Sasa nimeelewa kwanini mapenzi kazini hayafai

Sasa nimeelewa kwanini mapenzi kazini hayafai

Aaaa wewe sasa HR umepelekwa kwenye department gani tena ?? Mbona nahis umetunga wewe ni mchawi nini ??

Alaf kwanini usimfundishe tu afanye KEGEL ?
 
rudiana nae tu lakin akirudi,akiomba pesa mtolee nje na siku ya mechi piga chini ya kiwango,akilalamika muombe kabang.........atatoka nduki tu
 
It takes a real man to be a father.
 
Idara ipi?
we si ulikuwa Hr unaeajiri watu?sasa umesahau strory zako?
ofisi yenu idara zinahamishwa bila kujali umesomea nini?

chai hii naona...
mwanamke akuambie katumia dawa ya kurudisha k?seriously?

Mi mwenyewe nashaaagaaa machoo kodoooo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom