa sababu zako hutaki hata kuni engage katika jibu nililotoa.

Nikaenda tena na kusema, kama mtu anakwambia "kaa hapa katika kiti" na wewe unaona anapoonyesha kwamba kuna kiti hakuna kiti, unatakiwa kumkemea kwa upuuzi huu, ama sivyo unaweza kukaa na kuvunjika msamba kwa kuwa umekaa kama kuna kiti wakati hakipo.

Kwa hiyo, the fact kwamba kitu hakipo haina maana kwamba imani juu ya hicho kitu haifai kukemewa.

Jibu swali langu. KWANINI UNATUMIA NGUVU NA KUTOKWA POVU KUZUNGUMZIA MUNGU AMBAYE HAYUPO? JIBU SWALI BANA

Mifano yako sio impeccable.
 
Mkuu, unaanza kurka maswali yako ya awali? Lazima tumalize swali halafu tunaenda na/au ingia swali lingine. Sasa, mimi nimesha kupa jibu la swali lako. Na nikakuuliza swali.

Hivi huoni ni jambo la busara tukaenda kwa huo mfano!!?

Katika watu wanaoruka maswali huwezi kusema wewe unakosa. Kuna maswali kibao hapo juu naweza kuyaorodhesha ambayo hujajibu.
 
Jibu swali langu. KWANINI UNATUMIA NGUVU NA KUTOKWA POVU KUZUNGUMZIA MUNGU AMBAYE HAYUPO? JIBU SWALI BANA

Mifano yako sio impeccable.

The ridiculous thing is, you are claiming that "mifano yako sio impeccable" lakini hujaribu hata kidogo kui-impeach.

Your statement that "mifano yako sio impeccable" yenyewe haiko impeccable.

Na mimi nimesha i impeach tayari, wewe hujaweza hilo mpaka sasa.
 
mkuu wewe si unataka ushahidi... ushahidi nilionao ni wa kutoka kwa watu kama nyinyi mnaoamini kuna mungu! .... bahati mbaya ushahidi wenye ni swali .. jibu swali hili ndio ushahidi wangu tosha kwamba ninyi mnaamini matetemeko yanaletwa na mungu!

je matetemeko ya ardhi nani anayesababisha/ yanaletwa na nini..??!

1) ambayo kama mnavyodai ni mungu ndiye anayeyaleta

Not God. Sasa lete usahdi.
 
Not God. Sasa lete usahdi.

If not god, why would an all loving, all powerful god let these earthquakes happen under his watch?

Nishauliza hili hapo juu, sijapata jibu.

Why does an all knowing, all loving god create a universe that has evil in it?
 
The ridiculous thing is, you are claiming that "mifano yako sio impeccable" lakini hujaribu hata kidogo kui-impeach.

Your statement that "mifano yako sio impeccable" yenyewe haiko impeccable.

Na mimi nimesha i impeach tayari, wewe hujaweza hilo mpaka sasa.

Yani unataka nijibu mawazo yako. You must be kidding.

Unapo leta madai, nilazima ulete ushaidi yakinifu kusaidia madai. Weye umeshindwa kuleta ushaidi yakinifi. Nimekuomba zaidi ya mara kumi, give me water tight exhibits which are impeccable and must be verifiable . Umeshindwa, sasa unataka nikujibie.

Nimekuuliza swali, kwanini unatumia muda wako kupinga Mungu ambaye hayupo? Jibu hili swali bana. Does it make sense to you, for a thinker, kutumia muda wake kuzungumzia kitu ambacho hakipo. Na huyo thinker anafikia muda wa kutokwa na POVU MDOMONI? ASTAKAFULAH. HIVI ZIPO KAMILI WEYE?
 
hujajibu swali..?! kama sio GOD ni nani anayeleta! ?

You said sisi WAKRISTO TUNASEMA MUNGU ANALETE.
I said lete ushaidi,

Ukasema I have to answer you.

Nikajibu SIO MUNGU.

Sasa saidia usemi wako kuwa, SISI WAKRISTO TUNADAI MUNGU ANALETA MATETEMEKO? I need ushaidi kusaidia maneno yako haya.
 
Ha ha ha ha ha, mimi nilifikiri hiyo sayansi imetengeneza hiyo sayari. Kumbe mmegundua mambo ambayo yalikuwepo karne na karne ndo unasema sayansi yafanya mambo, weye ndo unasema una akiri.

Astakafulah. darwin, hivi bado unasumbuka na yele yale yaliyo kushinda? Khaaaa.

Lete ushaidi kwanini sayansi ilishindwa kugundua hii sayari kitambo kilicho pita, na sio blah blah zako bana.

KIPOFU KAONA MWEZI, HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA

Yeah yeah! Ushahidi wakusema eath's shape is flat or disk!!!!

Kama sio wanasayansi kusoma nakuigundua dunia mngetudangaya mpaka leo...
 
Vipi unapinda mada yako weye

HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA, kaazi kwer kwer
 
Somebody sounds awfully like MaxShimba...

Hahahahaha,

Kama hivyo son hapa tuna deal na "brute force".

Mtu unamwambia si lazima kitu kiwepo ili kiwe harmful, belief in a nonexistent cure for AIDS could also be harmful and therefore the sensibles may need to expose the truth regarding the falsehood of this belief.

But you know either he will never get that through his head, or just chooses to peddle some evangelical wordview regardless of the arguments.
 
You said sisi WAKRISTO TUNASEMA MUNGU ANALETE.
I said lete ushaidi,

Ukasema I have to answer you.

Nikajibu SIO MUNGU.

Sasa saidia usemi wako kuwa, SISI WAKRISTO TUNADAI MUNGU ANALETA MATETEMEKO? I need ushaidi kusaidia maneno yako haya.

rejea katika uzi wangu... sijataja dini ya mtu yoyote!!! nimekuuliza swali ... you as a man of god i was expecting unipe jibu on ur religious views ..! dini yako imezungumzia nini kuhusu matetemeko..?! yanasababishwa na nini..?1 nani anayesababisha ?! EDUCATE ME PLS!
 
Kwahiyo kama kumegunduliwa kitu kipya basi Mungu hayupo? Again, tunarudi kule kule...kupenda majibu rahisi kwa maswali magumu. na tatizo hili linachangiwa na kusoma elimu ya bei poa fasta fasta ya shule za kata
 
Hahahahaha,

Kama hivyo son hapa tuna deal na "brute force".

Mtu unamwambia si lazima kitu kiwepo ili kiwe harmful, belief in a nonexistent cure for AIDS could also be harmful and therefore the sensibles may need to expose the truth regarding the falsehood of this belief.

But you know either he will never get that through his head, or just chooses to peddle some evangelical wordview regardless of the arguments.

Taka taka
 
rejea katika uzi wangu... sijataja dini ya mtu yoyote!!! nimekuuliza swali ... you as a man of god i was expecting unipe jibu on ur religious views ..! dini yako imezungumzia nini kuhusu matetemeko..?! yanasababishwa na nini..?1 nani anayesababisha ?! EDUCATE ME PLS!
By Viper 1) ambayo kama mnavyodai ni mungu ndiye anayeyaleta

viper, saidia madai yako haya. Weye umesema sisi tunadai hapo kwenye quote. Mimi nikakwambia sio MUNGU. Sasa saidia madai yako.
 
Yani unataka nijibu mawazo yako. You must be kidding.

Unapo leta madai, nilazima ulete ushaidi yakinifu kusaidia madai. Weye umeshindwa kuleta ushaidi yakinifi. Nimekuomba zaidi ya mara kumi, give me water tight exhibits which are impeccable and must be verifiable . Umeshindwa, sasa unataka nikujibie.

Nimekuuliza swali, kwanini unatumia muda wako kupinga Mungu ambaye hayupo? Jibu hili swali bana. Does it make sense to you, for a thinker, kutumia muda wake kuzungumzia kitu ambacho hakipo. Na huyo thinker anafikia muda wa kutokwa na POVU MDOMONI? ASTAKAFULAH. HIVI ZIPO KAMILI WEYE?

Jibu swali,

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aruhusu ulimwengu wenye mabaya ?
 
Back
Top Bottom