Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Darwin, Jul 24, 2011.

 1. D

  Darwin JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  New Exoplanet Is Candidate For Life, Orbits Two Stars 55 Cancri f binary star California Institute of Technology ExoEarth Kaspar von Braun Life Planet

  by Erin Podolak | 11:35 am, July 18th, 2011

  [​IMG]
  The search for an Earth-like planet (an ExoEarth) with the characteristics necessary to support life has captured the minds and imaginations of scientists and the public alike. Researchers have already discovered several possibles, but a new planet has been discovered that, in addition to being likely to support life, also orbits two distinct stars.
  Named 55 Cancri f, the newly discovered planet is one of five that orbits an orange dwarf star and a red dwarf star approximately 40 light years away from Earth, in the constellation Cancer. The research to study the planet was led by Kaspar von Braun from the California Institute of Technology. By measuring the planet’s orbit, the researchers were able to confirm that it is a candidate to support liquid water, the basis for life like ours on any planet.
  55 Cancri f is similar to Earth because it has a year-long orbit of the same length, and the conditions necessary for a moderate greenhouse effect, which would support a liquid water cycle. However, the planet is also notably different in that its orbit is more of an elliptical shape, and also because it orbits the two stars.
  Being part of a binary star system would mean that the view of the sky from 55 Cancri f should be pretty spectacular. For at least half of the year, both the red and orange stars would be visible during the day, and at night for half a year the red dwarf would be visible and for the other half of the year you could only see more distant stars.
  According to the researchers, this makes 55 Cancri f both a promising and exotic ExoEarth. If it was possible to fire up our imaginations about life on other planets any more, consider it done.
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mtu mzima hatishiwi nyau-kibonde
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Alkm, bro huo ni uwezo aliopewa binadam na MUUMBA wake, basi kuna zaidi ya hayo usipojishughulisha kusoma dini yakoama ama (sijui uko dini ipi) kumjua MUNGU wako utafika mahala utakufuru.
   
 4. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  ew planet has been discovered that, in addition to being likely to support life, also orbits two distinct stars. Named 55 Cancri f, the newly discovered plane. Anyway, its interesting. Lakini kumbuka hata G ALILEO mvumbuzi wa telescope baada ya kuona mpangilio wa sayari angani na kuwaza sana, aliamua kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kufanya yote hayo kupitia sayansi.
   
 5. D

  Darwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Munamuita anajua kila kitu kilichopita nakinachokuja.
  Alikua wapi siku zote na kukaa kimya kwamba kuna uwezekano wa pacha wa dunia?

  Kila kukicha ndio tunavyogundua kwamba God is useless!!!...
  .
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Kama mungu yupo, ana nguvu zote, upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaachia watoto maskini wa KiHaiti wafe en masse huko Haiti kwenye tetemeko la ardhi?

  Ina maana hakuwa na uwezo wa kuwaokoa, la hasha, tushasema ana uwezo wote.

  Ina maana hakupenda tu kuwaokoa, la hasha, tushasema ana upendo wote.

  Sasa kwa nini hakuwaokoa basi?

  Hakuwaokoa kwa sababu mungu huyu hayupo, ni character wa kutungwa kama katika hadithi za kufikirika.

  Mimi binadamu ambaye sijafikia hekima yote na upendo wote nishajua kwamba nikiwa na uwezo wa kuwaokoa watoto wasio hatia nitawaokoa, seuze mungu mwenye upendo wote na uwezo wote?
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Aliyekwambia kufa ni kubaya ni nani?ushawahi kufa au kufanya research ya waliokufa wakasema ni adhabu na ukadhibitisha Mungu ni mbaya kwa kuwa hakuzuia wasife?
   
 8. i411

  i411 JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  nakumbukaga kipindi hicho shule zetu za kata mwalimu aliniambia tuna sayari 9 tuu katika ulimwengu huu. sasa nikamuuliza hizo nyota zote huko juu ya dunia ni nini. Daa nakumbuka akaniambia nisijifanye mjuaji hizo ni nyota tuu zinawakawaka. Sasa nikamuuliza zinawaka kama jua au mshumaa. daa alikuwa ameshika bakora na alikuwa anapita karibu na mimi akanichapa mkononi kwa kumletea nuksi daa. Alafu akasema ni kama mshumaa tuu hakuna kingine somo likaishia hapo. Daa lakini leo hii sasa najua kila nyota uionayo huko juu ni jua linawaka maali huko angani wanaita umbali wa mwendo wa mwanga ambao ni kama 671miliones miles kwa lisaa. Jua ambalo lipo karibia na jua letu ni umbali wa mwendo wa mwanga wa miaka 4.24 hilo ndo jua jirani yetu. Alafu tena sayansi inatuambia ulimwengu wetu huu una mabilioni ya magalaxi na hayo magalaxi yana mabilioni na ma trilioni ya majuaa na sasa kwa kutumia masatelit na matelescope wanasayansi wameanza kuchora ramani ya majua hayo ya mbali na kuona majua mengine ambayo yana sayari zinazizunguka labda miaka ijayo tunaweza pata picha za rangi za sayarinyingine. Sasa hapo sijui itakuwaje na imani yetu na mungu mmoja muumba dunia yetuu tuu.
   
 9. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  yeye alikwishaumba akamaliza wala hakuna mwanadamu analoweza kujisifia kwalo... ametupa akili ni wajibu wetu kuzitumia. si wajibu wetu kujisifia kwa akili zetu vipi kesho ukiamka na kuwa mwendawazimu je utasema ni sayansi pia imefanya kazi yake? Unapaswa kujitambua na kujiuliza vipi tunagundua vitu vipya na je wewe u miongoni mwa wagunduzi wa kisayansi? maana imebainika wengi wetu hujipa majina tusiyofanana nayo!!
   
 10. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ...siwezi kusemea vitabu ama imani za wengine.. lakini kitabu na imani yangu sioni cha ajabu hapo! kwani tumeambiwa kuwapo kwa viumbe wengine na kama tunaweza kupita katika nyota na tupite.... Mwenyezi Mungu ameturahisishia... na ametupa ruhusa ya kutafiti.Mola wa ULIMWENGU WOTE (dunia nyota na mengineyo)
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Sio kufa tu, kufa kwa kufukiwa kwa kifusi bila hewa wala chakula au maji kwa siku kadhaa.

  Kama si kubaya jilaze chini tukujazie kifusi na wewe.

  Hata tukiondoa kufa, kwa nini mungu huyu huyu aruhusu wengine wazaliwe na migonjwa ya ajabu, wakati wengine wanapeta?

  Ni kwa sababu hana uwezo wa kuzuia au basi tu hajali?
   
 12. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Hapo juu!
  Imesemwa "NA WALA USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO...." vivyo basi utaujuaje wema wa jirani yako kama humjui Mungu? Utajuaje kusamehe...
  nitakupa mfano "mtu mmoja alienda kwa kinyozi kunyolewa, wakati kinyozi anaendelea na kunyoa akaingia mlemavu ombaomba na yule kinyozi akamfukuza na kusema 'huyu mungu sijui vipi huwa hawaoni hawa watu akawasaidia?' yule aliekuwa akinyolewa hakujibu neno akakaa kimya na alipomaliza kunyolewa akatoka na punde akarudi na mtu mwenye nywele ndefu na chafu kisha akamuuliza kinyozi 'hivi hawa vinyozi huwa hawawaoni watu wenye nywele ndefu na chafu wakawasaidia?' yule kinyozi akajibu kwa kujitetea "sasa kama wenyewe hawaji kwangu nitawasaidiaje?!!" yule mtu akamjibu "na ndivyo ilivyo kwa Bwana Mungu atawasaidiaje wasiokwenda kwake".....

  Tukirudi kwenye mada;

  The Quran contains many references to astronomy:"And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming." [Noble Quran 21:33]These references, and the injunctions to learn, inspired the early Muslim scholars to study the heavens. They integrated the earlier works of the Indians, Persians and Greeks into a new synthesis.Ptolemy's Almagest (the title as we know it today is actually Arabic) was translated, studied and criticized. Many new stars were discovered, as we see in their Arabic names - Algol, Deneb, Betelgeuse, Rigel, Aldebaran. Astronomical tables were compiled, among them the Toledan tables, which were used by Copernicus, Tycho Brahe and Kepler.Also compiled were almanacs - another Arabic term. Other terms from Arabic are zenith, nadir, Aledo, azimuth.Muslim astronomers were the first to establish observatories, like the one built at Mugharah by Hulagu, the son of Genghis Khan, in Persia, and they invented instruments such as the quadrant and astrolabe, which led to advances not only in astronomy but in oceanic navigation, contributing to the European age of exploration.GeographyMuslim scholars paid great attention to geography. In fact, the Muslims' great concern for geography originated with their religion.The Quran encourages people to travel throughout the earth to see God's signs and patterns everywhere. Islam also requires each Muslim to have at least enough knowledge of geography to know the direction of the Qiblah (the position of the Ka'bah in Makkah) in order to pray five times a day.Muslims were also used to taking long journeys to conduct trade as well as to make the Hajj and spread their religion. The far-flung Islamic empire enabled scholar-explorers to compile large amounts of geographical and climatic information from the Atlantic to the Pacific.Among the most famous names in the field of geography, even in the West, are Ibn Khaldun and Ibn Batuta, renowned for their written accounts of their extensive explorations.In 1166, Al-Idrisi, the well-known Muslim scholar who served the Sicilian court, produced very accurate maps, including a world map with all the continents and their mountains, rivers and famous cities. Al-Muqdishi was the first geographer to produce accurate maps in color.Spain was ruled by Muslims under the banner of Islam for over 700 years. By the 15th century of the Gregorian calendar the ruler-ship of Islam had been seated in Spain and Muslims had established centers of learning which commanded respect all over the known world at that time. There were no "Dark Ages" such the rest of Europe experienced for the Muslims in Spain and those who lived there with them. In January of 1492 Muslim Spain capitulated to Catholic Rome under King Ferdinand and Queen Isabella. By July of the same year, Muslims were instrumental in helping navigate Christopher Columbus to the Caribbean South of Florida.....
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mungu karuhusu shetani mwenye ushawishi mkubwa awepo na kuweza kuwshawishi wanadamu walio na uwezo mdogo wa kuhimili vishawishi?

  Indeed, kwa nini mungu karuhusu mabaya yawezekane? Ina maana hakuwa na jinsi n alilazimika kuumba ulimwengu wenye mabaya au alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini hakujali tu kutuondolea mzigo huu?

  Katika mifano yote miwili, mungu mwenye uwezo wote na mapenzi yote hawezekaniki.

  Kama alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usio mabaya, lakini hakuamua kufanya hivyo, basi hatupendi sana kihivyo.

  Kama anatupenda sana, na kaachia ulimwengu ambao mabaya yanawezekana uumbike, basi hakuwa na uwezo wa kuzuia ulimwengu huu.

  Mungu mwenye uwezo wote na upendo wote asingeweza kuumba ulimwengu hafifu kama huu.

  Mungu huyu ni hadithi tu.
   
 14. j

  jiccaman Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani,sijui kwanini huu uvumbuzi mnahusisha na kuwa hakuna mungu,katika kitabu cha biblia mungu kinasema mungu aliumba dunia,ila haimaanishi sio ulimwengu wote,mambo ya imani tuwaachie wanaoamini na nyie msioamini mbakie hivo hivo,si lazima muamini,ila msipotoshe watu waamini mungu hayupo
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Ina maana kukitokea viumbe katika sayari nyingine huko nao watapata wokovu kupitia kwa mitume iliyotokea dunia yetu kama Yesu na Muhammad? Au huyu mungu atakuwa katuma mitume yao?

  Na kama katuma mitume kwaao mbona wakristo wanaamini njia ya kumfikia mungu ni Yesu tu, sasa hapo itakuwaje?

  Halafu sijapata majibu ya post ya 13 hapo juu bado, kwa maana ya kwamba hata kama hutaki kuhusisha ugunduzi huu na kutokuwapo kwa mungu, kuna miswali mingine kibao inayoonyesha kwamba habari ya mungu ni hadithi tu.
   
 16. j

  jiccaman Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani,sijui kwanini huu uvumbuzi mnahusisha na kuwa hakuna mungu,katika kitabu cha biblia mungu kinasema mungu aliumba dunia,ila haimaanishi sio ulimwengu wote,mambo ya imani tuwaachie wanaoamini na nyie msioamini mbakie hivo hivo,si lazima muamini,ila msipotoshe watu waamini mungu hayupo
   
 17. j

  jiccaman Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ujue mungu kwasababu ya upendo wake amekuachia aumue either uende kwake au kwa shetani,shetani amepewa ushawishi tu ila kimsingi nguvu mwanadamu aliyenayo ni kubwa sana ,unaweza kuyakemea haya mashetani,mungu angemuondoa shetani angeonekana ni mbabe na shetani lazima angesema si mnaona huyu mungu alivo na ubabe,bottom line ni mambo ya imani hujalazimishwa umuamini
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mungu mwenye upendo wote na uwezo wote aruhusu shetani mwenye vishawishi awepo in the first place?
   
 19. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Umenishtua sana na title yako, nilifikiri labda Wanasayansi wameumba Sayari yao kutonana na material yasiyotengenezwa na Mungu kumbe waliona tu Sayari iliyotengenezwa na Mungu?
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Una ushahidi gani kwamba sayari imetengenezwa na mungu?
   
Loading...