Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Navuta zangu pop corn naongeza sauti naangalia movie ya kutisha ya mauaji ya kimbari ya ma nzi ya kijani
"Wakati mmenikabidhi huu mzigo, nilianza kusikia lugha zinasema serikali ya mpito, serikali ya mpito bungeni huko kwa kina Kassim. Nikarudi kwenye Katiba kuangalia serikali ya mpito imeandikwa wapi...sikuona. Nikasema 'anhaa, twendeni.'"-
 


Ngoja niende zangu mtoko…!! Achaneni na mimi nyie, ntachapa mtu fimbo ya mgongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…