Sasa nimeelewa kwanini mapenzi kazini hayafai

Sasa nimeelewa kwanini mapenzi kazini hayafai

Suluhisho ni maombi tu. Ngoja niwaite 'wapendwa' waje kwa maombi.
Evelyn Salt, atoto, Heaven Sent, Apologise lady (sijui tuje na sadaka nyingine?), Paulo Sergio De Souz, et al.

Kuna PEPO la kurubuniwa, kisha kufahamiana limeanza kuenea kwa wanandoa wengi..tunahitaji kufunga na kuomba!!!

Yaani hili pepo jamani inabidi tulikemee kwa juhudi zoooote maana linasambaa kwa kiasi kikubwa mnoooo, msisahau sadaka tafadhali muweka hazina nipo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu,jifanye mjinga urudishe uhusiano naye,then taratibu mkianza tena mahusiano utani pm nikuambie cha kufanya.
 
Suluhisho ni maombi tu. Ngoja niwaite 'wapendwa' waje kwa maombi.
Evelyn Salt, atoto, Heaven Sent, Apologise lady (sijui tuje na sadaka nyingine?), Paulo Sergio De Souz, et al.

Kuna PEPO la kurubuniwa, kisha kufahamiana limeanza kuenea kwa wanandoa wengi..tunahitaji kufunga na kuomba!!!

Hahaha. Wapendwa tuko hatarini sana. Hili pepo liko na mission ya kutuangamiza bana. Wapendwa wote (Ke) walete number zao kwa ajili ya kutumiwa maombi.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hili pepo jamani inabidi tulikemee kwa juhudi zoooote maana linasambaa kwa kiasi kikubwa mnoooo, msisahau sadaka tafadhali muweka hazina nipo.

Mbona waweka hazina mnazidi kuwa wengi!??

Hahaha. Wapendwa tuko hatarini sana. Hili pepo liko na mission ya kutuangamiza bana. Wapendwa wote (Ke) walete number zao kwa ajili ya kutumiwa maombi.

Zitumwe kwangu kwa kumbukumbu!

a.k. a pepo la kuhadaika na kushirikiana. Limeshashindwa kwenye ndoa zetu

Hata yako haiko salam. Uje nikufanyie maombi spesheli!
 
Mapenzi kazini hayafai kabisa

Ungekuja hapa janvini kabla ya kuachana ungepata ushauri mzuri, sasa hivi ni ngumu sana, angekuwa mimi kila siku nampa shida zangu, mtoto anaumwa naomba pesa , mke wangu kafanyiwa operation naomba pesa, mpaka angekukimbia tu.
 
Nilikushauri sijui ukachukulia ni utani? Nilikwambia ungemsingizia kuwa umesikia ana uhusiano na mtu mwingine hapo ofisini na wewe kujifanya ni victim kwa kudai umeumia sana na hutiweza kuendelea na huo uhusiano.
Sasa hivi, unachoweza kufanya ni kuomba kazi sehemu tofauti. Tafuta inayolipa zaidi na umsahau.
 
Kweli wanaume wameisha.......



Anyway...fanya kazi iliyokupeleka....ulijua una mke kiherehere cha kuchepuka cha nini?? Ndio mshahara wake huo sasa vumilia
 
Suluhisho ni maombi tu. Ngoja niwaite 'wapendwa' waje kwa maombi.
Evelyn Salt, atoto, Heaven Sent, Apologise lady (sijui tuje na sadaka nyingine?), Paulo Sergio De Souz, et al.

Kuna PEPO la kurubuniwa, kisha kufahamiana limeanza kuenea kwa wanandoa wengi..tunahitaji kufunga na kuomba!!!


Kama kiongozi wa maombi kabla ya kuja huku nilipita kanisani ili kuumimina moyo wangu mbele zake kisha nipate maano juu ya hili jambo.

Sasa kabla hebu atoto kusanya sadaka nipatie kisha niwape ushuhuda ndio tulikemee hili pepo.
 
Last edited by a moderator:
Kama kiongozi wa maombi kabla ya kuja huku nilipita kanisani ili kuumimina moyo wangu mbele zake kisha nipate maano juu ya hili jambo.

Sasa kabla hebu atoto kusanya sadaka nipatie kisha niwape ushuhuda ndio tulikemee hili pepo.

Toooba!! Upeleke wapi hizo sadaka?
 
Last edited by a moderator:
Kuna huyu mwanamke ambae ni bosi wangu, ni line Manager wangu, na ambae tuna uhusiano wa kimapenzi wa siri, tuna kama mwezi sasa tangu tuanze ku date, pamoja na kuwa ni line manager na mshahara wake ni mara mbili ya wangu cha ajabu ananipiga mizinga as if mimi ndie namzidi mshahara nakumbuka niliwaletea mkasa wa mizinga ya huyu bosi wangu, hivi kweli utampaje hela mwanamke anaekuzidi wewe hela?
Huo sio unyonyaji wa wazi kabisa?

Sasa mapya yaliyoibuka kwenye sakata hili ni ya kushangaza. Last Friday nilimuomba maongezi nae, nikamwambia mimi mapenzi basi nimeshindwa Mimi hivyo naomba unipe ile hela yangu niliyokukopesha ili tuachane, cha kushangaza kanijia juu sijawahi kuona, kasema hela hanilipi wala nini, kwamba uroda alionipa ndio fidia ya hiyo hela, eti hiyo laki mbili alinunua madawa yanayotangazwa mitandaoni ya kurudisha sehemu nyeti kuwa ndogo,
Sasahivi mimi nilimtuma akanunue hizo dawa?Halafu ndo zinauzwa laki mbili?

Mimi nikamjibu basi nimesamehe hiyo hela na mahusiano sitaki tena, akasema tutaona, kwamba siwezi kumtumia then nimuache kirahisi hivyo, nikamjibu ndo nimeamua hivyo, nikaondoka zangu.

Nashangaa Jumatatu nafika kazini naambiwa na Administrative Officer niende nikabidhi kazi zangu niende nikaripoti idara nyingine ambayo wote huwa tunaikimbia, na ukipelekwa huko unaweza kulia kama umefiwa na anaetoka huko ni full shangwe, maana idara hii, mkiwahi sana kutoka ni saa mbili usiku, kutokana na nature ya kazi zake, sasa nipo hapa since Monday nahisi kuumwa kabisa.

Sasa wadau nauliza hii transfer haina uhusiano na maamuzi yangu ya kumuacha yule bosi wangu kweli?Maana amenipa uso wa kazi since Monday, hanifurahii wala Maongezi hakuna, kapokea tu salaam basi akaendelea tu hamsini zake, au wadau mnaonaje nijirudi nini!

Hivi ni mapenzi gani ya namna hii? Badala yeye mwenye mshahara mkubwa anisaidie mimi, anakuja kuchukua hata kidogo nilichonacho huku akijua fika Nina mke na watoto wanaonitegemea sio haki kwa kweli.


Ni bahati mbaya tu nilijiingiza katika hili jambo kama si kusafiri nae mkoani isingetokea akanishawishi kimapenzi

Kuna yeyote mwenye suluhisho ya hili tatizo?

Mungu ambariki sana huyo boss wako! na wakuache huko kwenye kitengo kipya hadi utakapostaafu! maana hayo ndo malipo ya kusaliti ndoa! we unaacha kutulia na mke na watoto wako unarukaruka tu! sasa umekipata ulichokuwa unakitaka, afu unasingizia alikushawishi mkiwa safarini, kwani we huna will power ya kusema no?
 
Mwanaume wa Kweli Hutoa maamuzi Mara moja na kamwe hawezi Kujirudi..
 
Michepuko sio diri. Ndo usichepuke tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom