Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Yaani Dena nimejitahidi kweli kuchunga wasichakachue, nimewashindwa mpendwa,
Erick,
BAGAH na
Mtei One wakishaingia kwenye sredi khaaa, kazi yao kubwa ni kuchakachua mwanzo mwisho lol....
Yaani hawa jamaa siwawezi wanaongoza kuchakachua
Hata mimi nimeshawashindwa kabisa maana nilivyosema
ndo kabisa wamezidisha kuchakachua dawa yao naijua
Hahahaaaa hapa nammiss tu Amyner....umeni miss ee? Ntakuchakachua
Hahahaaaa hapa nammiss tu Amyner....
Siunajua tena kienda roho...nashangaa eti nikumiss wewe lol
Dume zimaaaaaaa....!!!!
Pyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahahaaaaa hapo niliingia chakaMi nlimuulza Sweetlady bt nashangaa umejibu wewe. Vp kijana? We ndo SL?
Hahahahaaaaa dahunanikumbushaaa...bausaa flaniii arushaa mtemiii ilaa anakasautii chembambaa kaa mdemuu,sikumojaa kwenye club flani,aka mwambie mlevi mmoja oyaaaa we tokaaa hapo hakuruhusiwiii,yulee mlevi hakumuona suraa akajua ni demu akageukaa kwa asiraa we m l a ya unasemaje.............duh!!kugeugaaaa kitu ka jumbaaaa,alikulaa kichapoo na njee akatolewa.
Fanta orange ndo kinywaji cha husband...Hahahahaaaaaa
Ngoja nikuletee kinywaji alichobakiza mumeo....
Hope unakijua na sidhani kama utakiweza....
Hahahahaaaaa dah
Mi nlimuulza Sweetlady bt nashangaa umejibu wewe. Vp kijana? We ndo SL?
Fanta orange ndo kinywaji cha husband...
unanikumbushaaa...bausaa flaniii arushaa mtemiii ilaa anakasautii chembambaa kaa mdemuu,sikumojaa kwenye club flani,aka mwambie mlevi mmoja oyaaaa we tokaaa hapo hakuruhusiwiii,yulee mlevi hakumuona suraa akajua ni demu akageukaa kwa asiraa we m l a ya unasemaje.............duh!!kugeugaaaa kitu ka jumbaaaa,alikulaa kichapoo na njee akatolewa.
Hahaha! Ulevi upi mwingine?...nimeshinda salama shemu, wewe je hujanimiss?mumeo anakunywa fanta orange!..?chunga asee atakua ana ulevi mwingine noma!
shem umeshindaje?hujanimis?
Hahahaha!Kweli nimewashindwa nyie watu kwa kuchakachua jioni njema
Wewe pia nakutafuta!Kisauti nyororo hakileti mzuka. Dena nakutafuta.
Wewe pia nakutafuta!
niambie swahiba, mwenzio nipo maternity ward.
Una mimba?