Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Unasubiri nini kuyafukua ili tulie sana?

Ukishaweza kuonyesha trillions alizofisadi JPM zilitoka wapi usisahau kunishtua KAMANDA!!
Hana lolote huyo zaidi ya chuki binafsi tu kwa Hayati JPM.

Unadhani jinsi linavyomchukia Mwamba wa duniani JPM, lingeshindwa kuweka hapa ushahidi sahihi ikiwa lilikuwa na uhakika
 
Usiku ushaingia kalinde kaburi
Labda wawekezaji wa unga na matapeli,tuambie ni mwekezaji yupi unayemjua aliyekimbia?mtu ana backer ya kuchoma mikate na mandazi,biashara ikienda vibaya mnaanza kusema mwekezaji kafunga biashara na kukimbia,kama wawekezaji kukimbia mbona hata sasahivi wanakimbia Uber na Backers wamesema wanafunga biashara zao nchini.


Mkuu hayo niliyoandika hapo ni kwa mujibu wa hao wanye chuki na JPM na wala sio mimi,hapa ninachofanya ni kuwakumbusha tu uongo wao
 
Hawanauwezo wakijibu sawali kamahilo.
Haya majitu sijui akili yamezikalia""

Magu alifanya miradi yakutisha na mambomengi ya maendeleo wakayaona kwamacho wakakosa hoja wakaja na ujinga kwamba eti hawataki maendeleo ya vitu kama bwawa la nyerere, ubungo flyover, tazara barabara kama ya kimara mail moja.
Daraja la busisi,mastendi ya bus, ndege naviwanja vyake namengine mengi hayaelezeki wakasema hawataki hayoyote wanataka maendeleo ya watu sio vitu.

Vitu walivyo viona na wakasema hawavitaki hawasemi viligharimu sh, ngapi' saizi wanasema hakufanya chochote alikuwa muizitu, hawa watu ni matope kabisa.
Ninavyoguswa kwa uchungu wa ile kauli ya Hayati JPM "Nimesakrifai maisha yangu kwaajili ya wa-TZ maskini" nikajikuta nitakufuru hadi nimeamua kukaa kimya tu.
 
Ili tujue kama uchumi ulikuwa Bora lazima uniambie alikuta maskini wangapi na kawatoa wangapi kwenye umaskini..

Sasa na wewe tumiradi huto 3 sio twa kupigia kelele kwa miaka 5..

Pili miradi mingi zikiwemo stand na masoko CAG anasema hazina tija kwa sababu hata hazitumiki ilivyokusudiwa awali kwa hiyo is like pesa zimepotea eg Ndugai market,stand kama ya Sumbawanga,soko la kisutu nk..

Hiyo ya eti watumishi salary zilipita mwezi huo ni uongo,mimi ni mtumishi sio tuu tulilipwa kwa wakati bali tuliongezewa salary kila mwaka na kupanda madaraja...

Sasa mbona nyie mnataka Samia amalize miradi yote aliyoiacha Mwendazake kwa mwaka mmja na aanzishe miradi mingine mikubwa..

Tunaposema Magufu aliharibu uchumi tunamaanisha,sekta binafsi ya ujenzi ilikufa refer bei za viwanja kupomoka, biashara kufungwa,posta kubaki nyeupe,majengo na nyumba kupigwa bei na banks kwa sababu watu walishindwa marejesho na bado hazikuuzika..

Pili uwekezaji ulianguka,ajira zikapotea ikabakia kila mtu machinga ilimradi kudunduliza..

Mazao ya kilimo yaliporomoka bei kama mbaazi,ufuta,korosho nk..

Kiujumla list ni ndefu,huko maofisini hadi pesa za kuendesha ofisi hazikuwepo..

Ujenzi unaousema ni ule ulikuwa unafanywa na mashirika ya serikali na Magufuli alitegemea pesa zaidi ya gold,utalii na bandari/ logistics..

Hali ilipozidi kudorora ndio kukamua machinga kwa 20,000 kukaanza,kupora wafanyabiashara pesa,kubabimbikia Kodi kwa argent notice nk nk..


Mkuu tufanye unayoyasema hapa juu ya Magu yote kweli,


Sasa naomba utuambie hizo trillions mnazosema JPM kazifisadi zilitoka wapi?ukizingatia mambo yalikuwa kama ulivyodai hapo juu!!
 
Alipora kwa wafanyabiashara..

Pili kutimiza wajibu wake hakujuatify wizi.

By the way alipokea Nchi ikiwa vizuri kiuchumi na watu Wana pesa ndio maana alipata hizo pesa ..

Ila sasa alipoharibu ndio kaanza kubambikia watu kesi,Kodi,kupora na upuuzi kama huo..

Hadi Samia anachukua Nchi ilikuwa imefikisika lakini kwa ubunifu na ujasiri imerudi kiasi kwenye mstari..

Mwisho Kati ya vyote ukivyotaja hapo juu ni ndege tuu ndio mradi uliokamikika ila miradi iliyobakia hakuna hata mmja aliuacha ukiwa umefikia hata 30%..
Hata kama ndizo chuki lakini daaah....

Mbona JPM mwenyewe alikiri aliipokea nchi kwa Mh Rais mstaafu JK ikiwa haina pesa hazina hata za kuiongoza nchi kwa siku 9

Na hiyo video ipo hata YouTube
 
Ninavyoguswa kwa uchungu wa ile kauli ya Hayati JPM "Nimesakrifai maisha yangu kwaajili ya wa-TZ maskini" nikajikuta nitakufuru hadi nimeamua kukaa kimya tu.



Mkuu usipate tabu wala kuumizwa na hawa VIBARAKA/CHAWA wanaompondea Mwamba JPM daily humu na kwengineko,


wengi wao nafsi zao zinawasuta ingawa hawana tu jinsi maana wapo KIBARUANI,

Ila tutakwenda nao mdogo mdogo mpaka wakimbie VIBARUA vyao!!
 
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,

yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania

Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai

Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao

Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta

Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya

Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban

Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu

Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa

Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini

Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali

Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)

Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili

Kununua ndege kwa cash

Kununua wapinzani

Kuhamishia serikali Dodoma

Kujenga bwawa la Nyerere

Kujenga SGR

Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)

Kujenga airport ya chato (international?)

Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)

Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)

Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Umvevuta skunk nini? Na Kikwete aliiba kiasi gani?
 


Tujikumbushe Mmbunge wa Chalinze na Naibu waziri wa ardhi akisimulia Chalinze aikuwa na kiwanda toka kuanzishwa kwa dunia mpaka alipoingia Magufuli na kushawishi wawekezaji wa kimataifa kwenda.



Sasa hivi wanajifanya wamesahau,

daily kumpakazia mabaya JPM ili ionekane hajafanya chochote kizuri kwenye nchi hii

CHUKI ZAO ZINAWATESA WENYEWE!
 
Hata kama ndizo chuki lakini daaah....

Mbona JPM mwenyewe alikiri aliipokea nchi kwa Mh Rais mstaafu JK ikiwa haina pesa hazina hata za kuiongoza nchi kwa siku 9

Na hiyo video ipo hata YouTube
Wewe unaweza muamini Mwendazake? Yaani yule alivyokuwa muongo na kupenda propaganda na kuabudiwa?

Mwendazake ndiye alianzisha mambo ya kuponda watangulizi na kudanganya wanyonge wake kwa kusema tunajenga kwa pesa zetu kumbe mikopo ya kufa mtu.
 
Mkuu tufanye unayoyasema hapa juu ya Magu yote kweli,


Sasa naomba utuambie hizo trillions mnazosema JPM kazifisadi zilitoka wapi?ukizingatia mambo yalikuwa kama ulivyodai hapo juu!!
Na wewe una maswali ya kitoto,kwamba pesa za kuiba zilitoka wapi?

Muulize Assad na Kichere maana wote ni wateule wake na ndio watia ripoti
 
Unadhani kwenye hiyo miradi yote ya matirioni hakosi 10 au 20 percent?

NB. Miradi mingi iliyoanzishwa na serikali kwa kukurupuka imeanzishwa ili viongozi wapige pesa
 
Waheshimu Baba na Mama upate miaka mingi na kheri Duniani.

Epuka kumdamganya Mungu sababu hasira yake ni mbaya sana.

Unafanya mambo ya ajabu alafu unawaambia watu wakuombee, sijui hasira ya Mungu itakuwaje hapo.
 
Back
Top Bottom