Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
asante kwa kuweka kumbu kumbu sawa sawaMkuu Elli, mimi sina kipaji cha kutunga hadithi kama MziziMkavu/Shigongo, napenda kusoma hadithi tu ila kutunga sina kipaji hicho, na hata kama nina story sina haja ya kubadili id yangu, why should i change my id!!!! halafu basi mimi ni mke wa mtu tena mwenye watoto 3, tena ninayemjua Mungu na kumtumikia
Hii story kama ya kweli basi wanawake tuna matatizo, maana sadlady hajatulia, mwisho ataitwa mama huruma!!!!!!!!!