akabombella
Member
- Mar 30, 2014
- 35
- 10
umelala mini?maana ujauzito nao!!
...inaendlea F...
u Finaendlea G....ya mwisho
Ngojea nilale naamini asubuhi ntapitia ushauri makini wa watu makini pia wale mnaotukana hamfanyi vibaya mwaweza tu kutukana mkiutumie uhuru wenu hivyo hata discouragement nazipokea kwa mikono mikunjufu, yakikukuta wanasema pokea YOTE.
unamaanisha Abortion.. aiseee. naona wazo hili linakuja kuja sana.. ila hofu nayo inanizunguka sana sana manake mimba ya kwanza na ni kubwa tayari.. unadhani ni wazo zuri?