Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Poule shogaaa...piga moyo kondee..afu kumbuka shost angu so kila unaedate naye ni muoaji wenginee ni wasindikizaji wanakupa maexpriencee! Nyanyuka jikung'ute mavumbi na tembea mbele...
 
Usijali mamito... Jipe muda wala usiwe na papara, kama unafanya kazi jikeep busy na kazi, kama unasoma soma zaidi na kama unafanya biashara jikeep busy na biashara. Yaan hiki kipindi huwa ni kigumu sana ila amini kitapita na utaja jilaumu bure kwanini ulikuwa unalia na kusonokena kwa ajili ya mtu asiyejua thamani yako!!

Kamwe usimtafute, najua inauma ila jikaze usimtext wala kumpigia hakika utamsahau....

Zaidi sana muombe Mwenyezi Mungu akupe ujasiri make hata hiyo uliyokuwa ukifanya ni dhambi. Ingawa wote ni wadhambi... Je unalia na kusononeka kwa kuacha dhambi???

kwa kweli,hili jambo namuachia Mungu,najua nna makosa ya kibinadamu,lakini mbona nawavumilia wengine na maudhi yao na wao hata hawajali maumivu yangu,daah,Mungu anisaidie tu,mana am so helpless right now
 
pole sana,atapatikana mwingine kama yupo.
Muhimu yakitokea kama hayo,usijilaumu sana piga moyo konde...maisha lazima yaendelee..
Zaidi na zaidi jiulize umejifunza nini ili usirudie tena kosa.
 
Poule shogaaa...piga moyo kondee..afu kumbuka shost angu so kila unaedate naye ni muoaji wenginee ni wasindikizaji wanakupa maexpriencee! Nyanyuka jikung'ute mavumbi na tembea mbele...

he said he wanted to settle and marry me...japo sikuonyesha desperation,from my heart nilifurahi nikaamini
 
Haaaa wee hujui ndo gia ya Siku hizii wanaume wakitaka papuchii?be very careful tena mie wakijaga name gia za kuoa huwaga nawadesh
 
Wadau wa JF za jioni,
nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa...japo cha kimya kimya,nimejiongeza kusoma alama za nyakati ,na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena mtoto wa watu....
Nishamuweka moyoni,i loved every moment,inaniuma sana alivojikata polepole mana text,simu hazijibiwi na watsap namuona ...kumfatilia mtu na msg siku nzima siwezi mwenzenu...
Napendwa na wengi ,ila ninakopenda sipendwi...
Maybe kuna sehemu nilikosea,najiuguza hapa kwenu wana JF nisahau maumivu,mana hata mabest zangu kuwaambia siwezi,watanicheka,ndugu watanishangaa,bora hapa siwajui hamnijui........
Eh Mungu nisaidie nije nipate mwingine,mana hapa siwezi tena mimi....ila naumia jamani dahh.,mana i took sometime,natamani tungeendelea ila kashakata kamba and he doesnt seem interested tena,
Ukipita niachie japo a comforting word,au ukijiskia kutukana si mbaya pia yote maisha.....

pole bibie usijali hii dunia ina zaid ya watu Billion 6 kwanini huyo mmoja akuumize mrembo, utapata aliye bora kuliko anaestahili penz lako la dhati. tuliza moyo wako
 
mhhh,haya
 
nakumbuka,nishakuwa innocent nikaumizwa vile vile,..am trying a different life nako naona hali tete,sijui nilekee wapi,am so hopeless ryt now
Pole sana...i feal for u..hapo sasa ni kutulia, weka mipango ya maisha yako, muombe mungu, jipende na kujitunza ...utakutana na mwanaume wa ukweli kabisa anayethamini na kujua maisha..wapo lkn wamejificha kidogo..
 
Wadau wa JF za jioni,
nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa...japo cha kimya kimya,nimejiongeza kusoma alama za nyakati ,na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena mtoto wa watu....
Nishamuweka moyoni,i loved every moment,inaniuma sana alivojikata polepole mana text,simu hazijibiwi na watsap namuona ...kumfatilia mtu na msg siku nzima siwezi mwenzenu...
Napendwa na wengi ,ila ninakopenda sipendwi...
Maybe kuna sehemu nilikosea,najiuguza hapa kwenu wana JF nisahau maumivu,mana hata mabest zangu kuwaambia siwezi,watanicheka,ndugu watanishangaa,bora hapa siwajui hamnijui........
Eh Mungu nisaidie nije nipate mwingine,mana hapa siwezi tena mimi....ila naumia jamani dahh.,mana i took sometime,natamani tungeendelea ila kashakata kamba and he doesnt seem interested tena,
Ukipita niachie japo a comforting word,au ukijiskia kutukana si mbaya pia yote maisha.....
badiebey njoo tufarijiane....na mimi napita njia hio hio angalia

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/656307-to-my-ex.html
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka,nishakuwa innocent nikaumizwa vile vile,..am trying a different life nako naona hali tete,sijui nilekee wapi,am so hopeless ryt now

Hizo ndio changamoto za mahusiano,piga moyo kundo Mungu atamleta mwenye mapenzi ya kweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
forget.jpeg
 
am here,i need ur comfort,nna stress kila sehemu ya mwili wangu

Usihofu utampata umpendae kushinda yeye na pia utamsahau ,apart from that wanasema ukikosa kitu milango saba ya bahati inafunguka but for now Time gonna Heal you,najuaga maumivu ya mapenzi unayeumia unakua wewe mwenyewe hata tukikushauri vipi hapa but try to forget and life goes on
 
Haaaa wee hujui ndo gia ya Siku hizii wanaume wakitaka papuchii?be very careful tena mie wakijaga name gia za kuoa huwaga nawadesh
Kuna umri mtu akifika hasa kwa nyie akinadada mnatakiwa mtambue muoaji na mtu anayetaka utamu na kusepa...ila sasa nashangaa wengi mnashindwaga kun'gamua..na kwa sisi wanaume tunajua wakati mwingine hamwezi kutofautisha ndo maana ndo gia yetu kubwa(wengine tunaongeza na manjonjo mengine)..ila km msichana akiwa makini mbona waowaji hujulikana kabisa..
 
Mie mwanzoni walinipumbaza sana ila saiviii nimeshtukia mchezo...UA right siafu dume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom