He he he, halijambo
Ujue manjagu matamu, utazani yana mayonaizi na chilisosi
Nimepitia ushauri an comment zote zote humu. Nashukuru sana lakini Bado hasa ile Hoja ya Hofu yangu hapana ALIYE nisaidia. Ishu sio maisha Nina Elimu HATA Kama Vyeti vimeshapigwa moto still naweza kuvitafuta upya Na sidhani Kama naweza kosa KaZi sehemu yoyote humu Kwa jiji.
Kuna Mtu kanishauri nimbane Muhindi anipe mtaji NASEMA hiyo haisumbui naweza kukianzisha a-z nikapata mtaji naotaka. HOFU yangu kubwa in uhai wangu njagu akigundua. Huyu jamaa Kwa Akili zake zilivyo Na digrii ya wivu sidhani Kama atashindwa Kufanya historia..
Nikisema nitoroke hapo huyu jamaa atanisaka popote, sometime Akili inanituma kuamini Kwamba anaweza Kuwa maarufu within Na without Tanzania. Mawazo ya Abortion yanasumbua, naogopa, yananiumiza lakini nadhani Ndo option kubwa inayoongoza.. Natishika MMU Hakuna Kweli mjuzi wa kunipa njia yoyote.!?
hhahahaha!!! ntatafta njagu moja nilionje kama kweli matamu!! staki vya kusimuliwa.
hhahahaha!!! ntatafta njagu moja nilionje kama kweli matamu!! staki vya kusimuliwa.
Nipo hapa
He he he, nataka nifanye utafiti, kati ya njagu na Amita bachan nani mtamu kama baga za moroko.
He he he, halijambo
Ujue manjagu matamu, utazani yana mayonaizi na chilisosi
kwani baga hazina formular moja ya kutengenezwa? naona wote watamu hadi bibie alikuwa anatoa tu bila resistance.
Mzima mamii, nina linjagu la ziada hapa, natizama kama lishabonyea nilionje.ahahahahahhahha hakyanani usingezaliwa wewe bimdachi angeumwa tumbo maisha!
Mkuu ACP na kuendelea wanalipwa vizuri, hasa ukute ACP Halafu mkuu wa kitengo! Inalipa.chagu muandika maelezo atawezaje kufanya hayo, hata rpc hawezi. maana nyumba nzima kwa dar sehemu za wahindi sio chini ya laki 4 kwa mwezi anawezaje na kukulipia vyote angali mshahara wake haufiki laki 4.
Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi....nayo dhambi ikichukua mimba huzaa mauti.
Muombe Mungu hili la mwisho lisikupate
Zote ni nyama na mkate tu, lakini kila mtu ana secret recipe yake. Mwingine ananyonga ki clockwise mwingine ki ant-clockwise, mwingine ki to-fro. Sasa hapo unaza watalingana?
Mzima mamii, nina linjagu la ziada hapa, natizama kama lishabonyea nilionje.