Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Hongereni sana
Tuhongere sote.

Tunafurahi sana kuwa sasa, baada ya muda mfupi wa kuanza mpango huu wa kuchangia mtaji tunaweza kuongelea miradi ya millioni arubaini na zaidi. Ukitazama tulivyoanza kupitia hapa hapa JF tulikuwa tunaongelea miradi ya million mbili.

Tunashukuru Mwenyeezi Mungu kutuwezeaha kufikia hapa tulipo kwa muda mchache.

Pia shukrani zetu nyingi sana kwa wale waliojiunga kupitia nyuzi zetu hapa JF, wametuamini blindly na Mwenyeezi Mungu anatulinda hatujawaangusha na hatutawaangusha.
 
Good idea ila sijajua kama mmesajiliwa au hiyo mutual funds umetolea kama mfano tu ili tuelewe vizuri ...pia 40m ni ndogo sana kwa excavator au ni kwa ajili ya kukodisha maana kwa siku moja tu kukodi ni zaidi ya 1m. ufafanuzi tafadhali
Mutual fund ni mfano. Sisi tunachangishana tunanunua machimbo ya mchanga wa kujengea na kuuza mchanga.

Kijiko tunakodisha kwa bei ndogo sana kwa mkataba wa muda mrefu lakini malipo ya jumla in advance halafu sisi tunafanyia kazi kila siku na kugawana faida kila wiki.
 
Kwa wale wenye uzoefu wa taaluma za "finance" na uwekezaji wataelewa kuhusu "capital pool" au mutual fund.

Huo ni uwekezaji wa kuchangia mtaji kwa faida ya wengi ambapo aidha unapunguza makali ya mtu mmoja au kikundi kuwekeza kwenye uwekezaji kipekee, kwa faida ya wengi.

Baada ya kufanya miradi minne (miwili imekamilika miwili inaendelea) sasa tunakuja na mradi wa tano wa kipekee.

Mradi huu unahitaji mtaji usiopungua million 40 na tunajumuisha wawekezaji wa kuanzia Shillingi 500,000 na kuendelea mpaka million 20. Hatutakusanya na kuchukua pesa zaidi million 40 zitakapokamilika.

Mradi unatarajiwa kuanza mara tu baada ya kukamilisha mtaji.

Tutakapofunga kuchukua wawekezaji tutatangaza.

Mradi unatarajiwa kulipa si chini ya asilimia 150 kwa siku 365 za kazi.

Mradi utahusika na heavy equipment (excavator).

Kwa maelezo zaidi na kujiunga wasiliana na Mzee Abdul, whatsapp 0625249605

Tunakaribisha maswali.
Ngoja nipige hesabu kidogo,

Data Given;
Mtaji 40,000,000
Hisa 1 = Tshs 500,000
Faida = 150% x 40,000,000 = 60,000,000/=

1) Idadi ya Hisa (Number of Shares)
= Tshs 40,000,000/Tshs 500,000 kwa hisa 1
= Hisa 80

2) Faida kwa kila Hisa (profit per share)
= Tshs 60,000,000/ Hisa 80
= Tshs 750,000/ Hisa 1

3) Uwiano wa Mapato na Mtaji (Return on Capital Invested - ROCE)
= Tshs 60,000,000/40,000,000 x 100%
= 150% (also given)

4) Muda wa kurudisha mtaji (Payback period)
= Mtaji / [Mapato kwa Mwezi]
= Tshs 500,000 / [ Tshs 750,000/12months]
= 500,000 / [Tshs 62,500/ 1month]
= 8 months

Assumptions,
1) Biashara inangiza faida sawa kila mwezi (no peak no lower season)
2) 150% (Tshs 60,000,000) ni faida baada ya mtaji na gharama zingine kutolewa (net profit)
3) 40,000,000 ndio mtaji pekee (Neither excess nor deficit)
4) "Other things kept constant"
 
Unatushauri nini wawekezaji??

tuweke pesa zetu ama faida ni ndogo??
 
Hiyo "data given" mbona naona ni yako wewe na wao hawajatowa hisa kwa yeyote. Wacha ku mislead watu.

Halafu hizo "assumptions" ni za kichwani mwako. Hujaona walipoandika "siku 365 za kazi" ? Unajuwa maana yake au umekurupuka tu?
 
"Data given" yangu ina elements 3, waweza kuniambia katika hizo 3 ipi nimeitunga haipo kwa mtoa mada??

"Assumptions" nayo ina elements 4, unazi-disqualify assmuptions zote just because of siku 365 za kazi??
 
Hisa. Wewe umeongelea hisa. Sijaona pahala mleta mada kaongelea kugawa hisa. Hiyo ulioleta wewe ni misleading. Kuna post juu hapo mleta mada amesema wazi hawatowi hisa. Sasa wewe umezitowa wapi hisa? Ulikuwa unaota?

Ndiyo, "siku 365 za kazi" zinaua "assumptions" zako zote, jifunze maana ya siku za kazi.
 
Naona ni wazo zuri na nimejaribu kupiga hesabu kwa jinsi nilivyoelewa nikiwekeza 500,000 nitakua natumiwa 4110 kila siku ya kazi kwa siku 365, Ili iwe imekamilisha 1,500,000. Nimechukua namba za Mr Abdul niwasiliane naye zaidi. Nitafurahi ukinijibu kama nipo sahihi nilivyoelewa. Ahsante
 
Hisa. Wewe umeongelea hisa. Sijaona pahala mleta mada kaongelea kugawa hisa. Hiyo ulioleta wewe ni misleading. Kuna post juu hapo mleta mada amesema wazi hawatowi hisa. Sasa wewe umezitowa wapi hisa? Ulikuwa unaota?

Ndiyo, "siku 365 za kazi" zinaua "assumptions" zako zote, jifunze maana ya siku za kazi.
Unarudisha million yako Na kupata million moja na nusu juu yake kwa mwaka mmoja wa siku za kazi.

Mfano, jumla ya mapato na uwekezaji wako ni 2,500,000 unagawa kwa siku 365 za kazi unapata 6,849 ambazo ni jumla ya mapato yako kwa siku. Tutakulipa kila wiki au kila mwezi.

Matarajio ni kukulipa haraka iwezekanavyo kabla ya kumaliza siku 365 za kazi.

Siku za mapumziko hazitahesabiwa. Ni kamili siku 365 za kazi kufanyika. Kwa maana nyingine pesa yako unaweza kuipata yote na faida kabla ya mwaka kumaliza au ikitokea mvua au uharibifu wowote ulio nje ya uwezo wetu mafao yanawezekana yakachelewa
Pengine Wewe na yeye hamuelewi maana ya hisa/shares. Sio lazima zitamkwe kwa maandishi "Hisa" ndio ujue kua zimetajwa. Ameelezea mahali kua ukitoa 1mil kama mtaji basi utapata faida 1.5mil, hiyo tayari ni share/hisa (angalia kwenye red). Tafsiri fupi ya neno "share" ni The capital of a company is divided into shares. Each share forms a unit of ownership of a company and is offered for sale so as to raise capital for the company. Angalia picha hapa chini.

upload_2017-9-17_8-3-17.png

Angalia na hapa,
upload_2017-9-17_8-4-43.png
 
Ndiyo, "siku 365 za kazi" zinaua "assumptions" zako zote, jifunze maana ya siku za kazi.
Labda nizirudishe assumptions zote 4 tena hapa chini halafu uniambie kama zote zinahusiana na/au kuathirika na "muda" (siku 365),

Assumptions,
1) Biashara inangiza faida sawa kila mwezi (no peak no lower season)
2) 150% (Tshs 60,000,000) ni faida baada ya mtaji na gharama zingine kutolewa (net profit)
3) 40,000,000 ndio mtaji pekee (Neither excess nor deficit)
4) "Other things kept constant"
 
Pasipo kuangalia kama ni kweli au utapeli, kiuhalisia hii kitu imekaa kienyeji sana.
Ni pata potea fulani, usalama wa mitaji ya wachangiaji una walakini mkubwa.

Kwa mfano, embu tujiulize swali hili.
Huo mradi hauwezi kuzaa hasara?
Na kama hasara inaweza kutokea, nani atawajibika na hasara hiyo?
 
Pengine Wewe na yeye hamuelewi maana ya hisa/shares. Sio lazima zitamkwe kwa maandishi "Hisa" ndio ujue kua zimetajwa. Ameelezea mahali kua ukitoa 1mil kama mtaji basi utapata faida 1.5mil, hiyo tayari ni share/hisa (angalia kwenye red). Tafsiri fupi ya neno "share" ni The capital of a company is divided into shares. Each share forms a unit of ownership of a company and is offered for sale so as to raise capital for the company. Angalia picha hapa chini.

View attachment 590292

Angalia na hapa,
View attachment 590296

Wewe kweli punguani. Haiongelewi shares wewe unaleta maana ya hisa.

Kinachoongelewa na mleta mada ni faida na mgao wa faida kwenye huo mradi. Hakuna "company" iliyokuwa formed hapo. Wawekezaji kwenye mradi wa muda fulani. Full stop.

Unaweka vitu visivyokuwepo kwa kuwa "assumptions" zako ni simply bogus.
 
Stupid answers from a very stupid bogus,
Ndio tabu ya ku base kwenye elimu akhera ukasahau elimu dunia, unataka kila kitu umezewe.
 
Labda nizirudishe assumptions zote 4 tena hapa chini halafu uniambie kama zote zinahusiana na/au kuathirika na "muda" (siku 365),

Assumptions,
1) Biashara inangiza faida sawa kila mwezi (no peak no lower season)
2) 150% (Tshs 60,000,000) ni faida baada ya mtaji na gharama zingine kutolewa (net profit)
3) 40,000,000 ndio mtaji pekee (Neither excess nor deficit)
4) "Other things kept constant"
1) unaelewa maana ya siku 365 za kazi?

2) Sawa kabisa, unaelewa "excavator" inafanya kazi ya Shillingi ngapi kwa siku?

3) Yes. Una assume wrong kuwa figure hiyo haikuzingatia mengi. Ulitaka kuwe na mitaji miwili?

4) Ndiyo mdudu gani huyo?

Hizo aassumptions zako ni simply bogus. Hazina ukweli na kujidai tu kujuwa kumbe huna ulijuwalo.
 
Hakuna ulichoandika hapa zaidi ya rubbish,
 
Stupid answers from a very stupid bogus,
Ndio tabu ya ku base kwenye elimu akhera ukasahau elimu dunia, unataka kila kitu umezewe.
Yamekuingia, usingetokwa povu.

Sema roho inakuuma unapoona watu wanafanya maendeleo. Hukuanza leo kuwasakama kwenye nyuzi zao. Na hautowaweza.

Huna ulijuwalo unakimbilia kwenye dini. Inahusu nini hapa?

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom