Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
1,293
578
Kwa wale wenye uzoefu wa taaluma za "finance" na uwekezaji wataelewa kuhusu "capital pool" au mutual fund.

Huo ni uwekezaji wa kuchangia mtaji kwa faida ya wengi ambapo aidha unapunguza makali ya mtu mmoja au kikundi kuwekeza kwenye uwekezaji kipekee, kwa faida ya wengi.

Baada ya kufanya miradi minne (miwili imekamilika miwili inaendelea) sasa tunakuja na mradi wa tano wa kipekee.

Mradi huu unahitaji mtaji usiopungua million 40 na tunajumuisha wawekezaji wa kuanzia Shillingi 500,000 na kuendelea mpaka million 20. Hatutakusanya na kuchukua pesa zaidi million 40 zitakapokamilika.

Mradi unatarajiwa kuanza mara tu baada ya kukamilisha mtaji.

Tutakapofunga kuchukua wawekezaji tutatangaza.

Mradi unatarajiwa kulipa si chini ya asilimia 150 kwa siku 365 za kazi.

Mradi utahusika na heavy equipment (excavator).

Kwa maelezo zaidi na kujiunga wasiliana na Mzee Abdul, whatsapp 0625249605

Tunakaribisha maswali.
 
Mnawekeza kwenye nini hizo pesa na je faida inalipiwa kodi
Uwekezaji wetu ni kwenye machimbo ya mchanga na kodi zote halali zinazohitajika kisheria tunalipia.

Huu mradi unahusika na machimbo ya mchanga lakini specifically tutawekeza kwenye excavator ya kuchimba mchanga na kupakilia kwenye magari tutapouuza.

Asante kwa swali zuri.
 
Nikiwekeza milioni napata nini baada ya mwaka
 
Nikiwekeza milioni napata nini baada ya mwaka
Unarudisha million yako Na kupata million moja na nusu juu yake kwa mwaka mmoja wa siku za kazi.

Mfano, jumla ya mapato na uwekezaji wako ni 2,500,000 unagawa kwa siku 365 za kazi unapata 6,849 ambazo ni jumla ya mapato yako kwa siku. Tutakulipa kila wiki au kila mwezi.

Matarajio ni kukulipa haraka iwezekanavyo kabla ya kumaliza siku 365 za kazi.

Siku za mapumziko hazitahesabiwa. Ni kamili siku 365 za kazi kufanyika. Kwa maana nyingine pesa yako unaweza kuipata yote na faida kabla ya mwaka kumaliza au ikitokea mvua au uharibifu wowote ulio nje ya uwezo wetu mafao yanawezekana yakachelewa
 
Good idea ila sijajua kama mmesajiliwa au hiyo mutual funds umetolea kama mfano tu ili tuelewe vizuri ...pia 40m ni ndogo sana kwa excavator au ni kwa ajili ya kukodisha maana kwa siku moja tu kukodi ni zaidi ya 1m. ufafanuzi tafadhali
 
Kwa hii idea ni nzuri ya kujikwamua kiuchumi ila nafikiri kuna haja ya kuweka wazi detail zote za project husika ili tunaowekeza tujue .

Hata pindi mtakapopindisha na kuanza kufanya tofaiti na makubaliano basi wadau wafanye maamuzi pia .
 
Sasa hapo Mimi ntakuwa share holder au nawasaidia kupanda kiuchumi.
Sijaelewa bado.
Nifafanulie kidogo ni lazima zifike 40m au nawekeza chochote

Unawekeza chochote kuanzia laki tano hadi million 20.

Hakuna share holders kwenye hili kwa kuwa ni mradi wa muda fulani tu.
 
Unarudisha million yako Na kupata million moja na nusu juu yake kwa mwaka mmoja wa siku za kazi.

Mfano, jumla ya mapato na uwekezaji wako ni 2,500,000 unagawa kwa siku 365 za kazi unapata 6,849 ambazo ni jumla ya mapato yako kwa siku. Tutakulipa kila wiki au kila mwezi.

Matarajio ni kukulipa haraka iwezekanavyo kabla ya kumaliza siku 365 za kazi.

Siku za mapumziko hazitahesabiwa. Ni kamili siku 365 za kazi kufanyika. Kwa maana nyingine pesa yako unaweza kuipata yote na faida kabla ya mwaka kumaliza au ikitokea mvua au uharibifu wowote ulio nje ya uwezo wetu mafao yanawezekana yakachelewa
Sasa kama ni siku 365 inamaana hakuna mapumziko hapo na wewe unasema siku za mapumziko hazitesabiwa kuna ukakasi hapo plz piga maesabu ya siku zako na hizo equipment ni gharama Sana sidhani Kwa mtaji huo kama unaweza pata by the way ni idea nzuri lakini piga vizuri hesabu zako
 
Kwa hii idea ni nzuri ya kujikwamua kiuchumi ila nafikiri kuna haja ya kuweka wazi detail zote za project husika ili tunaowekeza tujue .

Hata pindi mtakapopindisha na kuanza kufanya tofaiti na makubaliano basi wadau wafanye maamuzi pia .

Nimeweka wazi kila kitu. Unapoona pamefichwa uliza tu tukueleweshe zaidi.

Kama unahisi tunaweza "kupindisha" njia rahisi ya kujitoa wasiwasi ni kutowekeza na sisi. Hatutaki kuwekeza na watu ambao hawataweza kutuamini au wenye mashaka na sisi kuanzia mwanzo.
 
Sasa kama ni siku 365 inamaana hakuna mapumziko hapo na wewe unasema siku za mapumziko hazitesabiwa kuna ukakasi hapo plz piga maesabu ya siku zako na hizo equipment ni gharama Sana sidhani Kwa mtaji huo kama unaweza pata by the way ni idea nzuri lakini piga vizuri hesabu zako
Siku 365 za kazi. Siku ambazo kazi itafanyika tu ndio zinazolipwa, kwa masharti kuwa zitimie siku 365 kwa kila siku ya kazi kuhesabiwa.

Mfano umewekeza million moja, jumla ya kuwekeza kwako na faida yako kwa siku ni Shillingi 6,849. Leo tumeanza kazi, baada ya wiki tukakulipa 68,490 hapo inakuwa tumeshakulipa siku kumi za kazi ingawa kazi imefanyika kwa siku saba tu.

Natumai nimeeleweka.
 
Mtaji wa 40m kwa excavator unakuaje mkuu?

Excavator la kupakilia mchanga kwenye machimbo tinalilipia in advance kwa bei ndogo na sisi tunalifanyia kazi linatuingizia zaidi ya pesa tulizolipia in advance.
 
Vibali vya kuendesha hyo mutual fund mnavyo,tuanzie hapi kwanza
Tuna vibali vya kuendesha chimbo la mchanga.

Vibali vya mutual fund sijawahi kuvisikia, nijuavyo kuna mikataba baina ya mwekezaji na mwendesha mradi, (mutual benefit agreement).
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom