Dabaga1998
JF-Expert Member
- Apr 10, 2016
- 994
- 502
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Umeleta aibu nyumbani na ugenini .
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Umeleta aibu nyumbani na ugenini .
Nafikiri hapo kwenye helkopta katumia lugha ya picha kuonesha ni jinsi gani rasilimali zilizopo zikitumiwa ipasavyo kutakuwa hakuna sababu ya kuzuia vitu vidogo vidogo kwa jina la kubana matumizi. Huu ni mtazamo wangu tu naheshimu wako anywaykaka hii nchi haitafika iendelee kama tuna wabunge wanadhani maendeleo ni kwenda bungeni na helkopta na sisi tunawaita majembe. Ila kuna baadhi ya vitu kavisema vizuri kwa asilimia 65 kwa mia kaborongo tu. Huko kwa matajiri sasa hivi kunawaka moto kwaajili hizi class anazizungumzia. Kuweka makundi ya watu kwa class siyo maendeleo ya jamii, mwishowe hua yanaishia pabaya.
Nionavyo mimi falsafa ya kumsubiri Mbunge atuletee maendeleo ni falsafa mfu na itatufanya tuendelee kuwa maskini ever.Kazi ya mbunge jimboni kwake ni nini?? Kwa nini mafuriko ya Kyela wanakyela wanamuita mbunge wao Mwakyembe akawasaidie?
Acha kukariri, kama ulifunzwa hivyo, jiongeze kidogo!
aliekwambia hao jamaa wanaogopa Mungu ni nan?Sio kweli, wewe kama una Dini mwogope Mungu!
Yaani wewe unaona raha gani wananchi kukosa Uhuru wa kupata habari katika nchi yao tena kwa gharama ya kodi Zao?
Unaona raha gani Mapapa wa mafisadi kufumbiwa macho ili hali wale wanaotumiwa wakiadhibiwa?
Wizara ya Nishati na madini ndiko kuna ufisadi wa kufa MTU. EPA, ESCROW....mikataba ya Gesi na Madini... Yaani shida kubwa iko huko lakini si unaona kimya!
Tuwe wazalendo, majipu yatumbuliwe na kila kiongozi akubali kukosolewa na kujisahihisha huo ndio uungwana