Mkuu Maswala please proof read your post before sending itGreat presentation. Hata Mimi sikupenda utumbuaji Wa hadharani, kwani watumbuliwaji pia wanazo familia. Unapofanya hivyo kwa ushabiki na self glory sijui kama anajua kuwana watoto na mdugu mbali mbali ya muhisika wanathilika. Hebu fikiria Mtoto aliyeko shuke anasikia live babake anavyotumbukiwa, au marafiki zake shule. Kama mkewe au mumewe ni mwalimu au mfanyakazi afya, atakamilishaje majukumu take kwa umakini bila fedhea za hali ya Juu?
'Anayemshabikia Lowassa akapimwe akili'-Msigwa.
'Ni fahari kwa Mungu kumzomea fisadi lowasa'-lema.
Kwenye website ya chadema, kabla ya kuitoa fasta, kwenye orodha ya mafisadi, lowasa yupo.
Tundu lissu akadai wana ushahidi kuwa lowassa ni fisadi wa richmond.
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Ila hii ya kusema wabunge waende na herikopta DODOMA [emoji848] mbunge hapo kachemka
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.lema ni mwana siasa shujaa ni mfano wa kuigwa huwa kauli zake na mfananisha na mugabe
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.lema ni hasara tu kwa wana arusha hajafanya lolote pale mjini zaidi ya kuropoka ropoka tu bungeni kama hivi.
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.kanjanja tu. sasa hapo ndio kaongea nini?
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.lema ni hasara tu kwa wana arusha hajafanya lolote pale mjini zaidi ya kuropoka ropoka tu bungeni kama hivi.
Huyu amisha ona kwamba Raisi Magufuli amembana sana katika ulaji ndiyo maana anaongea hivyo. Si walisha pewa pesa na Lowassa. Sasa anahangaikia nini? Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Mr Lema arusha tunakupenda sana . Piga kazi
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Kwa kushangilia huu upuuzi wa lema, naanza kumuelewa Nape, bunge liwe unlive tu.
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter. Halafu anataka kumsaidia mkwe wa Lowassa kwasababu yuko Lupango. Lowassa anapandikiza haya maneno ili kumkatisha tamaa Raisi wetu MAGU.Kazi yake kupayuka bungeni?kweli we wa mjini
Message sent!pumba hizo
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Mkiwa na wabunge kihiyo wa kutaja matukio na si masuala ya maendeleo, mmekwisha. Sijui alikuwa wapi siku zote, ameanza kuchanganya Kingereza na kiswahili.
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Message sent!
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Lema angekuwa na akili kama za Zitto na uwezo wa kujenga hoja sijui ingekuweje.
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Hiyo katoa mfano. pia kama kuna dharura kwa nn heliopta isitumike
Hawa ni watu wa Lowassa na sasa Watanzania wa kawaida wanagombea pungufu asilimia 2% ya mishahara yao kuna watu wanataka kusafiri na Helicopter.Lema si riziki