MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
yep! kulikuwa na natives pale ... ! ( nimesahau kabila yao ) .... since jamaica ni kisiwa na columbus alitoka mainland so alikifanya kijulikane kule alipotokeaa yeye kwamba "jamaaaniiii kuna kisiwa kinaitwa jamaica... habari ikifika europe.. imefika states.. ikifika states imefika asia.. ikifika asia imefika dunia nzima....
unaswali jengine ?!
Kwahiyo Sayansi inapo sema kuwa C aligundua Jamaica ni UONGO? bali yeye ndie alikuwa mshamba wa kwanza wa kizungu kuiona Jamaica? Sasa cha ajabu ni kipi sayansi ilipo bahatika kuona hiyo sayari ambayo ilikuwa karne na karne?
Mimi ningefurai kama sayansi ingeweza zuia kimbunga na matetemeko ya ardhi na kuongeza umri wa maisha ya watu. Ndioo maana kwenye post yangu ya kwanza nilikujibu kuwa, hakuna kipya kwenye hii mada.