Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Yamekuingia, usongetokwa povu.

Sema roho inakuuma unapoona watu wanafanya maendeleo. Hukuanza leo kuwasakama kwenye nyuzi zao. Na hautowaweza.

Huna ulijuwalo.
Usongetokwa = Usingetokwa,
Anyway, nisije nikaandika zaidi hapa nikajikuta namuharibia uzi huyu rafiki yako kwa ajili ya kubishana na wewe.
Sijasema ni mradi mbaya, wanaotaka watajiunga
 
Hakuna ulichoandika hapa zaidi ya rubbish,
Wewe Yamekuingia na umeshindwa kujibu swali jepesi kabisa. Unajuwa maana ya siku 365 za kazi? Kama hujuwi pitia uzi vizuri mleta mada kaelezea. Kajifunze kabla hujakurupuka.

Unataka kushindana na watu wanaowekeza kwa zaidi ya miaka arubaini na sasa wamejitolea kuwawachia vijana ujuzi ki aina yao? Unanshangaza!
 
Usongetokwa = Usingetokwa,
Anyway, nisije nikaandika zaidi hapa nikajikuta namuharibia uzi huyu rafiki yako kwa ajili ya kubishana na wewe.
Sijasema ni mradi mbaya, wanaotaka watajiunga
Huna ulijuwalo, umekuja kwa nia ya kuharibu uzi na hukuanza leo.

Huwezi.
 
Wewe Yamekuingia na umeshindwa kujibu swali jepesi kabisa. Unakuwa maana ya siku 365 za kazi? Kama hujuwi pitia uzi vizuri mleta mada kaelezea. Kajifunze kabla hujakurupuka.

Unataka kushindana na watu wanaowekeza kwa zaidi ya miaka arubaini na sasa wamejitolea kuwawachia vijana ujuzi ki aina yao? Unanshangaza!
Umeshindwa kujibu hizi siku 365 zina affect vipi assumptions zote 4,
By the way rafiki yako (sijui ni wewe mwenyewe) ndio kajichanganya,
Kuna mahali anasema Mwaka Mmoja mmoja wa siku za kazi,
Kuna watu wako kazini siku 365 zote za mwaka, hawana mapumziko wala sikukuu,
 
Pasipo kuangalia kama ni kweli au utapeli, kiuhalisia hii kitu imekaa kienyeji sana.
Ni pata potea fulani, usalama wa mitaji ya wachangiaji una walakini mkubwa.

Kwa mfano, embu tujiulize swali hili.
Huo mradi hauwezi kuzaa hasara?
Na kama hasara inaweza kutokea, nani atawajibika na hasara hiyo?

Hao watu wapo makini sana kuliko unavyofikiria. Ngoja waje watakujibu wenyewe.

Binafsi nimewekeza kwenye miradi yao yote ya kuchangia mtaji. Na huu nimeshajiunga nao.
 
Umeshindwa kujibu hizi siku 365 zina affect vipi assumptions zote 4,
By the way rafiki yako (sijui ni wewe mwenyewe) ndio kajichanganya,
Kuna mahali anasema Mwaka Mmoja mmoja wa siku za kazi,
Kuna watu wako kazini siku 365 zote za mwaka, hawana mapumziko wala sikukuu,

Mwaka mmoja wa siku za kazi una siku ngapi?

Uliona wapi kasema ni mwaka mmoja wa Kalenda? Sema ulikuwa huelewi tu mwaka mmoja wa siku za kazi maana yake nini.

Una mengi ya kujifunza kwenye hizi nyuzi zao. Usiingie kichwa kichwa huwezi.
 
Mwaka mmoja wa siku za kazi una siku ngapi?

Uliona wapi kasema ni mwaka mmoja wa Kalenda? Sema ulikuwa huelewi tu mwaka mmoja wa siku za kazi maana yake nini.

Una mengi ya kujifinza kwenye hizi nyuzi zao. Usiingie kichwa kichwa huwezi.
haya, usiku mwema,
Msalimie shemeji
 
Wageni karibuni wote
Humundani kuna fursa moja ambayo ita wainua watu wengi.

Jiunge na ajira hii ya mtandaoni kwa manufa yako mwenyewe

1.ajira hi aitaji kipato wala elimu INA itaji muda na kifurushi cha intanet

2.malipo yake yana fanyika SAA yoyote ndani siku za kazi pale uta kapo hitaji ulipwe

3.ukijiunga ili uweze kupatiwa pesa zako itakubidi ufikishe dola 150$ kwamara yakwanza hi wana ifanya ili kujua kama upo serious kufanya kazi nao.ila ukisha to a kwa Mara ya kwanza baada yahapo itakua unalipwa kila unapo fikisha 5$ nakuendelea

3.na malipo yana fanyika kwenye account ya benki yoyote APA nchini kwetu

Ku pata dola 150$ ni rahisi itakuchukua SAA moja nanusu kwa kufanya kazi bila kusimama bila kusimama

Kazi yenyewe niku angalia ma tangazo yanayo wekwa kwenye tovuti apo chini ili kujiunga

Boyeza linki
Viewing payed advertising sites qmoney.host - Welcome!
Unaweza ukawa shilikisha na wenzako

Wewe kweli punguani. Haiongelewi shares wewe unaleta maana ya hisa.

Kinachoongelewa na mleta mada ni faida na mgao wa faida kwenye huo mradi. Hakuna "company" iliyokuwa formed hapo. Wawekezaji kwenye mradi wa muda fulani. Full stop.

Unaweka vitu visivyokuwepo kwa kuwa "assumptions" zako ni simply bogus.
Huyu Faiza ni miongoni mwa hao watoa mada deal lao hao huu ni utapeli mtupu wala msiwaamnin.. Alicho kisema huyo jamaa alieye fafanua kitaalamu ndio ukweli mtupu.. Lazima hisa ihusishwe vinginevyo itakuwa upatu wakienyeji.

Na alicho fafanua huyu jamaa kuhusu assumptions kitaalamu lazima ziwepo kulingana na data given..

Ogopeni wandugu huu ni utapeli huna paku lilia hela zako zikipotea
1) unaelewa maana ya siku 365 za kazi?

2) Sawa kabisa, unaelewa "excavator" inafanya kazi ya Shillingi ngapi kwa siku?

3) Yes. Una assume wrong kuwa figure hiyo haikuzingatia mengi. Ulitaka kuwe na mitaji miwili?

4) Ndiyo mdudu gani huyo?

Hizo aassumptions zako ni simply bogus. Hazina ukweli na kujidai tu kujuwa kumbe huna ulijuwalo.
 
Huyu Faiza ni miongoni mwa hao watoa mada deal lao hao huu ni utapeli mtupu wala msiwaamnin.. Alicho kisema huyo jamaa alieye fafanua kitaalamu ndio ukweli mtupu.. Lazima hisa ihusishwe vinginevyo itakuwa upatu wakienyeji.

Na alicho fafanua huyu jamaa kuhusu assumptions kitaalamu lazima ziwepo kulingana na data given..

Ogopeni wandugu huu ni utapeli huna paku lilia hela zako zikipotea

Wala hujakosea mimi nimekuwa mdau wao toka mradi wao wa kwanza na nimekuwa ndiyo wao hao.

Hakuna ufafanuzi wowote wa kitaalaamu uliotolewa. Huyo ha kuanza leo kuponda mada za Bi Zainab Tamim. Kama huelewi ni heri ungekaa kimya tu.

Assumption za huyo anaejiita Shark ni za uongo na haelewi anachokiongea na wewe pia huelewi unachokiongea umekurupuka kama alivyokurupuka yeye.

Kwanini usiwe na pal kulikuwa, sheria na serikali havipo?

Nyie ndiyo wale wale tu tunawafahamu. Tuwacheni sisi tuwekeze. Unasema matapeli wakati karibia miaka miwili sasa wapo humu wanajitangaza na watu tunawafahamu toka 9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. alipokuwa Sinza mpaka wameamua Kibaha.

Wacheni hizo, Kama wewe "assumptions" za huyo punguani mwenzako umeziona za maana usiwekeze lakini usiwaite hawa watu matapeli.

Mimi ntawatetea mwanzo mwisho kwa kuwa nnawafahamu.

Bi Zainab Tamim na Mzee Abdul cheapens kazi hawa mahasidi tuwachieni sisi tuta deal nao humu.
 
Yanini kutumia maneno ya kuudhi we mwanamke!!!!!,ushamuharibia mwenzio Uzi wake kwa uzwa zwa wako..Bila shaka we ni moja ya wale wastaafu aliosema jpm.
 
Yanini kutumia maneno ya kuudhi we mwanamke!!!!!,ushamuharibia mwenzio Uzi wake kwa uzwa zwa wako..Bila shaka we ni moja ya wale wastaafu aliosema jpm.
Hao mapunguani wenzako wanaokuja na uhasidi humu tuwawache? Ndiyo kusudio lenu mharibu uzi, roho zinawauma mnapoona watu wanaendelea. Hamtaweza.
 
Hao mapunguani wenzako wanaokuja na uhasidi humu tuwawache? Ndiyo kusudio lenu mharibu uzi, roho zinawauma mnapoona watu wanaendelea. Hamtaweza.
Mods hawa wengne huwa mnawaogopa? Haya maneno ningetoa mm ningepgwa ban. Sjuh hawa wengne wana haki ya kutukana humu?
 
Habari za saa hizi ndugu zangu, mimi naitwa Abdul Ghafur. Maarufu kama Babu Abdul au Mzee Abdul.

Huwa napitia hizi nyuzi na mara zingine kujibu kupitia anuani ya mke wangu Bi Zainab Tamim.

Nimefahamishwa kuwa kuingia humu na kutumia ID ya mtu mwingine ni makosa (ingawa ni mke wangu), nimeona ni heri nijiunge rasmi na kuja kujaribu kuondosha utata unaojitokeza.

Hii miradi yote anayoitangaza Bi Zainab Tamim humu, mimi ndie msimamizi mkuu na ndie mwenye kuifahamu vilivyo.

Naomba mwenye swali lolote aulize na nitajaribu kutoa majibu sahihi kadiri ya uwezo wangu kwa faida ya wengi.

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom