Umelielewa swali langu..?!Duh! na Uprince unapigiwa Kura?
Mmmh... Hii tuiite jina lingine ila sio sayansi
KUTOTAMBUA UDHAIFU WAKO NI UDHAIFU MWINGINE TENA ULIONAO WEWE MTOA MADA.
ALLY GADDAFI raisi wa zamani wa LIBYA hakuwahi kutumia mkono wa kushoto but alikuwa kiongozi BORA,
Isaac NEWTON hakuwahi kifikiria wala kujaribu kutumia mkono wa kushoto but alikuwa na award ya neno SIR! Fikiri kabla ya ku-post Mkono wa kushoto usikufanye ukaanza kumpigia kampeni.
TUNAHITAJI KIONGOZI MWENYE MAAMZI MAGUM NA ATAKAYE JARI MASILAHI NA UTU WA WANANCHI:
jipime kwanza
Kati ya Marais wanne waliopata kuongoza Tanzania, hakuna hata mmoja anayetumia mkono wa kushoto. So, basing on your criteria, the probability of Hon. Membe kupata urais Tanzania ni 0% but above 0% kama atagombea US... which means, basing in your criteria, ni rahisi kwa Membe kuwa US President kuliko Tanzanian President! Kama wewe ni mshauri wake, pass this to him!
Hatuhitaji uchawi au ushawishi wa kimagumashi ya waganga kuchaguliwa rahisi eti lefties!!SAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ?
JE NI KWELI ?
kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa?
reserch za kisayansi zinathibitisha
na watu wengine maarufu zaidi duniani;
je unajua kuwa kati ya marais 7 wa marekani wa 5 wanatumia mkono wa kushoto?
1.MEMBE
2.UHURU KENYATA
3.OBAMA
4.ARISTOTLE
5.BILLGATES
6.OPRAH WINFREY
7.PRINCE CHARLES
8.PRINCE WILLIAM
9.ANGELINA JOLIE
10.CELINE DIONE
11.JUSTIN BIEBER
12.BILL CLINTON
13.W G. BUSH
je nikipaji kwa Mh Membe kwenda ikulu?
kuwa aliongoza mkoa wake kidatu cha nne!!
na tabora kidato cha sitta kwa daraja la kwanza!!
vipi mtaani kwako tabia za watoto wanaotumia mashoto?
Top 10 Lefties | TIME
time.com/3107557/top-10-lefties/
Ooops! Mie nkafikiri kuwa Membe kapimwa na ikathibitika "kisayansi" kuwa anaakili nyingi. Hapo hapo nkazani kuwa na "wagombea wengine" nao wamepimwa IKATHIBITIKA kuwa "Maembe ana akili nyingi kuwaliko!" Kumbe..... Hii kwenye falsafa (kwa Kiingereza) wanaitaga falasi!.... na kwetu waswahili huita Pumba. Anaeitoa tunamwitaga IPP, yaani, International Pumba Producer..