Sasha Obama....!!!

Mnahangaika kwa mtu msie na uwezo wa kumpata.nyie komaeni na wa hapa hapa tz
 
Mkuu naona ile kampeni yetu ya NALIMI aende kule makao makuu ya nchi katika ile hosptali ambayo yeye ilibidi aende na tulipigana sana aende imezaa matunda.

Cheers mkuu we made it...
JF ni sehem salama

mkuu ina maanda Deo Kisandu tayari yuko milembe??
 
Ni mtto wa Obama huyo mm namjua nirsoma nae
 
Tangu baba ake amuue gafaf cna ham kabisa na hiyo familia.
Baba ake anauua waafrika wenzie??
Anatetea ushoga?
stupid
 
Kuna matunda mengine hata uwe na njaa gani kula ni shida
 
Ni picha mbili tofauti. Zimeunganishwa.
 
Kuna wakati ninatamani watoto wangu wasindelee kukua wabaki hapo hapo walipo. I tell you people enjoy your kids when they are young.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…