GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,008
- 126,404
SAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ?
JE NI KWELI ?
kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa?
reserch za kisayansi zinathibitisha
na watu wengine maarufu zaidi duniani;
je unajua kuwa kati ya marais 7 wa marekani wa 5 wanatumia mkono wa kushoto?
1.MEMBE
2.UHURU KENYATA
3.OBAMA
4.ARISTOTLE
5.BILLGATES
6.OPRAH WINFREY
7.PRINCE CHARLES
8.PRINCE WILLIAM
9.ANGELINA JOLIE
10.CELINE DIONE
11.JUSTIN BIEBER
12.BILL CLINTON
13.W G. BUSH
je nikipaji kwa Mh Membe kwenda ikulu?
kuwa aliongoza mkoa wake kidatu cha nne!!
na tabora kidato cha sitta kwa daraja la kwanza!!
vipi mtaani kwako tabia za watoto wanaotumia mashoto?
Top 10 Lefties | TIME
time.com/3107557/top-10-lefties/
Tafuta Sehemu Ya Kuyaweka AU Kupeleka Mawazo Yako Ya MSALANI ( Chooni ) Kama Haya! Vibaraka Wa Banabana Maembe Mnaweweseka Mno. Huyo Mtajwa Hana Sifa Ya Kuwa Rais Wetu ILA Najua Unamjua Rais Wako Mtarajiwa Ni Nani.........TUMETESEKA PAMOJA na TUTAFURAHI PAMOJA!