SAUT: Wenje ametutelekeza

SAUT: Wenje ametutelekeza

Wenje si kazi yake. Acheni ujinga

Kwani hawa wanafunzi walipolinda kura za Wenje ilikuwa kazi yao?
Kuna social agreements ambazo sio lazima ziandikwe mahali. Mbunge ni wajibu wake kwenda extra mile ili kuwasaidia watu wake, hata asipofanikisha sio tatizo ili mradi watu wajiridhishe kuwa amekuwa nao pamoja kutafuta utatuzi.
 
Me naona mna mnyanyasa tuu wenje kwanza si jukumu lake kufatilia mikopo! Alaf swala la ukahaba hivi ni kweli litatuliwa na wenje kama sio nyie wenyewe?

Sasa hapa mnamuonea! Labda muombe awasaidie kufatilia tuu na hilo linawezekana kabisa!
 
Hao ndo anafunzi wa elimu ya juu....ipo wapi hiyo elimu ya juu!!!!
eti wenje kawatelekeza ni baba yenu huyo???
 
acha upuuzi wako wewe.....Kwani wale masalia hawakuwa wakijiita namna hiyo? Tena mpaka leo yule binti kinara wao anaendelea kuamini hivyo. lengo lako tumeshalifahamu, wala husumbui tena

akili fupi kama maisha ya funza, jenga hoja ueleweke sio kukurupuka utadhania umekalia kitu chenye ncha kali kilaini. Pitia post zangu utakubaliana namm sio masalia. Watu ovyo dizaini yako ndio mnamjenga Zitto kwa komenti km hizi. Yaani mbunge wangu nikimkosoa nimetumwa?. Kwa tabia hizi CDM2015 tujipange!
 
Wenje usipokee simu zao.

hawa watoto wa siku hizi wameanza kudelegate migomo ili wapate boom. Wenje ndo akagome? Aafu mbona wakati wa uchaguzi vyuo vilikuwa vimefungwa? Waliopo hapo chuoni ni walioanza chuo 2010/2011 sasa kura walilinda wapi wakati hata chuo walikuwa hawajaanza? Huyu atakuwa ni chagulani na wenzake.! Madogo acheni uoga wa kipumbavu kafateni hela zenu management mpaka bodi hadi waone ofisi chungu! Mmekaa mwanza mnasubiri wenje ndo aje dar kufuatilia boom la wanachuo! These are jokes bhana.
 
Me naona mna mnyanyasa tuu wenje kwanza si jukumu lake kufatilia mikopo! Alaf swala la ukahaba hivi ni kweli litatuliwa na wenje kama sio nyie wenyewe?

Sasa hapa mnamuonea! Labda muombe awasaidie kufatilia tuu na hilo linawezekana kabisa!

hana haja ya kuombwa, hiyo ndiyo kazi yake jimboni. Ni wajibu wake pasi na shaka. Sisi ndio tumemchagua kwa makubaliano kwamba atawakilisha kero zetu serikalini km inavyotueleza falsafa 'social contract theory'.
 
Kwa hiyo nyie hamna wawakilishi huko chuoni? Mmeshatuma muwakilishi wa kwenda kuonana na wenje aka kataa?

kazi yake ninini?, wanafunzi kutoka jimboni kwake wamepata matatizo yeye yuko karibu na serikali, achukue hoja zao aziwakilishe panapohusika. Linapokuja swala la kamanda mwenzetu kuzembea tusimtetee.

dogo acha ujinga mnataka wenje akoongelee nyie kukosa mikopo bungeni? Maana ndo mahala pake pa kujidai hawezi kwenda bodi na kuwaamrisha wawape nyie mkopo dogo elewa unachoambiwa na wakubwa wako! Mlizoea udsm wagome nyie mpate kirahisi saa hizi wenzenu kimya kimya wanatia timu bodi na mkopo wanaupata.
 
hawa watoto wa siku hizi wameanza kudelegate migomo ili wapate boom. Wenje ndo akagome? Aafu mbona wakati wa uchaguzi vyuo vilikuwa vimefungwa? Waliopo hapo chuoni ni walioanza chuo 2010/2011 sasa kura walilinda wapi wakati hata chuo walikuwa hawajaanza? Huyu atakuwa ni chagulani na wenzake.! Madogo acheni uoga wa kipumbavu kafateni hela zenu management mpaka bodi hadi waone ofisi chungu! Mmekaa mwanza mnasubiri wenje ndo aje dar kufuatilia boom la wanachuo! These are jokes bhana.

si kweli wakati wa uchaguzi 2010 walifunga, inaonesha jinsi ulivyo mbumbumbu wa utafiti. SAUT ni chuo pekee kilichokataa kufwata kalenda ya serikali kwamba vyuo vifungwe kupisha uchaguzi. Na miaka yote wanafungua mwezi september. Pia sio kweli waliopo hapa wameanza 2010/2011. Kuna walioanza tangu 2009. Kuna michepuo hapa wana miaka 4-5. Vilevile hata km waliompigia kura wameondoka bado ni jukumu lake kufuatilia matatizo jimboni kwake kwani jimbo halijahama.
 
Kwa hiyo nyie hamna wawakilishi huko chuoni? Mmeshatuma muwakilishi wa kwenda kuonana na wenje aka kataa?

wawakilishi wapo ambao ni SAUTSO iliyoko chini ya raisi wake MALISA ambaye ni katibu mwenezi tawi la SAUT CDM. Uongozi wote wa SAUTSO walichaguliwa wakiaminiwa kwamba ni wapambanaji wa CDM ila muda wote wamefunga ofc zao.
 
Basi msimpe lawama wenje kwa udhaifu wa wengine lakini muhimu ni kwamba wenye hii habari ataipa kupitia jf bila shaka atashughulikia! Lakini kwa nini unaamini tatizo ni viongozi wa serikali ya wanafunzi na sio bodi ya mikopo? Hizo pesa zimeshaletwa na kinacho kwama ni ufatiliaji?
wawakilishi wapo ambao ni SAUTSO iliyoko chini ya raisi wake MALISA ambaye ni katibu mwenezi tawi la SAUT CDM. Uongozi wote wa SAUTSO walichaguliwa wakiaminiwa kwamba ni wapambanaji wa CDM ila muda wote wamefunga ofc zao.
 
hayo si yangu, hizi ni taarifa za wanafunzi toka jimbo la Wenje na zimeandikwa kwenye gazeti la SAUTI HURU.

Mitaala feki ni tatizo! Wenje si mkurugenzi wa bodi ya mikopo! Mngeandamana kwenda kwa mkuu wa mkoa au wilaya. Acha ujinga
 
SAUTI HURU ni gazeti dada la wanazi wa ssm na jambo leo>< uliyetoa thread yawezekana una malengo yako>< achana na weje watz tunaona kazi yake mjengoni<>

afadhali umenisaidia
 
Wenje shughulikia madai ya wanafunzi hawa. Achana na watu wanaokukingia kifua humu, jaribu kufuatilia suala hili. Nakumbuka SAUT ilikua chachu ya ushindi wako.

mkuu kuwa chachu ya ushindi ni vyema. UDSM wakikosa mkopo ni kunji (mgomo) na si kwenda kwa mh. Mnyika
 
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustine-Mwanza wamemtupia lawama mbunge wao mh. Wenje kwa kile kinachoelezwa kwamba amewatelekeza.

Ikumbukwe kwamba Mh Wenje wanafunzi wa SAUT ambao idadi yao ni zaidi ya 15000 ndio waliomwezesha kiasi kikubwa kupata ushindi. Pia ni hawa hawa wanafunzi ndio walikesha kwenye vituo kulinda kura zisichakachuliwe.

Chanzo cha kumtupia lawama mbunge wao Wenje ni kutokana na wanafunzi wenzao 215 hadi sasa semister imeisha hawajapata pesa zao za kujikimu kutoka bodi ya mikopo.

Inaelezwa kwamba uzembe mkubwa kutoka uongozi wa chuo na serikali ya wanafunzi SAUTSO inayojipambanua kwamba ni makamanda wapiganaji wameshindwa kufuatilia pesa za wanafunzi hawa kitendo kilichopelekea wawasiliane moja kwa moja na Wenje kupata msaada zaidi.

Lakini hadi sasa si Wenje ambaye amewapa taarifa juu ya hatima yao huku wakidai muda mwingine wakimpigia simu hapokei.Imefikia baadhi yao kuacha chuo, wengine wameanza kujiuza miili yao ili wapate pesa za kujikimu.

.....mbaaaff... kabisa, afu ni wasomi wa vyuo vikuu na hamjui jambo gani ni nani mwenye mamlaka nalo na nani hana...!??, mnakeraa...
 
Jamii ya SAUT ni kubwa jamani...na kwa ukubwa wake nafikiri inahitaji attention ya mtu kama MBUNGE...

mi nakubali, ninachofahamu ni vyuo vyote Tanzania wana matatizo kama yenu! Tatizo si SAUT Nyegezi tu, ni kote. Mfano mwepesi, wanaohamisha mikopo bado hawajapewa toka mwaka jana Sept.
 
Kazi ipo kweli Tz mana hata wasomi tunaowategemea nao pia ni mbumbumbu kweli uwezo wa kufikiri uko under below average hususani hapo SAUT kila simba mbaya lazima ianzie pale otherwise inatosha mana hasira zimepanda naweza andika yasiyokuwa na tija!
 
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustine-Mwanza wamemtupia lawama mbunge wao mh. Wenje kwa kile kinachoelezwa kwamba amewatelekeza.

Ikumbukwe kwamba Mh Wenje wanafunzi wa SAUT ambao idadi yao ni zaidi ya 15000 ndio waliomwezesha kiasi kikubwa kupata ushindi. Pia ni hawa hawa wanafunzi ndio walikesha kwenye vituo kulinda kura zisichakachuliwe.

Chanzo cha kumtupia lawama mbunge wao Wenje ni kutokana na wanafunzi wenzao 215 hadi sasa semister imeisha hawajapata pesa zao za kujikimu kutoka bodi ya mikopo.

Inaelezwa kwamba uzembe mkubwa kutoka uongozi wa chuo na serikali ya wanafunzi SAUTSO inayojipambanua kwamba ni makamanda wapiganaji wameshindwa kufuatilia pesa za wanafunzi hawa kitendo kilichopelekea wawasiliane moja kwa moja na Wenje kupata msaada zaidi.

Lakini hadi sasa si Wenje ambaye amewapa taarifa juu ya hatima yao huku wakidai muda mwingine wakimpigia simu hapokei.Imefikia baadhi yao kuacha chuo, wengine wameanza kujiuza miili yao ili wapate pesa za kujikimu.

mmm poleni watanzania ndio maana wengine tulikimbia nchi, tulikimbia mengi.

Hapo watasoma kwa shida na tabu, wakifanikiwa kumaliza na kuajiriwa, raia watakoma.
Hakika ukipata kitu kwa tabu, basi utawatabisha raia wengine pia wapate kila kitu kwa tabu.
Na ndio maana hatuwezi kuendelea kama ni kutelekezana, kukomoana na kutapeliana.
 
Back
Top Bottom