bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 264
Kuna huyu mwanamke ambae ni bosi wangu, ni line Manager wangu, na ambae tuna uhusiano wa kimapenzi wa siri, tuna kama mwezi sasa tangu tuanze ku date, pamoja na kuwa ni line manager na mshahara wake ni mara mbili ya wangu cha ajabu ananipiga mizinga as if mimi ndie namzidi mshahara nakumbuka niliwaletea mkasa wa mizinga ya huyu bosi wangu, hivi kweli utampaje hela mwanamke anaekuzidi wewe hela?
Huo sio unyonyaji wa wazi kabisa?
Sasa mapya yaliyoibuka kwenye sakata hili ni ya kushangaza. Last Friday nilimuomba maongezi nae, nikamwambia mimi mapenzi basi nimeshindwa Mimi hivyo naomba unipe ile hela yangu niliyokukopesha ili tuachane, cha kushangaza kanijia juu sijawahi kuona, kasema hela hanilipi wala nini, kwamba uroda alionipa ndio fidia ya hiyo hela, eti hiyo laki mbili alinunua madawa yanayotangazwa mitandaoni ya kurudisha sehemu nyeti kuwa ndogo,
Sasahivi mimi nilimtuma akanunue hizo dawa?Halafu ndo zinauzwa laki mbili?
Mimi nikamjibu basi nimesamehe hiyo hela na mahusiano sitaki tena, akasema tutaona, kwamba siwezi kumtumia then nimuache kirahisi hivyo, nikamjibu ndo nimeamua hivyo, nikaondoka zangu.
Nashangaa Jumatatu nafika kazini naambiwa na Administrative Officer niende nikabidhi kazi zangu niende nikaripoti idara nyingine ambayo wote huwa tunaikimbia, na ukipelekwa huko unaweza kulia kama umefiwa na anaetoka huko ni full shangwe, maana idara hii, mkiwahi sana kutoka ni saa mbili usiku, kutokana na nature ya kazi zake, sasa nipo hapa since Monday nahisi kuumwa kabisa.
Sasa wadau nauliza hii transfer haina uhusiano na maamuzi yangu ya kumuacha yule bosi wangu kweli?Maana amenipa uso wa kazi since Monday, hanifurahii wala Maongezi hakuna, kapokea tu salaam basi akaendelea tu hamsini zake, au wadau mnaonaje nijirudi nini!
Hivi ni mapenzi gani ya namna hii? Badala yeye mwenye mshahara mkubwa anisaidie mimi, anakuja kuchukua hata kidogo nilichonacho huku akijua fika Nina mke na watoto wanaonitegemea sio haki kwa kweli.
Ni bahati mbaya tu nilijiingiza katika hili jambo kama si kusafiri nae mkoani isingetokea akanishawishi kimapenzi
Kuna yeyote mwenye suluhisho ya hili tatizo?