Sauti kutoka Kaburini - Ni Jambo la Kijinga Kutegemea Mikopo Kujiletea Maendeleo...

Tija itoke wapi anazungumzia habari za azimio la arusha.

Bora hata usisome utajisumbua tu kusoma mashudu yaliyojaa unafki.
Ubaya wa hii makala ni upi ? Haujaelewa au ni kupinga tuu kwasababu ni azimio la arusha
 
Hili andiko lingekua na maana kama ungeliandika ndugu, mzalendo,ndugu JPM alivokua madarakani,maana yeye kwa mwaka alikopa wastani wa Trillioni 6.
Otherwise Nawe ni wale wale kama Pengo tu,rais akitoka mwambao munamletea Nongwa
Kupita kwa awamu moja kwenda nyingine kunazuia watu wasitoe maoni yao?
 
Kukopa kunaweza kuwa na manufaa katika kuharakisha shughuli za kimaendeleo kwa namna moja ama nyingine. Muhimu ni mikopo hiyo ikopwe pale inapostahili na iwapo mapato ya nchi hayatoshelezi kufanya utekelezaji kwa wakati na kwa kasi;

iwe ni mikopo yenye tija na sio kuongeza mzigo kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutumika kwa maeneo yatakayoleta tija kubwa kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla.

Na kwa nchi yenye mapato ya kutosha ya ndani ni vyema kuegemea zaidi kwenye matumizi ya fedha hizi kuliko kutegemea mikopo kwa kiasi kikubwa.Mwisho ni uwepo wa usimamizi mathubuti wa matumizi ya mikopo hiyo katika kufikia malengo tarajiwa.
 
Hata Magufuli alikopa na hatukuwahi kuletewa hotuba ya mwalimu ya mwaka 1967.Huwa tu una tatizo binafsi na Rais asiye mkristo.Specifically una matatizo na Rais asiye mkatoliki...Rafiki YAKO Dr Slaa(mkatoliki mwenzio) tutaanza nae kumsikia....
 
Ni mjinga pekee anayeweza kutegemea mikopo kujikwamua . Fanya kazi acha uzembe , dunia haina mjomba
Zenis eti ni mjinga tu anayetegemea Mkopo, wakati hapo tu wewe mwenyewe una Mkopo wa SONGESHA.

Kwenye theory ya investment inasema yule anayetumia hela yake kuwekeza ndiye mjinga
 
nafikiri unaangalia namba kuelewamaana yake. Nchi kama Marekani na nyingine zote za Advanced economies, hazikopi kwa kutafuta mkopeshaji umombe akukopeshe kama tanzania tunavyofanya...
At end of the day kwenye balance sheet zitaonekana kama long term loans and securities. Mkopo ni Mkopo tu tofauti ni method uliyokopea
 
Kama nchi inakopa kwaajili ya shughuli za maendeleo, kama kilimo, bandari, umeme ni jambo zuri. Na inatakiwa ikope. Lakini kama inakopa kujenga darajs la baharini Salenda, au ili kulipa mishahara ni tatizo.

Hata kwenye familia, mkopo ukitumika vizuri huleta maendeleo.
 
Zenis eti ni mjinga tu anayetegemea Mkopo, wakati hapo tu wewe mwenyewe una Mkopo wa SONGESHA.

Kwenye theory ya investment inasema yule anayetumia hela yake kuwekeza ndiye mjinga
What is songesha ?
Ukiongelea mikopo ni mjinga pekee atakuelewa. Lakini brain kubwa hatuongei mikopo. We talk cash flow and profit margin.
Wewe utaongelea marejesho na fine zake.
Hebu ona ulivyo tofauti na kwenye kujitambua (akili kubwa)
Any how
Kopa uwe Mtumwa.
Fanya kazi ili uwe huru ( financial freedom) ni mjinga pekee anayeabudu mikopo.
 
What is songesha ?
Ukiongelea mikopo ni mjinga pekee atakuelewa. Lakini brain kubwa hatuongei mikopo. We talk cash flow and profit margin.
Wewe utaongelea marejesho na fine zake.
Hebu ona ulivyo tofauti na kwenye kujitambua (akili kubwa)
Any how
Kopa uwe Mtumwa.
Fanya kazi ili uwe huru ( financial freedom) ni mjinga pekee anayeabudu mikopo.
Kwnn unachangany kingereza na kiswahil kwnn usiandike kingereza chote au kiswahili chote kuliko kuunga unga unatuchosha
 
Sipendi watu wanafiki kama mleta uzi.

Uzi huu kuja wakati wa Magufuli ningekuona shujaa.
 
Back
Top Bottom