kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 599
- 1,183
- Thread starter
- #141
Una AKILI timamu?
Rudia kusoma tena nilicho andika.
Hivi kwanini wafuasi wa marehemu Magufuli Ni watu ambao dishi limeyumba sana.
Wewe tangu umeanza kuchangia hii thread sijaona popote ulipotoa mchango/hoja yenye mantiki zaidi ya kushambulia watu na kuwatolea lugha chafu
Kwa wenye akili zao wanajua nani 'dishi limeyumba' Kati yako na hao wafuasi wa Magufuli !!