MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
Hahahaha,
Belief is different from knowledge, you can believe anything.
But do you know so ?
That is what exactly you are doing. Umeshindwa kunijibu.
Hahahaha,
Belief is different from knowledge, you can believe anything.
But do you know so ?
Mkuu inawezekana kweli ni assumptions zake,lakini zina logic.Anaposema Mungu ni kikwazo kwa human progress na kufananisha na wanaoamini kuwa Babu wa Loliondo anatibu Ukimwi,ana make sense.Binafsi naiona tiba ya loliondo ni upuuzi tu.Kuna watu wanapoteza muda mwingi kuomba Mungu badala ya kufanya kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo.Umedhulumiwa haki yako,badala ya kuidai,unasema aah namuachia Mungu,Mungu yupo we muache tu!Kifupi ana hoja kwamba hii dhana ya Mungu isingekuweopo labda binadamu angepiga hatua kubwa zaidi kimaendeleo.Mimi ndivyo ninavyomuelewa,sijui mwenzangu?
mkuu huna hoja!
ni kweli nilisema ninyi mnadai kwamba mungu ndiye anayeleta hizi gharika .. matetemeko , vimbunga.. etc.. ukani jibu kwa ufupi SIO MUNGU! bila explanation yeyote ! uthibitisho wangu nikakwambia upo katika hilo swali ukilijibu kwa uzuri .. nikimaanisha LOTE! Kama sio mungu ni nani au ni nini kinasababisha matetemeko on your religious views! ??????
Mr. Doedoe unataka nithibiotishe kauli yangu malizia hilo swali , hatupo mahakamani hapa .. tunaelimishana
Kama sio mungu ni nani au ni nini kinasababisha matetemeko on your religious views! ??????
Labda unashindwa elewa kitu hiki, mtu anapo leta madai, ni nani mwenye haki ya kusaidia madai? Mleta madai au mwambiwa?
Wanaoleta madai ni wanaosema mungu yupo, na kwa hivyo, wao ndio wenye wajibu wa kutukubalishwa kwamba yupo.
Swali dogo tu tunawauliza, na hatujajibiwa.
Mungu mwenye uwezo wote, na upendo wote, anawezaje kuruhusu kinamama na watoto wa Somalia wafe kwa njaa ?
Wanaohusisha ugunduzi huu na kutokuwepo Mungu ni wale wapumbavu wa mwisho tuliowahi kuwa nao duniani. Ni makapi ya uumbaji kama vile mbunifu wa kiwanda anatengeneza mfumo wa kutolea taka. Sasa taka hazina haki ya kumhoji mbunifu. Sisi tunaomwamini Mungu tunawashangaa hawa maajenti wa shetani kumshambulia Muumba. Hii wala haitusumbui kwani tunajua urithi wetu ni mbingu na urithi wao ni jehanamu ya moto. Waulize hawa mavivu ya kufikiri kama wanazihudumia nyumba za jirani zao, jibu ni hapana, ila wamenyanyua midomo kama filimbi kuuliza ni kwanini ni kwa nini.
Hivi wanapogundua kitu ambacho kimekuwepo milele yute leo na kujivuna namna hii je wao wangekuwa na ewezo wa kukiumba ingekuwa je. Waache tu wabweteke lakini sisi tunawacheka mbaya tukifahamu kwamba wao na hicho walichokigundua(sii kuumba) ni wa muumba na Mungu amewawekea mpaka wa kuishi na kama wanabisha. Hebu wajaribu kuzuia wasife ili waendelee kuishi katika dunia wanayoipenda. Pamoja na science kuwa na hospital zilizo bora sana duniani zimeshindwa nini kuzuia watu muhimu kama kina Newton, pluto nk wasife? Nakuhakikishieni kwa jina la Mwenye enzi, science pamoja na kuinuliwa juu, haijafanya mengi ya kuuhifadhi uhai kama ilivyouharibu.
Hata ukimwi ni tunda la science lililowashinda washinda wenyewe na pindi tu akiunasa anaanza kuhubiri kuishi kwa matumaini na kuanza kumrejelea Muumba aliyekuwa akimzihaki pasipokujua kwamba umri wake upo katika mizani asiyoweza kuivuka asilani.
.
Unaendelea kuigizia maswali yangu, hivi huwezi angalau hata tunga ya kwako.
Wewe nimesha kupa vimaswali, umeshindwa kujibu, sasa unamjibia viper. Kaazi kweli kweli.
Kwanini unatumia nguvu zako zote na kutokwa povu, kuzungumiza Mungu ambaye hayupo. Haya lete ushaidi hapa tuone. I told you, labda you need a shrink?
Zaidi ya hapo, lete ushaidi kusaidia madai yako kuwa HAKUNA MUNGU. Nakukumbusha tena. No assumptions allowed at all time. All exhibits must be watertight impeccable na verifiable. HII NI MARA YA KUMI SASA KUKUULIZA HILI SWALI AMBALO WEYE NA WANAZI WENZAKO MNASHINDWA KUJIBU. mnachoa fanya hapa ni kutoa MIPOVU.
W
Swali dogo tu tunawauliza, na hatujajibiwa.
Mungu mwenye uwezo wote, na upendo wote, anawezaje kuruhusu kinamama na watoto wa Somalia wafe kwa njaa ?
View attachment 34352
Siigizi maswali yako, naonyesha maswali yako yalivyo shallow.
Maswali yako yamejibiwa kikamilifu, mpaka independent observers - kutoka upande wako wa waamini- wameeleza hilo.
Swala la kwa nini natumia energy kum dispute mungu asiyekuwepo nimelielezea mara saba sasa, nikalilinganisha na kupinga kuwepo kwa dawa ya UKIMWI isiyokuwepo.
Ushahidi wa kusaidia madai yangu kwamba hakuna mungu ni vifo vya watoto wasio hatia huko Haiti na Somalia, hujajibu swali la kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe viumbe na kuviua hata kabla ya kufurahia maisha, tena kwa njaa na kukosa maji au matetemeko na kufukiwa na kifusi bila chakula wala maji.
Jibu maswali.
Wanaohusisha ugunduzi huu na kutokuwepo Mungu ni wale wapumbavu wa mwisho tuliowahi kuwa nao duniani. Ni makapi ya uumbaji kama vile mbunifu wa kiwanda anatengeneza mfumo wa kutolea taka. Sasa taka hazina haki ya kumhoji mbunifu. Sisi tunaomwamini Mungu tunawashangaa hawa maajenti wa shetani kumshambulia Muumba. Hii wala haitusumbui kwani tunajua urithi wetu ni mbingu na urithi wao ni jehanamu ya moto. Waulize hawa mavivu ya kufikiri kama wanazihudumia nyumba za jirani zao, jibu ni hapana, ila wamenyanyua midomo kama filimbi kuuliza ni kwanini ni kwa nini.
Hivi wanapogundua kitu ambacho kimekuwepo milele yute leo na kujivuna namna hii je wao wangekuwa na ewezo wa kukiumba ingekuwa je. Waache tu wabweteke lakini sisi tunawacheka mbaya tukifahamu kwamba wao na hicho walichokigundua(sii kuumba) ni wa muumba na Mungu amewawekea mpaka wa kuishi na kama wanabisha. Hebu wajaribu kuzuia wasife ili waendelee kuishi katika dunia wanayoipenda. Pamoja na science kuwa na hospital zilizo bora sana duniani zimeshindwa nini kuzuia watu muhimu kama kina Newton, pluto nk wasife? Nakuhakikishieni kwa jina la Mwenye enzi, science pamoja na kuinuliwa juu, haijafanya mengi ya kuuhifadhi uhai kama ilivyouharibu.
Hata ukimwi ni tunda la science lililowashinda washinda wenyewe na pindi tu akiunasa anaanza kuhubiri kuishi kwa matumaini na kuanza kumrejelea Muumba aliyekuwa akimzihaki pasipokujua kwamba umri wake upo katika mizani asiyoweza kuivuka asilani.
.
Jibu maswali weye na saidia madai yako kuwa hakuna Mungu. Kama ni shallow, mbona unayakimbia. Weye hata kusaidia madai yako umeshindwa.
Hakuna swali lako hata moja lilioulizwa mpaka sasa ambalo halijajibiwa.
Uzuri wa JF ni kwamba tuna record yote hapa, nip swali hata moja ambalo halijajibiwa nikuonyeshe nilivyolijibu multiple times.
Nilisha kuuliza, nani kakwambia Mungu anafanya hayo? Ulishindwa jibu. Tatizo lenu nyie ni kutumia vidole gumba kufikiria. Niletee ushaidi kuwa Mungu ameruhusu hayo majanga ya Somalia kama unavyo dai hapa.
Haya najuwa utakimbia weye na kuja na swali lingine.
Mungu kama muumba wa vyote, yuko responsible kwa vyote.
Kwa nini aliruhusu ulimwengu wenye evil uuumbike?
Ina maana hakuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao evil haiwezekani? (Kama muweza yote hili haliyumkiniki)
Au aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini hakujal tu ? ( kama muumba mwenye mapenzi yote hili haliwezekani)
Ukichunguza sana unakuja kugundua hizi habari za mungu ni habari za wafalme wa kale kuhakikisha wanazidi kuogopesha na kutawala watu.
Ukiangalia historia ya falme za kale za Babeli, China, Misri, mpaka kwa George W. Bush, utaona watawala wanamtumia mungu kuwaogopesha watawaliwa, na kuhakikisha wao ( watawala) wanabaki kwenye utawala.
Ndio maana hata kina Benjamin Mkapa ambao kanisa lao lilikuwa pale Palm Beach Hotel, na sakramenti yao ilikuwa Hohnny Walker, baada ya kupata urais wakaanza kutokea kanisani pale St. Immaculatta U.N Road Upanga. Kwa sababu walijua habari nzima ya mungu na kanisa ni siaa za "Wajinga Waliwao".
Ndio maana hata chapombe Karume Jr. alivyopata urais akakumbuka kuhiji Mecca, na yeye si wa kwanza kufanya hili, hata Salmin Amour hakuwahi kuhiji mpaka alivyokuwa rais. Hivi hawa hawakumjua mungu na kuijua dini mpaka urais? Hasha, wametumia dini kisiasa.
Kwa hiyo basi, hakuna mantiki kwa board kama hii kupiga kelele kila siku kuhusu ufisadi na kukemea serikali huku watu bado wanaamini mungu.
Mungu ni jina lingine tu la ghiliba za kisiasa.
Walio kwenye power wanajua kwamba "aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe" kwa hiyo kila siku watahakikisha watu wanaendelea kuamini katika dini na mungu.
After all,kwao ni bora kuwa na population ya waumin itakayosema "kazi ya mungu" kila mara itakapoibiwa au kukatiwa umeme kuliko population itakayouliza "viongozi wetu wanafanya kazi gani"?i
Ha ha ha ha
Kwanza ulikuja na mambo ya center, nikakuuliza wapi ni center, ukakimbia.
Pili ukaja na mambo ya magonjwa na tabu et al, nikakuuliza na kukuomba ulete ushaidi kuwa hayo ni matakwa ya Mungu, UKAKIMBIA.
Tatu ukadai kuwa hakuna Mungu, Nikakwambia saidia MADAI YAKO, UKAKIMBIA,
Nne, ukarudia maswali yako kwa kuchomekea Somalia na tuvipicha, nikakwambia lete ushaidi KUWA MUNGU KAFANYA HAYO, UKAKIMBIA,
Zaidi ya hapo nikasema, najuwa utakimbia na kuleta maswali mengi, jinsi ulivyo pngwn, ukafanya hivyo hivyo nilivyo sema.
Sasa, weye kweli zipo kamili kichwani mwako?
Kwa nini aliruhusu ulimwengu wenye evil uuumbike?
Bado unaendelea kuleta madai.
Nani kakwambia Mungu yupo responsible na yote? Hayo ni madai. Umeshindwa at all time kusaidia madai yako unayo leta hapa katika kila post yako.
Kama unabisha hayo si madai, basi niletee ushaidi kusaidia maneno yako hapo kwenye quote.