Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,001
- 112,646
- Thread starter
- #21
kwani hujawahi mtazama mrembo
ukajiandaa kumtokea
halafu ukaambiwa 'shikamoo'????
imenitokea hiyo lol
Hahahahaaaa ebana kama ulikuwepo. Hiyo ishanitokea mara kadhaa na ikaua stimu kabisa.