Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,368
- 8,071
Wakuu kumbe tunamis vitu vingi sana kwa hili bunge la gizani!
Lema ameponda swala la bunge kutooneshwa live.
Serikali kubana matumizi huku wakurugenzi wakienda bungeni Dodoma kwa mabasi na kusema hii dhana ya kuturudisha kwenye umaskini.
Anaongeza kuwa kama rais ana nia ya kupambana na ufisadi angeacha bunge liwe live.
Mawaziri waoga hawana maamuzi.
Amemuuliza naibu Spika kurudisha fedha kwa rais bila kumshirikisha Spika wake. Amemtetea yule mama wa Oiljet aliyefukuzwa wakati kamtaja aliyemtuma kwa jina, yaani Muhongo lakini hakuchukuliwa hatua.
Amesema Uchaguzi wa Zanzibar umeisha lakini kesi haijaisha, msifikiri mpo salama.