kuwa na watu wajinga wasio jua kudai haki ni saw na akina mwigulu tu yan mnamlaumu mbunge dah! kazi ipo halafu et msomi wa SAUT kuna haja ya kuangalia vyuo kabla maana kuna vyuo vingine wanachukuwa watu wa ajabu sana ambao ni failure na matokeo yake ni kumlaum mbungeb eti hawajapata mkopoSAUT iko ndani ya jimbo la Nyamagana. Wanafunzi wameona wamtumie Wenje awakilishe matatizo yao wizara husika hapo si mtu sahihi? Hii ndio shida ya kusoma HKL combination ya vilaza, swali lina majibu mawili uongo mtupu.
hiv kumbe kuna chuo kinaitwa SAUT? kama kipo bs hawjui kudai haki waulizen udsm wanajua vema hata werma jana kazungumza bungeni vizur sanae
icho chuo ndio ametoka mwigulu nchemba, dr kikwete, chenge, pinda. Wametufikisha wapi?. Acha upuuzi, kweli wewe ni wakili? Duh, ukijipambanua humu firm yako haitapata wateja.
Icho chuo ndio ametoka Mwigulu Nchemba, Dr Kikwete, Chenge, Pinda. Wametufikisha wapi?. Acha upuuzi, kweli wewe ni wakili? Duh, ukijipambanua humu firm yako haitapata wateja.
Limbukeni km wewe niwe mteja wako, Tirdo sio Rirdo! Wakuja utawajua tu. Mimi si mwanafunzi wa SAUT ila nafanya kazi hapa kwa mkataba maalumu. Icho chuo unachokizungumzia UDSM nimemaliza hapo 2009. Ofisini hapa kunawafanyakazi wenzangu ni products toka vyuo mbalimbali na tumeajiriwa hapa kwa G.P.A zetu sio vyuo. Utazungumziaje chuo kwenye ma-hall watu wanakunya kwenye vyoo vinyesi vinawarukia?. Usinikumbushe historia yangu chafu ya upande wa pili.
Wenje usipokee simu zao.
ni ngumu kutofautisha loan board na kikwete kwani hao ni wateuli wake. leo hii ukiandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya ni sawa tu na umeandamana kwenda kwa kikwete kwa sababu ni mteule wake. nadhani umenielewa point yangu.Kikwete aliahidi pia! Mbona vyuo vya Dar hawakwenda ikulu bali Loan board? Hili ni tatizo la vyuo vyote nchi nzima, si nyie tu
Yani badala ya kuitumia serikali yenu ya wanafunzi pamoja na management ya chuo kuweza kufuatilia mikopo yenu Loan board mnaanzisha tuhuma dhidi ya mbunge ambaye hahusiki na mchakato wenu wa kupata mikopo.
don-oba kama wewe unafanya kazi hapo SAUT kwanini usiwashauri wanafunzi hao wajipange ''kuzivamia'' ofisi za loan board kwakuwa wamezoea kufanya kazi kwa mashinikizo.
kuwa na watu wajinga wasio jua kudai haki ni saw na akina mwigulu tu yan mnamlaumu mbunge dah! kazi ipo halafu et msomi wa SAUT kuna haja ya kuangalia vyuo kabla maana kuna vyuo vingine wanachukuwa watu wa ajabu sana ambao ni failure na matokeo yake ni kumlaum mbungeb eti hawajapata mkopo
Iwajibisheni hiyo serikali yenu ya wanafunzi watakuwa wamepandikiza Maspy............kweli usomi some time busara wala sio madarasa sasa wenje hapo anaingiaje .....pigeni show(kinukisheni) mpaka ofisi za bodi za kanda....na suala la kujiuza ni silika ya mtu mwenyewe sidhani kama kujiuza ni suluhu ya maisha,........POLENI DADA ZANGU hiyo ndio CCM yenu(bodi ya MIKOPO)kwani wenje ni bodi ya mikopo...hapo inatakiwa serikali ya wanafunzi na chuo wasimamie hio kitu sababu iko chini yao na hilo lilikua kosa la chuo wenje hana uwezo wowote wa kubadilisha hio kitu.....kule COET(UDSM) wakati nasoma hapo tushaitisha kunji siku nyingi na hivi uzembe wamefanya chuo mbona kingenuka siku ya pili tu bumu la hao jamaa lingetoka...hapo lazima wahusika ,chuo na serikali ya wanafunzi wakaze kamba ndo mtafanikiwa wala msihamishie matatizo yenu kwa mbunge hana uwezo wowote na kudeal na hio kitu.......nyie wenyewe mnaweza kuunda kamati ikaenda bodi kufatilia.............wakati nasoma coet(telecom 2008) kuna wanafunzi 9 wa civil walidisco lakini kutokana na umoja wetu tuliitisha kunji kuwa wameonewa na tulitumia ugomvi kati ya mkandala na menejiment ya coet kuwarudisha wale washkaji ingawa lecture aliewashika alikataa kuwarudisha lakini VC aliwarudisha na wakarudia mwaka na wengi wao walimaliza na 2nd class bila hivyo tungewakosa......lazima muwe na umoja hilo tatizo ni kubwa la sivyo watu wataacha chuo na acheni kabisa kumlaumu mbunge hahusiki na kitu hio na mkimtumia mbunge magamba watageuza kuwa tatizo la kisiasa na mbunge anataka kujipatia umaarufu mtakosa vyote
Wenje anatakiwa aangalie hii taa nyekundu inayomuwakia
Limbukeni km wewe niwe mteja wako, Tirdo sio Rirdo! Wakuja utawajua tu. Mimi si mwanafunzi wa SAUT ila nafanya kazi hapa kwa mkataba maalumu. Icho chuo unachokizungumzia UDSM nimemaliza hapo 2009. Ofisini hapa kunawafanyakazi wenzangu ni products toka vyuo mbalimbali na tumeajiriwa hapa kwa G.P.A zetu sio vyuo. Utazungumziaje chuo kwenye ma-hall watu wanakunya kwenye vyoo vinyesi vinawarukia?. Usinikumbushe historia yangu chafu ya upande wa pili.
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustine-Mwanza wamemtupia lawama mbunge wao mh. Wenje kwa kile kinachoelezwa kwamba amewatelekeza.
Ikumbukwe kwamba Mh Wenje wanafunzi wa SAUT ambao idadi yao ni zaidi ya 15000 ndio waliomwezesha kiasi kikubwa kupata ushindi. Pia ni hawa hawa wanafunzi ndio walikesha kwenye vituo kulinda kura zisichakachuliwe.
Chanzo cha kumtupia lawama mbunge wao Wenje ni kutokana na wanafunzi wenzao 215 hadi sasa semister imeisha hawajapata pesa zao za kujikimu kutoka bodi ya mikopo.
Inaelezwa kwamba uzembe mkubwa kutoka uongozi wa chuo na serikali ya wanafunzi SAUTSO inayojipambanua kwamba ni makamanda wapiganaji wameshindwa kufuatilia pesa za wanafunzi hawa kitendo kilichopelekea wawasiliane moja kwa moja na Wenje kupata msaada zaidi.
Lakini hadi sasa si Wenje ambaye amewapa taarifa juu ya hatima yao huku wakidai muda mwingine wakimpigia simu hapokei.Imefikia baadhi yao kuacha chuo, wengine wameanza kujiuza miili yao ili wapate pesa za kujikimu.