Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
Sina uhakika kama mashine ya kuoshea vyombo ipo! Lakini akitokea mtu akaibuni aina ya mashine yakuoshea vyombo vya nyumbani itatusaidia Sana ss mabachela na kutuondolea hii tabu tunayopata yakuloweka sufuria ya ugali kwa siku saba na kuendelea bila kuoshwa! Nipo serious kama nyuki