SAUTI: Sikiliza nondo za Godbless Lema Bungeni

SAUTI: Sikiliza nondo za Godbless Lema Bungeni

Lema angekuwa na akili kama za Zitto na uwezo wa kujenga hoja sijui ingekuweje.
 
Ndio maana niliwahi sema Lema anafaa kuiongoza CHADEMA katika kukabiliana na CCM
 
sijui wanataka nchi iendeshweje ? Magufuri anasafisha uozo wabunge wengi ni majipu wanaogopa Magufuri atawageukia miela wanayopewa kwa kupiga domo mjengoni
 
Safari hii ubora wa mbunge utathibitishwa na maendeleo atakayoyaleta jimboni kwake.

Hatujachagua wabunge kwaajili ya kuongea udaku bungeni.
mwenye dhamana ya kuleta maendeleo ni wenye dola na si mbungee,,,mbunge hapewi bajeti ya maendeleo bungeni,,sasa kwa pumba zako hayo maendeleo huyo mbunge anayapelekaje????



kazi ya mbunge ni uwakilishi na anaweza wakilisha changamoto za jimboni kwake na serekali sikivu ya ccm ikapuuza.
 
Safari hii ubora wa mbunge utathibitishwa na maendeleo atakayoyaleta jimboni kwake.

Hatujachagua wabunge kwaajili ya kuongea udaku bungeni.
Umenena mkuu kijenge twangoja barabara ya lami bila unafiki
 


Wakuu kumbe tunamis vitu vingi sana kwa hili bunge la gizani!

Lema ameponda swala la bunge kutooneshwa live.

Serikali kubana matumizi huku wakurugenzi wakienda bungeni Dodoma kwa mabasi na kusema hii dhana ya kuturudisha kwenye umaskini.

Anaongeza kuwa kama rais ana nia ya kupambana na ufisadi angeacha bunge liwe live.

Mawaziri waoga hawana maamuzi.

Amemuuliza naibu Spika kurudisha fedha kwa rais bila kumshirikisha Spika wake. Amemtetea yule mama wa Oiljet aliyefukuzwa wakati kamtaja aliyemtuma kwa jina, yaani Muhongo lakini hakuchukuliwa hatua.

Amesema Uchaguzi wa Zanzibar umeisha lakini kesi haijaisha, msifikiri mpo salama.

Bogus comments
 
Kazi yake kupayuka bungeni?kweli we wa mjini
hapa tatizo ni elimu elimu elimu! huko kwenye chama chenu wamewaambia kazi za mbunge ni zipi?

Kwa shule inaelezwa kazi za mbinge ni kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuishauri, kuna somo linaitwa civics au elimu ya uraia! civics ya chama chenu kazi za mbunge ni kuchimba mitaro? kutoa hela? kulima barabara? au kufundisha biashara? elimu elimu elimu
 
Safari hii ubora wa mbunge utathibitishwa na maendeleo atakayoyaleta jimboni kwake.

Hatujachagua wabunge kwaajili ya kuongea udaku bungeni.



Haya mambo ya kusubiri wabunge walete maendeleo kwenye majimbo yao ndiyo yaliyosababisha rushwa kuingia kwa wabunge kwa kasi kubwa.

Mbunge anatafuta fedha kwenye mashurika ya umma na binafsi kwa hali na mali ili apate kura jimboni kwake kwa kuwadanganya watu kuwa amewaletea maendeleo kwa kuwajengea baadhi ya shule au hata kutoa mosaada.
Wakati huo huo fedha zinazotolewa na serikali kwa kazi za maendeleo zinaishia kuliwa na wajanja.

Mawaziri wamekua wakihaha kutafuta 10% kwenye mikataba mibovu ili wapate fedha za kile wanachokiita kupeleka maendeleo kwenye majimbo yao.

Kazi ya mbunge ibaki kuwa ni kuisimamia serikali kupeleka maendeleo kwenye maeneo yote ya nchi hii hata kama eneo hilo balina mbunge.

Huu ujinga umekua ni mtaji mkubwa kwa mafisadi kuendelea kuwa wabunge na hata kuwa mawaziri na kuendelea kubaki madarakani kwa fedha za wizi na ufisadi.
Wanaiba fedha serikalini wanakimbizia kwenye miradi yao ya kupata kura kwa kisingizio cha kuleta maendeleo. Mtu mmoja utaletaje maendeleo peke yako kwenye jimbo zima wakati sio mfanya biashara?

Wakwepa kodi na wauza madawa ya kulevia wamekua wakiwatumia wanasiasa kwa kutoa pesa kwa kile wanachokiita kupeleka maendeleo jimboni. Lengo likiwa ni kupata watu wa kulinda ufisadi wao.


Tuone maendeleo jimboni kwake sio kupayukapayuka bungeni
 


Wakuu kumbe tunamis vitu vingi sana kwa hili bunge la gizani!

Lema ameponda swala la bunge kutooneshwa live.

Serikali kubana matumizi huku wakurugenzi wakienda bungeni Dodoma kwa mabasi na kusema hii dhana ya kuturudisha kwenye umaskini.

Anaongeza kuwa kama rais ana nia ya kupambana na ufisadi angeacha bunge liwe live.

Mawaziri waoga hawana maamuzi.

Amemuuliza naibu Spika kurudisha fedha kwa rais bila kumshirikisha Spika wake. Amemtetea yule mama wa Oiljet aliyefukuzwa wakati kamtaja aliyemtuma kwa jina, yaani Muhongo lakini hakuchukuliwa hatua.

Amesema Uchaguzi wa Zanzibar umeisha lakini kesi haijaisha, msifikiri mpo salama.

Safi sana na imekaa vizuri
 
Tuone maendeleo jimboni kwake sio kupayukapayuka bungeni
Maendeleo jimboni yanaletwa na serikali sio mbunge. SHULE UMEENDA SOMEA UJINGA?
Mbunge kazi yake kuwawakilisha watu wake bungeni akimaliza hilo na kama hakuna maendeleo jimboni TUNAPIGA CHINI kwenye sanduku la kula chama chenye serikali. Ila mbunge tunataka kumsikia kama kweli kasinzia au kawakilisha maoni yetu jinsi tulivyomtuma. NANI KAWALOGA NYIE MNAOTETEA KIHOJA HIKI CHA KUCHEZEA MATANGAZO YA LIVE???
 
kaka hii nchi haitafika iendelee kama tuna wabunge wanadhani maendeleo ni kwenda bungeni na helkopta na sisi tunawaita majembe. Ila kuna baadhi ya vitu kavisema vizuri kwa asilimia 65 kwa mia kaborongo tu. Huko kwa matajiri sasa hivi kunawaka moto kwaajili hizi class anazizungumzia. Kuweka makundi ya watu kwa class siyo maendeleo ya jamii, mwishowe hua yanaishia pabaya.
Hiyo katoa mfano. pia kama kuna dharura kwa nn heliopta isitumike
 
Hii awamu ya tano ni One Man Show ... It's all about Magufuli. Kila kitu kinafanyika around him!!
 
Back
Top Bottom