Sasa ni mjamzito... Niko njiapanda...!

Sasa ni mjamzito... Niko njiapanda...!

Nimefika nusu nimechoka
....nikifanikiwa kuimaliza ntashauri
 
Hiyo ndio njia pekee ya kuachana na njagu na kufanya maisha mengine,toka nilpoona kua amechana vyeti vyako nikagundua kua anachotaka ni kukutumia tu,
Hebu jaribu kufikiria sasa mungu akimtanguliza wewe unaishi vipi na tayari anafamilia yake!
Muambie muhindi una ujauzito wake kama anabisha mfanye vipimo,ikiwezekana utafute na mwanasheria,akutafutie mtaji uanze upya.
 
Duh, kila mtu akieleza historia yake JF itajaa au itageuka bahari ya Machozi na jamvi la furaha kwa baadhi na vilio kwa wengi. Nimegundua vitu vifuatavyo;
  1. Huna msimamo wa maisha yako
  2. wewe ni mtu wa kupenda kufurahisha wengine
  3. Unatumia umaskini wako kukubali wengine wakuchezeee
  4. Unautumia uzuri wako kupata maisha
  5. Umeishi na Authorized Jambazi ( maana kwa mshahara wa askari) kukupangia nyumba, fenicha, kukulisha na kukunywesha na laptop na Android, its quite impossible, kwahio kumbe tukikamatwa na askari pesa anakuletea wewe
  6. Umri wako umesonga sana na sasa umeamua liwalo na liwe, you wanted to live your life lakini imegoma

Kwahio Fanya haya yafuatayo

  1. Tunza na lea mimba yako, you never know pengine ndio mkombozi wako huyo
  2. Hama eneo hilo kwa kumshirikisha huyo aliekufanya
  3. Jishushe ishi maisha ya kawaida upate kazi iwayo yote ile
  4. Jipange upya tena na usitumie mwili wako kama silaha
  5. Raha ya dakika moja/kukata network huwa maumivu yake ni marefu zaidi na pengine yakabaki maisha
  6. Jiaminishe kuwa it is never too late to mend
  7. Uzuri wako uliobaki utumie kujenga future yako, nashawishika kuamini kuwa you can still make it
  8. Inaonekana una uelewa mkubwa sana na maisha na hata IQ yako iko juu, itumie kubuni miradi mungine mbali na hio ya kuuza mwili
  9. Huna haja ya kujiita majina yanayo portray huzuni yako, jipe majina ambayo uliwahi kuyasikia au kuyatumia majina mazuri kama ladyfurahia Paloma Aine tinna cute Angel Nylon Madame B lara 1 sasa unajiita Sadlady ili iweje? Njia mojawapo ya ku-overcome haya ni kukubali yaliyotokea na ku-mvove on, just say I am stronger than Yesterday, then move forward
Tuyaache hayo tugeukie upande mwingine sasa, nimependa sana Ujasiri wako ila kwa hali hii ulioiandika hapa inaonekana "performance" yako ni ndogo sana uwapo uwanjani maana hukuandika kuwa kuna mahali ulijituma zaidi ya kuusifia upande pinzani tu......Utamsifiaje Mchazaji mwenzio? Jisifie na wewe kuwa hata kama "amenikama" lakini kwa jasho nimemtoa!! Si ndio raha ya mechi??

Ninaamini wewe ninakufahamu ila Privacy yetu naomba iendelee lakini Wallah wewe nakufahamu ngoja tuhamie kwenye PM naweza pata a strike here!!!!!

Wewew ni Jasiri sana, I like it
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa JF members kwa wale watundu wa mambo kwa uandishi huu unahisi huyu atakua ni nani? Kwa kusoma hio trend na aina yake ya uandishi unahisi atakua ni nani hasa huyu kati ya hawa? Paloma lara 1 Mamndenyi Aine sweetlady tinna cute kyanakomuhaya ICHANA angelicious

au wale Ma-sister doo wa Jukwaaa la mambo ya Kikubwa???? Lazima ni mmoja kati ya hao. Good day ngoja nifanye kazi sasa
 
Last edited by a moderator:
Si ajabu baada ya miaka mitano tukakutana, tukapendana, tukawa wapenzi, nikapeleka posa kwenu, nikalipishwa mahari ya milioni tano, nikakuoa....na ukawa mke wangu!...

Hakuna sahem ulishikiwa bastola kupanua miguu, ni uchaguzi wako na hayo ni matokeo ya uchaguzi wako. Dhambi moja huleta nyingine, unafikiria kutoa mimba...Omba Mungu akusamehe kwanza, tafuta vyeti vyako, jitegemee ili uweze kulea chotara la kihindi..
 
mbona hujasema mwisho wa kesi ya wizi wa duka iliishaje! Na boss wako wazaman hauna mawasiliano nae?
 
unamaanisha Abortion.. aiseee. naona wazo hili linakuja kuja sana.. ila hofu nayo inanizunguka sana sana manake mimba ya kwanza na ni kubwa tayari.. unadhani ni wazo zuri?

Aiseeee! Pole sana! Nenda kamueleze huyo mhindi wako probably atatake responsibilities! Suala la kutoa mimba linaweza kukugharimu maisha yako yote yaliyobaki! Labda kama huna mpango wa kuwa mzazi! Utoaji mimba umeathiri sana mabinti wengi walioingia kwenye ndoa miaka ya hivi karibuni!
Hivi umewahi kusikia Miscarriage? Kwa nini hili tatizo linazidi kuongezeka? Kwa nini wanawake wengi wa kizazi hiki wanajifungua kwa operation? Haya maswali yaendelee kuzunguka kichwani mwako. Yatakusaidia kufanya maamuzi.
 
And the moral of the story is 'njagu wangu', long live njagus
 
Nimefika nusu nimechoka
....nikifanikiwa kuimaliza ntashauri

Hebu malizia huko amaa......!!!
Story yenyewe tamu namna hii unashindwaje kuimaliza?
Malizia utoe ushauri kwa mwanamke mwenzio
 
Kiukweli utunzi wako bado ni mdogo sana. Mimi najua story umetunga haina ubishi na unataka uone watu watachangia vipi na wataipenda au kutoipenda. Story yako inamapungufu makubwa sana. Hii kama Shigongo ndio anaichek atakupa marks 2 kati ya 10.

-Haiwezekani papuchi inaliwa siku ya kwanza halafu wewe ujisikie raha ulale tu na maumivu ya kutoa bikra.
-haiwezekani uwe na maumivu halafu mhindi akukande hapohapo na maumivu kwisha.
-wanawake wa kihindi wana wivu haiwezekani akuache unakandwa na mumewe huku ulikuwa na kanga tu.
-hujaeleza kesi yako iliisha vipi
-mshahara wa njagu ni mdogo hauwezi kufanya yote labda kama alikuwa anafanya ujambazi.
-matokeo ya form 4 ulifanya vibaya uliyarekebisha lini hadi unaenda kusoma diploma?

Endelea kuleta story nyingine huwenda zipo nzuri.
 
Back
Top Bottom